6 Oct 2010 in National Assembly:
With those few remarks, I beg to support this Bill.
view
30 Sep 2010 in National Assembly:
On a point of information, Mr. Speaker, Sir.
view
30 Sep 2010 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, I want to inform Mr. Githae.
view
1 Sep 2010 in National Assembly:
Mr. Deputy Speaker, Sir, taking into consideration the fact that this Bill has been exhaustively deliberated, could I request that the Mover be now called upon to reply, so that we can move to the next Order?
view
1 Sep 2010 in National Assembly:
Asante Bwana Naibu Spika. Nasimama kuchangia Hoja hii ya likizo ya Bunge. Ningependa kuanza kwa kusema kwamba tuna taifa mpya baada ya kupitishwa kwa Katiba mpya. Taifa hili mpya haliwezi kuwa na maana kamwe kama bado tuna wananchi ambao wanateseka. Tukisema tuna Katiba mpya, tunamaanisha tuna nchi mpya na kuna uhuru wa wananchi wa Kenya. Vile mambo yalivyo sasa, wengine wanafurahia na wengine wanalia. Wale wanaolia ni wale tunaowaita wakimbizi wa ndani wa kisiasa ambao walifurushwa kutoka kwa mashamba na manyumba yao. Watu hawa hawakuwa na hatia lakini bado wanateseka. Hilo ni jambo ambalo linafaa kuzingatiwa na Waziri anayehusika ili ...
view
1 Sep 2010 in National Assembly:
kuwaambia wazingatie demokrasia. Ni jukumu la Watanzania na Wasudan kuwalinda viongozi wao. Hata kama ni kichaa, ni jukumu lao. Sisi kama Wakenya hatuna uwezo wowote wa kuingilia maswala ya nchi nyingine. Ilikuwa ni aibu kubwa kwa kiongozi ambaye tulimualika hapa na kumpa ulinzi kumpigia kelele. Wakenya wanafaa kujitunza na kuwa na heshima zao. Makasisi pia walipigiwa kelele. Ni demokrasia na ni lazima ionekana kwamba kila mtu anaheshimika kwa fikira na uamuzi wake. Bw. Naibu Spika, ni lazima tumheshimu Askofu Njue hata kama alipinga Katiba mpya. Sasa yeye ameikubali Katiba kama kiongozi wa dini. Ilikuwa ni jambo la aibu kuona watu ...
view
25 Aug 2010 in National Assembly:
Ahsante sana Bw. Naibu Spika wa Muda. Ninasimama kuchangia Hoja hii ya maana sana ambayo inahusu mifugo ambayo ni nguzo ya uwezo wa mwananchi wa kawaida. Ni dhahiri kwamba lazima Waziri achukue jukumu la kuhakikisha kwamba masilahi, mahitaji, na raslimali za wananchi zimelindwa kupitia Wizara hii. Jambo lililofanya mambo ya mifugo kuwa hatari ni wizi. Hii Wizara inaweza kushirikiana na Wizara inayohusika na mambo ya ulinzi wa ndani kuona kwamba wananchi na mali yao wanalindwa. Haifai, katika nchi huru kama Kenya ambayo ina watu walioelimika, kuona mtu akienda kuchukua mali ya mwenzake na kuyaweka kwake. Ninazungumzia hasa kuhusu mifugo. Tumefikia ...
view
14 Jul 2010 in National Assembly:
On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. My point of order is based on the bomb blast that occurred in Uganda. Uganda is our neighbouring country and we all know what happened there a few days ago. Could I be in order to ask Parliament to observe one minute of silence in honour of those who lost their lives in Uganda?
view
1 Jul 2010 in National Assembly:
Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, thank you for giving me this opportunity to contribute and support this very important Bill which has been brought by Mr. Kaino. I want to state that Article 10 should not be here because we want to be here to represent the entire Republic of Kenya and work out ways and modalities to do that. If there is an institution to be established, we do not give reference and priorities to the areas where we come from. I would have preferred if Mr. Kaino would have said that this institution should be based in one ...
view
1 Jul 2010 in National Assembly:
Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir---
view