9 Mar 2023 in Senate:
Bw. Spika, umeme ni jambo ambalo ni muhimu sana katika ukuzi wa uchumi wa Jamhuri ya Kenya. Tunapoendelea kupatwa na majanga ya ukosefu wa umeme katika sehemu mbalimbali za Jamhuri ya Kenya, unaona kwamba kunazoroteka zaidi katika upande wa maendeleo ikizingatiwa pia kwamba hospitali zetu zinahitaji umeme kila siku. Mimi nikiongelea kuhusu Kaunti yangu ya Lamu, niko na kisiwa ambacho kinaitwa Faza. Faza ni kisiwa ambacho sana sana wakaazi wa pale wanategemea uvuvi. Wakati ambapo stima inakosekana kama vile sasa, muda wa mwezi mmoja, Faza imekosa stima. Wale wavuvi ambao kitega uchumi chao ni kuvua, lazima waweze kuwa na barafu ...
view
9 Mar 2023 in Senate:
kama vile Sen. Wamatinga ameweza kusema kwamba hili Shirika la Kenya Power linafaa lichukuliwe head on kuona kwamba wakati wowote limeweza kujukumika katika mambo ya kulipia watu fidia wakati ambapo wanasababisha hasara kubwa kwenye uchumi wa watu wetu. Bw. Spika, Kisiwa cha Faza ni sehemu ambayo mpaka sasa, haijakuwa connected na national grid. Wanatumia jenereta kuweza kuleta stima katika ile sehemu. Ni jambo la kusikitisha kuona kwamba watu wangu wa Lamu wamebaki nyuma kwa muda mrefu. Ndiposa saa hii, ningetaka kusema kwamba serikali inafaa ijukumike Zaidi ione pia kwamba imeweza kuconnect Lamu na national grid ili wakati wowote, stima iwe ...
view
21 Feb 2023 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir, for giving me this opportunity to request for a Statement on the status of land discharge process in Lamu County. I rise, pursuant to Standing Order 53 (1), to seek a Statement from the Standing Committee on Land, Environment and Natural Resources on the status of land discharge process in Lamu County. In the Statement, the Committee should: (1) provide a status report on the Settlement Fund Trustee mandated to settle residents on unalienated Government land or land purchased by Government from private owners, stating how many resettlements have been successfully completed in Lamu County ...
view
16 Feb 2023 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I rise to second.
view
16 Feb 2023 in Senate:
I rise to support this Motion because we need to make progress. As you have seen, there have been a lot of shenanigans in the House. Kenyans are watching and they want us to work for them. They sent us to this House, so that we can do the work that they sent us to do. So, I support that we need to make progress, so that everything goes properly as it is arranged or planned. Thank you. I support.
view
15 Feb 2023 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir. Hon. Senators, pursuant to Standing Order No.232 (1) (b), I hereby present the Senate Petition by Mr. James Gakonga and other residents of Lamu, Baringo, Nairobi City, Kiambu counties concerning Linda Soka, tapping into Kshs302 billion football economy. As you are aware, Article 119(1) of the Constitution says: - “Every person has a right to Petition in Parliament to consider any matter within its authority including enacting, amending or repealing any legislation”. Hon. Senators, the salient issues raised in this Petitions are-: (a) THAT the Kenya enjoys a well-deserved representation as a sporting nation. However, ...
view
15 Feb 2023 in Senate:
Asante sana Bw. Spika. Nakushukuru sana kwa muongozo huo. Mimi kama mwanachama wa Jubilee, nafahamu kwamba wakenya wamechoka. Hatutaki maandamano. Umetoa uamuzi na tunafaa turejelee shughuli zetu kwenye Ratiba. Maseneta wameanza kutoka nje badala ya kuendelea na kazi tunayofaa kufanya.
view
15 Feb 2023 in Senate:
Bw. Spika, umetupa mwelekeo naomba tuendelee mbele. Wale wanaotaka kutoka nje wanaweza toka na kutuacha tufanyie wananchi kazi.
view
16 Nov 2022 in Senate:
Bw. Spika, asante kwa kunipa nafasi hii. Nachukua nafasi hii pia kumshukuru Sen. Osotsi, kwa kuleta Taarifa hii. Utalii ni kitega uchumi kikubwa cha Jamhuri ya Kenya. Mimi natoka katika Kaunti ya Lamu iliyopo katika Jumuiya ya Pwani. Sisi watu wa Lamu tunategemea sana utalii. Utalii ni jambo ambalo Lamu imejivunia kwa muda mrefu sana na sekta hiyo imeweza kuajiri vijana wengi katika Kaunti ya Lamu. Kwa hivyo, naunga mkono yale wenzangu wameweza kusema ya kwamba utalii ni jambo ambalo Serikali inafaa ichukulie na uzito sana, ikizingatiwa kwamba utalii umeajiri vijana wengi sana katika Jamhuri yetu ya Kenya. Bw. Spika, ...
view
15 Nov 2022 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir. I rise pursuant to Standing Order No. 53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on Land, Environment and Natural resources on the incessant human wildlife conflict in Lamu County. The Committee should - (1) State the reason for the frequent cases of human-wildlife conflict in Lamu County involving invasion of farms and residential areas by elephants particularly in Mkunumbi, Bahari and Hongwe wards. (2) Explain the reason for the failure by the Kenya Wildlife Services (KWS) in dealing with the menace in view of the destruction of food crops and properties in the ...
view