Joshua Serem Kutuny

Parties & Coalitions

Born

1978

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

joshkutuny@yahoo.com

Email

cherangany@parliament.go.ke

Telephone

0720898128

Link

@Honjoshuakutuny on Twitter

All parliamentary appearances

Entries 251 to 260 of 461.

  • 13 Mar 2012 in National Assembly: Bw. Spika nimemsikiza Waziri Msaidizi akisema kwamba wana takriban tani 27,500 za mbolea ya kupanda mazao, na takriban tani 5,000 ya mbolea ya kunyunyuzia. Niruhusu niseme hivi: Tani 27,500 ni magunia 500,050. Itashoea hekari 200,050 ilhali wakulima wana zaidi ya hekari 4,000,000 na wanahitaji zaidi ya magunia ya mbolea milioni kumi ya kupandia. Mbolea aina ya CAN ni gunia 100,000 ilhali hio ni kama hekari 75,000. Wakulima wana hekari 4,000,000 na wanahitaji magunia milioni sita. Hii ni kumaanisha kwamba kuna upungufu wa mbolea. Je, ni kwa sababu wamekosa pesa ya kuagiza mbolea ya kutosha ama kuna uzembe katika Wizara, ama ... view
  • 13 Mar 2012 in National Assembly: Ama pia kuna watu wanaoungana na watapeli wanaoitwa MEA Ltd? Wakiendelea na kasumba yao, sisi tutawaambia wakulima wakatae kununua mbolea yao. view
  • 8 Mar 2012 in National Assembly: On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. I requested for a Ministerial Statement last week from the Minister of Agriculture on the availability and price of fertilizer. I have been waiting patiently for the Minister to deliver the Statement here. view
  • 6 Mar 2012 in National Assembly: Asante Bwana Spika. Ningependa kuomba taarifa kutoka kwa Waziri wa Kilimo. Huu ni msimu wa upanzi na wakulima wamejitayarisha lakini kuna mushkil kidogo katika pembe cheo ya kilimo. (a) Katika taarifa yake, ningependa Waziri aielezee Bunge ni mbolea kiasi gani ambayo Serikali imeagiza; (b) Waziri aielezee taifa mbolea ambayo imeagizwa itauzwa kwa bei gani kwa kila gunia; na, (c) vile vile Waziri akaririe Bunge mahala wakulima watapata mbolea hiyo. view
  • 6 Mar 2012 in National Assembly: Sadakita Bwana Spika. view
  • 29 Feb 2012 in National Assembly: Bw. Spika, ukienda Zanzibari kuna Kiswahili ambacho kinatumika huko. Pia kuna Kiswahili cha Dar-es-Salaam na cha Mombasa. Neno “shoga” kama alivyokusudia mhe. Mbuvi lina maana ya rafiki kule Unguja na Pemba. Wao humuita view
  • 29 Feb 2012 in National Assembly: Jambo la nidhamu, Bw. Spika. Waziri Mkuu amezungumzia hatua za Serikali kutoa mbolea ya kutosha kwa wakulima na akasema hio ndiyo juhudi ya Serikali. Sijui ikiwa Waziri Mkuu ana habari kwamba anaposema Serikali itatoa mbolea ya kutosha, tayari kuna kesi kortini. Kampuni moja kwa jina la Mea Limited imepeleka kesi kortini Halmashauri ya Nafaka isiuzie wakulima mbolea kwa bei rahisi ambayo ilikuwa imetangazwa na Serikali. view
  • 29 Feb 2012 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, I rise to second. This will ensure that there are clear demarcations of constituencies. The ambiguity of unclearness of boundaries raises temperatures in the constituencies and wards. It can also cause animosity. So, this one goes a long way to make sure that everything is clear as far as boundaries are concerned. view
  • 29 Feb 2012 in National Assembly: I beg to second, Mr. Speaker, Sir. view
  • 29 Feb 2012 in National Assembly: Yes, the hon. Member for Subukia! view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus