All parliamentary appearances
Entries 361 to 370 of 461.
-
16 Feb 2011 in National Assembly:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I have no objection to that.
view
-
16 Feb 2011 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika Waziri amezungumzia masuala ya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa New KCC. Ningependa afafanue mikakati na mipango ambayo ameweka ya kuhakikisha ya kwamba uteuzi huu utaangazia sehemu muhimu sana ambayo wao ndio wanatoa maziwa kwa wingi. Anayevaa kiatu ndiye anayejua mahali ambapo kinamfinya. Mara nyingi, uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hii umefanywa kwa kuzingatia misingi ya kisiasa na kikabila. Ningependa Waziri alihakikishie Bunge hili kwamba katika kufanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa New KCC hatazingatia misingi ya kisiasa na kikabila bali atateua mtu ambaye anaelewa masuala muhimu ya wakulima.
view
-
2 Feb 2011 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, I wanted to withdraw this Question because it has been overtaken by events. It has been five months since I asked this Question and the Government took action immediately. It is only now that it is appearing on the Order Paper.
view
-
2 Feb 2011 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, I beg to ask the Minister for Public Health and Sanitationá (a) whether she is aware that the supply of drugs meant for Benon Dispensary was cancelled; (b) whether she could explain why supply of drugs to the dispensary was stopped; and, (c) what action the Ministry is taking to address the shortage of drugs in the dispensary.
view
-
2 Feb 2011 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, I wish to withdraw Question No.594 as it appears on the Order Paper because it has been overtaken by events.
view
-
22 Dec 2010 in National Assembly:
Bw. Spika, ninasimama kupinga Hoja hii kuhusu kwenda likizo. Itakumbukwa kwamba Bunge hili hapo awali lilipitisha Hoja nyingine ambazo baadaye zilikuwa majuto. Majuto baadaye huwa mjukuu. Tunahitaji nafasi ya kutosha kutafakari na kuchambua Hoja muhimu kama hii inayohusu utekelezaji wa Katiba. Kwa hivyo, saa ambazo sisi Wabunge tutapewa kuichambua ni chache sana. Itakumbukwa tena Wabunge wanapoketi kuzungumzia Hoja kwa zaidi ya masaa manne, wengi wao hupatwa na lepe la usingizi. Wengine wetu hapa umri umewapa kisogo na hawatashughulika na mambo muhimu. Kwa hivyo, ninapinga Hoja hii.
view
-
22 Dec 2010 in National Assembly:
Thank you Mr. Deputy Speaker, Sir. This is a momentous occasion. I rise to support this Motion. It is timely. It is a Motion that is going to end impunity, if I have to say so. Some hon. Members who have contributed to this Motion, I am surprised, have forgotten that they were the cause of the problems. A few years ago, this country was moving in the right direction when we had the Inter-Party Parliamentary Group (IPPG). The leaders we had at that time were very committed and respected democracy. However, some leaders we had at that time rubbished ...
view
-
16 Dec 2010 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, ninataka thibitisho juu ya mkutano wa faragha uliofanyika kati ya Bw. Ocampo, Waziri Mkuu na mhe. Rais wa Jamhuri ya Kenya. Inadaiwa katika mkutano huo, Bw. Ocampo aliwataka Waziri Mkuu na mhe. Rais kutia sahihi mkataba kuwa hawatakuwa vizuizi au pingamizi juu ya kukamatwa na kushitakiwa katika korti la kimataifa washukiwa wakuu wa ghasia na fujo iliyokumba nchi hii baada ya uchaguzi mkuu. Je, ni ukweli Waziri Mkuu alikuwa tayari kuweka sahihi kukubaliana na mkataba huo na huko Rais akikataa kutia sahihi mkataba huo? Je, huo ni ukweli wa mambo yaliyotokea katika mkutano huo wa faragha au ...
view
-
16 Dec 2010 in National Assembly:
Bw. Naibu wa Spika, nitauliza swali langu kwa lugha rahisi ili kila mtu aielewe. Je, ni ukweli kulikuwa na mkataba kati ya Bw. Ocampo, Waziri Mkuu na Rais? Je, ni ukweli mkataba huu ulishurutisha Serikali isiingilie kati wakati korti la kimataifa litawakamata washukiwa hawa sita na kuwa wao hawatakuwa vizuizi na watakuwa tayari kuwashika washukiwa hawa? Inasemekana kulikuwa na mvutano kati yenu wawili. Waziri Mkuu alikuwa tayari kutia sahihi yake katika mkataba huo lakini Rais alikataa katakata kutia sahihi na kusema sheria ifuate mkondo wake. Je, mkataba huu ulinyima Serikali mamlaka yoyote juu ya washukiwa hawa? Ninataka Waziri Mkuu athibitishe ...
view
-
9 Dec 2010 in National Assembly:
asked the Minister of State for Provincial Administration and Internal Security when he will post a District Development Officer, District Procurement Officer and District Personnel Officer to the newly created Trans Nzoia East District.
view