Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 61 to 70 of 121.

  • 20 Sep 2023 in Senate: (1) provide a comprehensive assessment of the equipment and facilities at Mpeketoni’s Sub-County Hospital in Lamu County; indicating whether it meets the required standards for a level four hospital in Kenya; view
  • 20 Sep 2023 in Senate: (2) state the current staffing levels at the hospital including the number of medical professionals, nurses and support staff; explaining whether the staffing levels are adequate; view
  • 20 Sep 2023 in Senate: (3) outline measures put in place to ensure the hospital maintains an adequate stock of essential medicine to meet the prescription needs of patients, stating whether such measures have proven effective. Mr. Speaker, Sir, under the Standing Order No.53(1), I still have another Statement on Insecurity in Lamu County. view
  • 19 Sep 2023 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa ya kuchangia Hoja hii muhimu inayohusiana na usalama katika nchi yetu na hususan kaunti yangu ya Lamu. Nashukuru Sen. Faki kwa kuleta Hoja hii ambayo inaguzia usalama wa nchi. Kama Seneta wa Lamu, kaunti iliyoathirika sana na mambo ya usalama, ningependa kutoa risala zangu za rambirambi kwa maofisa wetu wa usalama ambao usiku wa kuamkia leo, walipoteza maisha yao wakiwa katika harakati za kulinda nchi hii. Ndege waliyokuwa wakisafiria wakifanya surveillance ilipata matatizo ikiwa juu ya anga na hatimaye, hao wanajeshi wawili waliaga dunia. Hawa ni watu ninaowajua kwa sababu Jumatano iliyopita, ... view
  • 19 Sep 2023 in Senate: kupoteza maisha. Tuko na imani kubwa na Serikali hii na tunataka iangalie hali ilivyo ili isaidie jambo hili na kutegua kitendawili hiki. Bi. Spika wa Muda, napongeza maofisa wa usalama kwa sababu hao ni vijana wetu waliojitolea hali na mali kulinda nchi yetu. Katika mchakato wa kulinda hii nchi yetu, unapata pia wao wanaangamia. Wananchi wangu pia hawajawachwa nyuma. Mwezi uliopita, tulipoteza mama, mke wa Mwakilishi wa Wadi ya Hindi. Hilo ni jambo limehuzunisha sana kaunti yangu ya Lamu. Miezi miwili iliyopita, kuna watu walichomewa nyumba zao sehemu za Juhudi, Salama na Witho. Hao wananchi wamekuwa Internally Displaced Persons (IDPs) ... view
  • 31 Aug 2023 in Senate: Asante sana Mhe. Naibu Spika kwa kunipatia fursa hii. Nachukua nafasi hii ili niweze kuunga mkono Mswada huu ambao ni wa mabadiliko ya tabia ya nchi. Ninaunga mkono Mswada huu kama vile ambavyo Rais wetu, Dr. William Ruto, amekuwa katika mstari wa kwanza kusaidia upande wa kuhamasisha mambo ya mazingira. Nimetoka katika Kaunti ya Lamu, Kaunti ambayo imeketi katika asilimia 44 ya msitu katika Jamhuri yetu ya Kenya. Ni muhimu sana kaunti hiyo iweze kujumuishwa katika mambo ya carbon credit ili kaunti ambazo zina misitu mikubwa ziweze kujivunia na kuishi maisha mazuri. Mimi niko na watu ambao pia wameathirika sana ... view
  • 31 Aug 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 29 Aug 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika. Ninaunganika na wenzangu kuunga mkono Hoja hii ambayo imewasilishwa na Kinara wa Walio Wengi katika Bunge hili la Seneti. Sisi tunaposoma Amosi 3:3 inasema wawili wasipokubaliana, hawawezi kutembea pamoja. Bw. Spika, ninaunga mkono Hoja hii ya kuwa na mazungumzo ya kitaifa ambayo italeta uwiano na kukomeza shida na matatizo yaliyoshuhudiwa katika Jamhuri yetu ya Kenya kwa muda wa siku ambazo kupita tangu tulipokuwa na uchaguzi wa mwaka 2022. Tumeshuhudia vurugu, umwagikaji wa damu na uharibifu wa mali katika Jamhuri yetu ya Kenya. Ninalaani jambo ambalo kama kiongozi kwa sababu limesababisha hasara kubwa katika Jamhuri yetu ya Kenya ... view
  • 29 Aug 2023 in Senate: na watu ambao hawajulikani? Hilo ni jambo ambalo linaleta huzuni katika nchi yetu ya Kenya na Kaunti yangu ya Lamu. Ningependa Serikali ione kwamba tunapoingia katika mambo ya mazungumzo ya kutafuta amani katika Jamhuri yetu ya Kenya--- view
  • 9 Aug 2023 in Senate: Madam Temporary Speaker, I thank you for giving me this opportunity to contribute to the Statement by Sen. Kavindu Muthama. I commend the AdHoc Committee for the good job they have done. It is unfair for the American Government to compensate its citizens and leave out Kenyans. Yesterday I saw some video clips in the media. The victims of the bomb blast were crying because of the kind of life they have been undergoing since that time. It is unfair for the American Government, being a friendly nation to Kenya, to compensate its citizens and leave out Kenyans who are ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus