9 Nov 2022 in Senate:
Asante sana, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa nafasi hii kuunga mkono Hoja ya kumpitisha Eng. Koome kuwa inspekta mkuu wa polisi katika Jamhuri yetu ya Kenya. Nilibahatika kuwa mmoja wa wanakamati ambao walikuwa wanamhoji Eng. Koome. Tuliona ana tajiriba kubwa kutokana na utendakazi wake humu nchini. Bila shaka ni mtu aliye na uzoefu wa kufanya kazi. Atakapopewa nafasi ya kutumikia wananchi wa Jamhuri ya Kenya, naamini ya kwamba atafanya kazi nzuri na kutuhakikishia usalama wetu. Natoka katika Kaunti ya Lamu ambapo kwa muda mrefu tumekuwa na shida ya usalama. Nina uhakika kwamba Eng. Koome anajua jinsi atasaidia watu wangu wa ...
view
9 Nov 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
9 Nov 2022 in Senate:
mabadiliko katika kitengo cha polisi na bila shaka usalama katika Jamhuri yetu ya Kenya utaimarika. Bw. Naibu Spika, naomba kuunga mkono Hoja hii.
view
25 Oct 2022 in Senate:
Thank you, Mr Temporary Speaker, Sir. I rise pursuant to Standing Order No. 53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on National Security, Defence and Foreign Relations, regarding threats to the security of certain communities in Lamu County. In the Statement, the Committee should: (1) Investigate allegations of circulation of leaflets with messages threatening members of some communities in the county; warning the said communities to permanently evacuate the area. (2) Apprise the Senate on the plans the Government, through the Ministry of Interior and National Administration, has put in place in response to the current insecurity in ...
view
13 Oct 2022 in Senate:
Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir, for giving me this opportunity to add my voice to this important issue of committees. Much has been said about how committees operate. As a new Member, I would like to congratulate the Senate Majority Leader for highlighting how the committees work. I support this Motion, so that we make progress, because we have so much pending work and we need to move forward. I come from Lamu, a county that has a lot of issues when it comes to security. I have been appointed in different Committees and I will work to make ...
view
13 Oct 2022 in Senate:
Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir, for giving me this opportunity to air my voice on this very important issue of drought. I thank Sen. Ali Roba for bringing this very important Motion before this House. Counties in ASALs areas are the most affected. As the Senator for Baringo County has stated, this issue of drought has been a problem for a long time. I agree with him that there have been subsequent Governments that have failed to provide a long-lasting solution for this problem. I come from Lamu County where we have villages, and farmers and pastoralists are currently ...
view
11 Oct 2022 in Senate:
Asante sana, Bw. Spika wa Muda kwa kunipatia fursa ya kuchangia hii hotuba ya Mhe. Rais ambayo alitoa tarehe 29.09.2022.
view
11 Oct 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
11 Oct 2022 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, ningependa kwanza kabisa kuchukuwa nafasi hii kushukuru Mwenyezi Mungu kwa sababu ya kunijalia kuhudumu katika Bunge hili la Seneti. Vile, ningependa kuchukua nafasi hii kushukuru sana watu wangu wa Kaunti ya Lamu. Hii ni kwa sababu waliona ni vyema, kupitia kwa njia ya kidemocracia ambayo ilifanyika tarehe 09.08.2022, kunipatia fursa ya kuja hapa katika Bunge la Seneti ambalo limeweza kutikwa majukumu ya kikatiba ya kulinda ugatuzi pamoja na serikali zake kama vile ambavyo ilivyonakiliwa katika Kipengele cha 96 cha Katiba ya Jamhuri ya Kenya. Bw. Spika wa Muda, ningependa kuchukua nafasi hii kusema kwamba niliskiliza sana ...
view
11 Oct 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view