Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 71 to 80 of 134.

  • 7 Dec 2023 in Senate: Hoja hii ambayo imeletwa na Kiongozi na Kinara wa Wengi kati Bunge hili la Seneti. Mimi ni kati ya Maseneta ambao wamepiga kipindi kwanza katika Seneti hii. Ninashukru kwa sababu nimesoma mengi kupitia kwa uongozi ambao umekuwa katika Seneti hii. Hata hivyo, mimi ni kati ya Maseneta ambao wamemaliza kipindi hiki wakiwa na majonzi na masikitiko makubwa kufuatia shida na matataizo ambayo yamekuwa yakikumba watu wangu. Tunapoongea watu wangu katika Kaunti ya Lamu wana kilio kikubwa kwa sababu ya mauaji ya kiholela ambayo yamekuwa yakiendelea katika Kaunti ya Lamu. Serikali sasa inafaa kutilia mkazo ili kuona ya kwamba hakuna mauaji ... view
  • 19 Oct 2023 in Senate: Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. I rise pursuant to Standing Order No.53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on Roads, Transportation and Housing regarding the open mines left by the contractor for the Garsen-Lamu road construction project. In the Statement, the Committee should- (1) Outline steps taken by the Government to ensure the open mines left by the contractor for the Garsen-Lamu road construction project are refilled noting that they continue to pose safety risks to humans and animals. (2) Indicate the timelines for the rehabilitation of the open mines to address the safety concerns. (3) Provide ... view
  • 20 Sep 2023 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order No.53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on Health regarding the status of healthcare provision in Mpeketoni Sub-County Hospital in Lamu County. In the Statement, the Committee should: view
  • 20 Sep 2023 in Senate: (1) provide a comprehensive assessment of the equipment and facilities at Mpeketoni’s Sub-County Hospital in Lamu County; indicating whether it meets the required standards for a level four hospital in Kenya; view
  • 20 Sep 2023 in Senate: (2) state the current staffing levels at the hospital including the number of medical professionals, nurses and support staff; explaining whether the staffing levels are adequate; view
  • 20 Sep 2023 in Senate: (3) outline measures put in place to ensure the hospital maintains an adequate stock of essential medicine to meet the prescription needs of patients, stating whether such measures have proven effective. Mr. Speaker, Sir, under the Standing Order No.53(1), I still have another Statement on Insecurity in Lamu County. view
  • 19 Sep 2023 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa ya kuchangia Hoja hii muhimu inayohusiana na usalama katika nchi yetu na hususan kaunti yangu ya Lamu. Nashukuru Sen. Faki kwa kuleta Hoja hii ambayo inaguzia usalama wa nchi. Kama Seneta wa Lamu, kaunti iliyoathirika sana na mambo ya usalama, ningependa kutoa risala zangu za rambirambi kwa maofisa wetu wa usalama ambao usiku wa kuamkia leo, walipoteza maisha yao wakiwa katika harakati za kulinda nchi hii. Ndege waliyokuwa wakisafiria wakifanya surveillance ilipata matatizo ikiwa juu ya anga na hatimaye, hao wanajeshi wawili waliaga dunia. Hawa ni watu ninaowajua kwa sababu Jumatano iliyopita, ... view
  • 19 Sep 2023 in Senate: kupoteza maisha. Tuko na imani kubwa na Serikali hii na tunataka iangalie hali ilivyo ili isaidie jambo hili na kutegua kitendawili hiki. Bi. Spika wa Muda, napongeza maofisa wa usalama kwa sababu hao ni vijana wetu waliojitolea hali na mali kulinda nchi yetu. Katika mchakato wa kulinda hii nchi yetu, unapata pia wao wanaangamia. Wananchi wangu pia hawajawachwa nyuma. Mwezi uliopita, tulipoteza mama, mke wa Mwakilishi wa Wadi ya Hindi. Hilo ni jambo limehuzunisha sana kaunti yangu ya Lamu. Miezi miwili iliyopita, kuna watu walichomewa nyumba zao sehemu za Juhudi, Salama na Witho. Hao wananchi wamekuwa Internally Displaced Persons (IDPs) ... view
  • 31 Aug 2023 in Senate: Asante sana Mhe. Naibu Spika kwa kunipatia fursa hii. Nachukua nafasi hii ili niweze kuunga mkono Mswada huu ambao ni wa mabadiliko ya tabia ya nchi. Ninaunga mkono Mswada huu kama vile ambavyo Rais wetu, Dr. William Ruto, amekuwa katika mstari wa kwanza kusaidia upande wa kuhamasisha mambo ya mazingira. Nimetoka katika Kaunti ya Lamu, Kaunti ambayo imeketi katika asilimia 44 ya msitu katika Jamhuri yetu ya Kenya. Ni muhimu sana kaunti hiyo iweze kujumuishwa katika mambo ya carbon credit ili kaunti ambazo zina misitu mikubwa ziweze kujivunia na kuishi maisha mazuri. Mimi niko na watu ambao pia wameathirika sana ... view
  • 31 Aug 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus