All parliamentary appearances
Entries 51 to 60 of 158.
-
23 Aug 2007 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, not really, except that like I have promised, I will consult with him, so that we can assist those families that have not returned to their places to do so.
view
-
22 Aug 2007 in National Assembly:
Asante, Bw. Spika. Nimefuatilia kwa makini malalamishi ya mhe. Kamotho na tutaleta taarifa kuhusiana na jambo hili siku ya Jumatano ijayo.
view
-
22 Aug 2007 in National Assembly:
Asante sana, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii ili niweze kuzungumza mambo machache kuhusu Hoja hii muhimu sana inayohusu mambo ya maji kwa taifa letu. Nataka kuunga mkono wenzangu ambao wamempongeza Waziri pamoja na maofisa wake kwa kazi yao nzuri ambayo wanaendelea kuifanya katika taifa letu. Miaka michache iliyopita, taabu ya maji ilikuwa kila mahali; hata huko kwetu sehemu za Kilifi na Ganze, wananchi walikuwa na matatizo sana. Katika wakati wa ukame, wananchi walikuwa wakitembea kilomita nyingi wakitafuta maji ambayo kwanza hayakuwa masafi na yalikuwa yakiwapatia shida za ugonjwa mara kwa mara. Tunataka kushukuru Wizara hii kwa sababu imesambaza maji ...
view
-
22 Aug 2007 in National Assembly:
Nakubaliana na wenzangu ambao wanasema kwamba Serikali haijafanya utafiti ambao utatuwezesha kuhifadhi maji mengi ambayo yanapotea wakati mvua inaponyesha. Wakati mvua inaponyesha, tunapoteza maji mengi. Maji mengi hupotea kwa sababu hatujatengeneza mabwawa ambayo yanaweza kutumiwa kuteka na kuhifadhi maji hayo ambayo yanayoweza kutumika katika shughuli za kilimo, mifugo na shughuli zingine nyingi. Kuna sehemu moja huko kwetu, Rare, ambayo nina hakika uchunguzi ukifanywa, maji mengi yanayopotea katika bahari yataweza kuzuiliwa hapo ili tuweze kufanya shughuli zinazohusiana na mambo ya kilimo. Bw. Naibu Spika wa Muda, naunga mkono wale wanaosema kwamba Wizara hii imefanya kazi nzuri katika kuboresha mambo ya maji. ...
view
-
22 Aug 2007 in National Assembly:
On a point of order, Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir. Bw. Naibu Spika wa Muda, nataka kumhakikishia Dkt. Khalwale na Bunge kwamba ingawaje wengine wetu hawako, wengine tupo na tutachukua notes na tutapitisha information hii kwa wale wenzetu wanaohusika.
view
-
22 Aug 2007 in National Assembly:
Asante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii ili niweze kutoa mchango wangu kwa Hoja hii. Hoja hii ni muhimu sana, kwa sababu inahusu watoto ambao wameachwa na wazazi na sasa ni yatima. Bw. Naibu Spika wa Muda, ningependa kumpongeza mhe. Prof. Mango kwa kuleta Hoja hii Bungeni. Hoja kama hizi ambazo ni muhimu zinahitaji kuungwa mkono na weheshimiwa Wabunge wote. Nashangaa kwamba wengi wetu hawako Bungeni kana kwamba hili jambo ni la mzaha, na hali ni jambo ambalo linahitaji kupewa uzito sana. Bw. Naibu Spika wa Muda, kila mahali katika Taifa hili utakapoenda, utapata vijana wengi ...
view
-
22 Aug 2007 in National Assembly:
August 22, 2007 PARLIAMENTARY DEBATES 3365
view
-
15 Aug 2007 in National Assembly:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I beg to reply. (a) The land belonging to Molo Police Station has never been allocated to any private developer. (b) From my answer in part (a) above, part (b) does not arise.
view
-
15 Aug 2007 in National Assembly:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I think as far as we are concerned in our office, the information we have is that the piece of land belonging to Molo Police Station has never been allocated to any private developer. If there is anyone with information indicating that originally that piece of land belonged to the police and has now been allocated to a private developer, we will be more than pleased to have that information. Otherwise, we are in consultation with the Ministry of Lands and any effort to resolve that matter will be appreciated.
view
-
15 Aug 2007 in National Assembly:
Mr. Deputy Speaker, Sir, as I said in my earlier answer, we, as a Ministry, are not aware. However, if there is anybody who has information indicating that this land originally belonged to the police and has been allocated to a private developer, let him or her bring that information to us. There is collective responsibility. We will liaise with the Ministry of Lands and resolve the matter. As far as we are concerned, there is no document to show that, originally, this piece of land belonged to the police and has now been given to a private developer.
view