Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 101 to 110 of 133.

  • 23 May 2023 in Senate: wangu pale wameathirika sana na Serikali haijawahi kuwalipa ridhaa. Naungana na wenzangu kwamba huo ni mradi ambao utafaidi Serikali ya Kenya. Haitakuwa vizuri watu wachache kama watu wangu wa Lamu waumie. Kuna barabara ambayo imekatwa kutoka LAPSSET mahali imekalia hadi Southern Sudan ikipitia Isiolo. Shirika la NLC liliandikisha wale watu wote waliokuwa wamekalia ile sehemu na wakasema kwamba wamenastahili kulipwa fidia. Tangu siku hiyo waliochukua hayo maoni na kuweza kuwatambua wale watu wote ambao waliathiriwa na mradi huo wa LAPSSET lakini hajawahi kulipwa. Naungana na wenzangu kusema wale watu pia wanafaa kuingizwa katika orodha ya kuweza kulipwa ridhaa na fidia ... view
  • 27 Apr 2023 in Senate: Asante Spika wa Muda kwa kunipa hii fursa ya kuchangia swala hili ambalo ni muhimu katika Jamhuri hii ya Kenya. Nampongeza Seneta wa Kaunti ya Kakamega, Sen. (Dr.) Khalwale, kwa kuleta Hoja hii ili jambo hili lishughulikiwe kwa view
  • 27 Apr 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 27 Apr 2023 in Senate: haraka na mambo yanayotendeka katika sehemu ya Shakahola yawache kudhuru watu wetu. Niko na imani na Kamati hii ambayo imeteuliwa hapa. Kamati hii inatarajiwa kuangalia mashida na matatizo ambayo yamekumba waumini wa ile dhehebu. Nina uhakika kuwa Kamati italeta mapendekezo mazuri katika Bunge hili, ambayo yatazuia maafa kwa siku zijazo kupitia wahubiri au watumishi wanaotumia wafuasi wao kimakosa na kuwaangamiza kwa manufaa yao. view
  • 27 Apr 2023 in Senate: Kamati hii inafaa pia kuleta pendekezo la onyo kwa wahubiri wanao nia mbaya na kuhubiri kwa njia isiyo stahili. Kitu ambacho nchi hii itaangalia ni jinsi ambavyo Kamati italeta mapendekezo. Sisi kama wajumbe tunafaa kutilia jambo hilo mkazo na liwe na kanuni zitakazo saidia Jamhuri hii. Naunga mkono. view
  • 16 Mar 2023 in Senate: Mr. Temporary Speaker, Sir, I take this opportunity to welcome the visiting delegation of teachers from Stone Town Academy. Stone Town Academy is among the best performing private schools in Lamu County. I can confirm that in the last Kenya Certificate of Primary Education (KCPE), Stone Town Academy did well. That is why they were given an opportunity to come and benchmark here in the Senate and visit other parts of the Republic of Kenya. When they go back, I believe they will share they knowledge they would have acquired from all parts of the Republic of Kenya with the ... view
  • 16 Mar 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 16 Mar 2023 in Senate: Mr. Temporary Speaker, Sir, education in Lamu County has been lagging behind for a long time. Now that I am here as the Senator for Lamu, I urge this House to make sure that we join hands so that we uplift the standard of education in Lamu County. I also thank the visiting delegation of teachers from Lamu County. I encourage other teachers from the county to emulate what the teachers of Stone Town Academy have done. I believe that by so doing, we shall get some knowledge from other people such as the Senator of Kakamega, who is coming ... view
  • 9 Mar 2023 in Senate: Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii niweze pia kuchangia katika mjadala huu ambao umeletwa na Seneta wa Kaunti wa Embu, Sen. Munyi Mundigi kuhusiana na mambo ya umeme. Ningependa kusema kwamba nataka kuunga mkono maneno ambayo amesema ya kwamba ni muhimu sana Kenya Power waweze kujukumika katika mambo ya kuleta umeme katika Jamhuri yetu ya Kenya. view
  • 9 Mar 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus