11 Oct 2017 in National Assembly:
With those remarks, I move that this House adopts the Report.
view
10 Oct 2017 in National Assembly:
Hon. Speaker, I beg to lay the following Paper on the Table of the House:
view
10 Oct 2017 in National Assembly:
The Report of the Ad-Hoc Committee on the Supplementary Estimates for the Financial Year 2017/2018.
view
10 Oct 2017 in National Assembly:
Hon. Speaker, I beg to give notice of the following Motion:
view
10 Oct 2017 in National Assembly:
THAT, this House adopts the Report of the Ad - Ho c Committee on the Supplementary Estimates for the Financial Year 2017/2018, laid on the Table of the House on Tuesday, 10th October 2017 and pursuant to the provisions of Article 223 of the Constitution and Standing Order 243, approves: (i) an increment of the total recurrent expenditure for Financial Year 2017/2018 by Kshs63,513,309,301 in respect of the Votes as contained in the Schedule; (ii) reduction of the total capital expenditure for the Financial Year 2017/2018 by Kshs24,899,676,347 in respect of the Votes as contained in the Schedule; (iii) an ...
view
10 Oct 2017 in National Assembly:
The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
26 Sep 2017 in National Assembly:
Ahsante sana Mhe. Spika. Ningependa kumshukuru Kiongozi wa Walio Wengi Bungeni kwa kuleta hii Hoja ambayo ina maana sana. Kuhusu maneno ambayo yanaendelea nchini, haitakikani sisi Wabunge kujifanya hatujui ni nani analeta shida. Hii shida inajitokeza kwa sababu moja tu: mtu fulani hajashinda uchaguzi. Huyo mtu ni huyu jamaa ambaye alikuwa anaitwa Agwambo halafu akabadilisha sasa anaitwa Baba. Sijui ni baba bandia ama nini. Juzi amejibadilisha tena. Sasa anajiita Joshua. Sijui ni Joshua bandia pia ama nini. Baadaye tena amebadilika akawa ni kompyuta. Eti sijui yeye ni kifaranga. Nchi yetu haiwezi kuendeshwa kwa namna hiyo. Lazima wananchi wa Kenya wajue ...
view
26 Sep 2017 in National Assembly:
Nchi ya Ujerumani mbayo imejitawala kwa muda mrefu na iko mbele sana katika mambo ya kompyuta imesema haitaki uchguzi unaohusiana na kompyuta. Katika Nchi ya Amerika, hivi juzi Rais Trump akishindana na Bi. Clinton, ilikuwa na shida ya kompyuta. Je, sisi ni nani? Je, tumekuwa watumwa wa huyu mtu anaitwa Raila? Sisi hatutaki hayo maneno. Tutengeneze sheria itakayookoa nchi hii. Wafanyabiashara ni wengi ambao wanangojea nchi irudi hali ya kawaida. Lakini kuna jamaa wanakimbia kwenye barabara wakisema eti fulani aondolewe kazi eti ndiyo washinde kura. Hiyo haiwezekani! Tunataka wananchi wafanye kazi kama kawaida. The electronic version of the Official Hansard ...
view
26 Sep 2017 in National Assembly:
Wananchi wa Kericho wanataka kulima, kuchuna majani chai na kuvuna mahindi. Wametuuliza ni maneno gani haya yanaendelea. Tunataka nchi irudie hali yake ya kawaida.
view
26 Sep 2017 in National Assembly:
Kwa hivyo, tunataka kupiga kura na wananchi wote wanajua ni nani watampigia kura na wanajua ni nani walimpigia. Korti haikusema Uhuru Kenyatta hakushinda. Hakuna siku hata moja mahakama ilisema hivyo. Walisema karatasi fulani haikuwa imewekwa nambari fulani. Juzi tumesikia kuwa hizo karatasi zote zilikuwa sawa. Turudi kwa uchaguzi. Mambo ya mkate nusu hakuna. Hatuwezi kujifanya kwamba jamaa huyu anataka mkate nusu. Nataka kuwaambia wale wanaotembea na Raila Odinga; Mudavadi na Kalonzo, wajitayarishe. Raila Odinga aliitisha maandamano halafu baada ya siku moja, akasema hakuyaitisha. Anataka kwenda kando ndiyo wengine waingie shimoni wapelekwe Hague. Yeye ndiye atapelekwa Hague. Hawezi kupeleka mtu mwingine ...
view