Joyce Wanjalah Lay

Her story is of hope, hard work and resilience. Her father died before she completed her education but that did not stop her from pursuing her education later on as an adult. Even before joining politics she was passionate in helping and empowering her community.

All parliamentary appearances

Entries 31 to 40 of 169.

  • 30 Jun 2015 in National Assembly: Ahsante, Mhe. Spika. view
  • 10 Jun 2015 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa fursa ya kuchangia Hoja hii ambayo Mhe. Injendi ameleta. Kwa kweli, nataka pia kumpongeza kwa sababu imekuja kwa wakati unaofaa. Nakumbuka mwezi uliopita nilikuwa na mkutano kule Taita na viongozi wa makanisa. Hili lilikuwa ni swala tetesi. Walizungumza na kutuambia kuwa hapa Bungeni, tulete Hoja hii ili tuhakikishe kuwa ofisi za kusajili ndoa zimeletwa karibu na kaunti. Mhe. Injendi alitangulia kwa kuongea kuhusu mambo ya fedha zile ambazo watu wanaitishwa wakati wanapoenda kusajili harusi au ndoa. Kwa kweli, fedha hizi zinazoitishwa ni nyingi mno. Unapata kuwa inakuwa ni vigumu na vijana ... view
  • 10 Jun 2015 in National Assembly: Sasa hivi, tuna serikali ya ugatuzi; unaweza kupata huduma ambazo wanahitaji, huduma ambazo ni za dharura, na huduma ambazo ni za muhimu karibu na wao. view
  • 10 Jun 2015 in National Assembly: Nashukuru sana Mhe. Naibu Spika wa Muda na ninaunga mkono. view
  • 23 Apr 2015 in National Assembly: I have, hon. Temporary Deputy Speaker. view
  • 15 Apr 2015 in National Assembly: Thank you, hon. Deputy Speaker. I want to be generous and donate a minute each to my colleagues, starting with Mheshimiwa Shakila, Mheshimiwa Mwadime, Mheshimiwa Mwanyoha, Mheshimiwa Chanzu and Mheshimiwa Nyaga. It is one minute each. view

  • 15 Apr 2015 in National Assembly: I will have four minutes left for myself because they are six Members. view
  • 15 Apr 2015 in National Assembly: I will have four minutes left for myself because they are six Members. view
  • 15 Apr 2015 in National Assembly: Thank you. I want to thank every hon. Member of this House for contributing to this Motion. This is history in the making. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus