Joyce Wanjalah Lay

Her story is of hope, hard work and resilience. Her father died before she completed her education but that did not stop her from pursuing her education later on as an adult. Even before joining politics she was passionate in helping and empowering her community.

All parliamentary appearances

Entries 161 to 169 of 169.

  • 18 Sep 2013 in National Assembly: So, I stand to support the Motion. view
  • 17 Jul 2013 in National Assembly: Hon. Speaker, I would like to support this Motion as amended. It is depressing to hear that artificial flooding is troubling people in this area. We know that a few kilometers away some people are suffering from hunger because they do not receive rains in their areas. These dams can be used as reservoirs and the water supplied to the drier areas to be used for irrigation and even drinking. We can control this situation. view
  • 4 Jul 2013 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Speaker, I rise to support the Motion and congratulate my namesake, hon. Dr. Joyce Laboso for bringing this Motion. We cannot go ahead and sign the EPAs given the condition they are in. We have to look at how they are going to affect our economy. Most times we sign these agreements only for them to hurt our economy. The Government has promised and is putting effort to grow our economy in the next five years. So, signing these agreements will hurt our economy. We also need to focus on how to manufacture. We need to focus ... view
  • 26 Jun 2013 in National Assembly: Thank you, hon. Speaker. I stand to seek clarification from the Leader of Majority Party. It is a bit related to the Youth Enterprise Development Fund (YEF) and I know the President said that he will be on the forefront to fight drug and alcohol abuse. If you are giving money to the youth without dealing with that problem I think it is not proper. It is an ailment in the whole country. Is there any money that has been set aside especially for rehabilitation centres in every county either to build or to refurbish the ones that we have? ... view
  • 5 Jun 2013 in National Assembly: Asante sana Mhe. Naibu Spika kwa kunipatia hii nafasi. Namshukuru Mhe. Gitari kwa kuleta hii Hoja Bungeni kwa sababu ugonjwa wa saratani umeangamiza watu wengi nchini Kenya. Vile vile ni kwamba watu wengi wanaoishi vijijini, hasa kina mama, wanapata shida sana na ugonjwa wa saratani na hawawezi kufikia matibabu. Hospitali nyingi za mkoa hazina vifaa kama hivyo na pia hawapati kuhamishwa kwa sababu ya ugonjwa huu. Wakati ambapo tunasherehekea mwaka wa Jubilee, kuna mambo mengi ambayo tumejaribu kupigana nayo hapa Kenya, mojawapo ikiwa ni magonjwa na ugonjwa huu wa saratani umekuwa hatari kubwa. Kwa hivyo, ni lazima Serikali ichukue hatua ... view
  • 5 Jun 2013 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 5 Jun 2013 in National Assembly: Asante sana Mhe. Naibu Spika kwa kunipatia hii nafasi. Namshukuru Mhe. Gitari kwa kuleta hii Hoja Bungeni kwa sababu ugonjwa wa saratani umeangamiza watu wengi nchini Kenya. Vile vile ni kwamba watu wengi wanaoishi vijijini, hasa kina mama, wanapata shida sana na ugonjwa wa saratani, na hawawezi kufikia matibabu. Hospitali nyingi za mkoa hazina vifaa kama hivyo na pia hawapati kuhamishwa kwa sababu ya ugonjwa huu. Wakati ambapo tunasherehekea mwaka wa Jubilee, kuna mambo mengi ambayo tumejaribu kupigana nayo hapa Kenya, mojawapo ikiwa ni magonjwa na ugonjwa huu wa saratani umekuwa hatari kubwa. Kwa hivyo, ni lazima Serikali ichukue hatua ... view
  • 22 May 2013 in National Assembly: Asante sana Bw. Naibu Spika wa Muda; ninaamuka kuweza kuchangia Hoja hii. Uwindaji haramu umekuwa kama kidonda sugu hapa nchini Kenya na mahali ambapo mimi ninatoka, ambapo ni Taita Taveta. Tumekuwa na shida nyingi sana kwa sababu ya wanyama. Wakati tunaangalia mikakati ya kuweza kuzuia uwindaji haramu tuangalie pia jinsi gani tunaweza kuwahusisha wananchi katika mambo ya wanyama pori. Vile vile, tunataka wajue kwamba ni jukumu lao kuweza kulinda wanyama pori kwa sababu wataweza kuwaletea faida. Unapata kwamba wananchi wana hasira nyingi sana kwa sababu hawahusishwi katika mambo ya faida kutokana wanyama pori. Hata Jumatatu niliweza kuhudhuria mkutano ambao ulikuwa ... view
  • 23 Apr 2013 in National Assembly: Ahsante sana mhe. Spika. Ningependa kukupongeza kwa kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge hili. Aidha ningependa kuwapa shukrani kubwa wakaazi wa Taita Taveta kwa kunichagua kama mwakilishi wao. Natoa shukrani kubwa kwa Rais. Kuna mambo machache katika hotuba yake ambayo ningependa kuangazia ambayo aliyataja kwa uzito sana. Kwanza ni elimu. Yeye anataka kupeleka elimu yetu katika kiwango cha juu. Alitaja mambo ya laptops. Sisi tuliochaguliwa kama viongozi inatupasa tuangazie masuala ya elimu ikiwa tutataka kupeleke elimu katika ngazi ya juu. Tukiseme tutawapatia watoto laptop na walimu waendelee kugoma kwa ajili ya mambo ya mishahara basi elimu haitakuwa imepanda katika kiwango cha ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus