11 Oct 2022 in Senate:
Tungependa kupitisha sheria ambapo Serikali itatenga pesa za kununua mifugo wakati wa ukame ili wakulima na wafugaji wasaidike na maisha yao kuendelea. Jambo la uvuvi linaguzia sana kaunti yangu ya Lamu. Kuna miradi mikubwa sana katika Jamhuri ya Kenya kama vile Lamu Port, South Sudan, Ethiopia Transport Corridor (LAPSET). Mradi huu uliwahamisha kwa lazima wavuvi katika sehemu za Lamu. Wakati huu wavuvi wa Lamu wanakosa nafasi za kuvua kwa njia inayostahili. Tulikuwa na mipangilio hapo awali ili watu hawo waweze kufidiwa. Mpaka sasa, hakuna fidia ambayo imeweza kufanywa. Wananchi wamebaki na shida kubwa. Ningependa Mhe. Rais aweze kuangalia haswa watu ...
view
11 Oct 2022 in Senate:
‘ Hustlers’ ni wengi sana katika Jamhuri ya Kenya. Nimeona ametenga jumla ya shilingi bilioni 50. Wasiwasi wangu ni vile hawa ‘ hustlers’ watakavyotambulika. Kusije kukawa kunao watu wengine ambao wasiostahili kufaidika na hizo pesa wakifaidika. Inafaa tuwe na utaratibu ambao utatusaidia kujua watu ambao watafaidika zaidi na huo mgao wa ‘ Hustlers’ Fund.’ Pesa hizo zitakapogawanywa katika kaunti zetu 47 za Jamhuri ya Kenya kuna mambo muhimu yanayofaa kuzingatiwa. Watu wafanyazo biashara ndogo ndogo kama vile mama mboga, vinyozi na akina mama wa salon wanafaa waangaziwe zaidi. Hatutaki kuona pesa hizo zikkifaidi mabwenyenye ambao wako na uwezo. Wasije wakachukua ...
view
4 Oct 2022 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I thank you for giving me an opportunity to speak and ventilate on this very important Motion. I am here because of the people of Lamu County. I believe that I was sent into this House by the good people of Lamu County to ventilate on some issues, which are very important. Mr. Speaker, Sir, I believe and know that there are so many pending Bills in this House that need to be undertaken. I have been sitting and watching carefully as a new Member of this House and made the conclusion that we need to move ...
view