27 Apr 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
27 Apr 2023 in Senate:
haraka na mambo yanayotendeka katika sehemu ya Shakahola yawache kudhuru watu wetu. Niko na imani na Kamati hii ambayo imeteuliwa hapa. Kamati hii inatarajiwa kuangalia mashida na matatizo ambayo yamekumba waumini wa ile dhehebu. Nina uhakika kuwa Kamati italeta mapendekezo mazuri katika Bunge hili, ambayo yatazuia maafa kwa siku zijazo kupitia wahubiri au watumishi wanaotumia wafuasi wao kimakosa na kuwaangamiza kwa manufaa yao.
view
27 Apr 2023 in Senate:
Kamati hii inafaa pia kuleta pendekezo la onyo kwa wahubiri wanao nia mbaya na kuhubiri kwa njia isiyo stahili. Kitu ambacho nchi hii itaangalia ni jinsi ambavyo Kamati italeta mapendekezo. Sisi kama wajumbe tunafaa kutilia jambo hilo mkazo na liwe na kanuni zitakazo saidia Jamhuri hii. Naunga mkono.
view
16 Mar 2023 in Senate:
Mr. Temporary Speaker, Sir, I take this opportunity to welcome the visiting delegation of teachers from Stone Town Academy. Stone Town Academy is among the best performing private schools in Lamu County. I can confirm that in the last Kenya Certificate of Primary Education (KCPE), Stone Town Academy did well. That is why they were given an opportunity to come and benchmark here in the Senate and visit other parts of the Republic of Kenya. When they go back, I believe they will share they knowledge they would have acquired from all parts of the Republic of Kenya with the ...
view
16 Mar 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
16 Mar 2023 in Senate:
Mr. Temporary Speaker, Sir, education in Lamu County has been lagging behind for a long time. Now that I am here as the Senator for Lamu, I urge this House to make sure that we join hands so that we uplift the standard of education in Lamu County. I also thank the visiting delegation of teachers from Lamu County. I encourage other teachers from the county to emulate what the teachers of Stone Town Academy have done. I believe that by so doing, we shall get some knowledge from other people such as the Senator of Kakamega, who is coming ...
view
9 Mar 2023 in Senate:
Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii niweze pia kuchangia katika mjadala huu ambao umeletwa na Seneta wa Kaunti wa Embu, Sen. Munyi Mundigi kuhusiana na mambo ya umeme. Ningependa kusema kwamba nataka kuunga mkono maneno ambayo amesema ya kwamba ni muhimu sana Kenya Power waweze kujukumika katika mambo ya kuleta umeme katika Jamhuri yetu ya Kenya.
view
9 Mar 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
9 Mar 2023 in Senate:
Bw. Spika, umeme ni jambo ambalo ni muhimu sana katika ukuzi wa uchumi wa Jamhuri ya Kenya. Tunapoendelea kupatwa na majanga ya ukosefu wa umeme katika sehemu mbalimbali za Jamhuri ya Kenya, unaona kwamba kunazoroteka zaidi katika upande wa maendeleo ikizingatiwa pia kwamba hospitali zetu zinahitaji umeme kila siku. Mimi nikiongelea kuhusu Kaunti yangu ya Lamu, niko na kisiwa ambacho kinaitwa Faza. Faza ni kisiwa ambacho sana sana wakaazi wa pale wanategemea uvuvi. Wakati ambapo stima inakosekana kama vile sasa, muda wa mwezi mmoja, Faza imekosa stima. Wale wavuvi ambao kitega uchumi chao ni kuvua, lazima waweze kuwa na barafu ...
view
9 Mar 2023 in Senate:
kama vile Sen. Wamatinga ameweza kusema kwamba hili Shirika la Kenya Power linafaa lichukuliwe head on kuona kwamba wakati wowote limeweza kujukumika katika mambo ya kulipia watu fidia wakati ambapo wanasababisha hasara kubwa kwenye uchumi wa watu wetu. Bw. Spika, Kisiwa cha Faza ni sehemu ambayo mpaka sasa, haijakuwa connected na national grid. Wanatumia jenereta kuweza kuleta stima katika ile sehemu. Ni jambo la kusikitisha kuona kwamba watu wangu wa Lamu wamebaki nyuma kwa muda mrefu. Ndiposa saa hii, ningetaka kusema kwamba serikali inafaa ijukumike Zaidi ione pia kwamba imeweza kuconnect Lamu na national grid ili wakati wowote, stima iwe ...
view