Khatib Abdallah Mwashetani

Parties & Coalitions

Email

khatibabdallah@yahoo.com

Telephone

0722716614

Telephone

0723922222

All parliamentary appearances

Entries 271 to 280 of 311.

  • 1 Jul 2015 in National Assembly: Ahsante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa fursa ya kuuchangia Mswada huu, ambao unahusu ugavi wa pesa kwa vyama vya kisiasa. Ningependa pia kuchukua fursa hii kumshukuru Mhe. Chris Wamalwa kwa kuuleta Mswada huu Bungeni kwa sababu, kama Naibu Mkuu wa Chama cha FORD (K), natambua jinsi mambo yalivyokoseka katika sheria ya vyama. Vyama vya kisiasa katika nchi yetu ya Kenya viliundwa kudumisha demokrasia. Tunataka kiwango ambacho yatakikana chama kifikie ili kipate sehemu ya pesa kishukishwe. Hii ni kwa sababu kama FORD(K), hatukuweza kufikia kiwango hicho na tuna The electronic version of the Official Hansard Report is for ... view
  • 1 Jul 2015 in National Assembly: Wabunge 11, magavana wawili na wawakilishi 85 katika mabunge ya kaunti. Kama si maelewano na Chama Kikuu cha Orange Democratic Movement (ODM), sisi tungekuwa katika hali mbaya kwa sababu ni muhimu uwakilishi ufike mashinani. Na kufikisha uwakilishi mashinani, ni lazima kuwe na pesa za kuwalipa maafisa na wale ambao wanasambaza jina la chama. Mhe. Naibu Spika wa Muda, naunga mkono Mswada huu ili pesa hizi ziwafaidi Wakenya wote. Vile vile, hizi ni pesa za umma ambazo zinafaa kufika kwa wananchi wote nchini Kenya. Pesa hizi za umma zina haki kutambulika na kujulikana jinsi zinatumika. Ikiwa zitakwenda katika vyama, tunaweza kubuni ... view
  • 23 Apr 2015 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. I have a Petition directed to the Departmental Committee on Lands. It reads as follows:- I, the undersigned, on behalf of the residents of Pongwe area in Lunga Lunga Constituency of Kwale County, do the draw the attention of the House to the following:- That, aware that on the advent of colonial administration in Kenya, many families were displaced from their lands to pave way for construction of colonial government facilities and settlement for white settlers; THAT, on 11th June, 1910, the British Crown alienated 320.12 acres of land from the residents of Pongwe and granted ... view
  • 23 Apr 2015 in National Assembly: THAT, even though the leasehold expired, no measures have been initiated by the Government to repossess the land and re-distribute it to the residents; THAT, recently, one Mr. Njue threatened to evict the squatters resident on the land claiming power of attorney as the owner of the land on freehold basis and yet, no records show that the land changed from leasehold to freehold; THAT, aware if the imminent eviction is effected, residents of Pongwe risk permanent loss of their right to the community land as enshrined under Article 63 of the Constitution; THAT, this inalienable right of the people ... view
  • 15 Apr 2015 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika kwa kunipa fursa hii kuchangia Hoja hii ya leo ambayo inaomba kutafsiri kwa lugha ya Kiswahili. Lugha ya Kiswahili ni lugha ya muda mrefu sana. Imetokana na shughuli zilizokuwa zikiendelea wakati tulipokuwa tukitafuta hali ya kufanya biashara katika mabandari yetu ya Afrika Mashariki. Kiswahili ni mseto wa lugha tofauti kimaneno. Imechangiwa na lugha kama Kihindi, Kireno na Kijerumani. Ukiangalia yale maneno ambayo yako katika lugha ya Kiswahili, ni lugha ambayo imechanganyisha makabila mengi ya Kibantu. Karibu asilimia 70 ya Wakenya wanaielewa lugha ya Kiswahili vyema. Hoja hii iliyoletwa na Mhe. Joyce Lay inalenga kutafsiri Katiba ... view

  • 15 Apr 2015 in National Assembly: hawa watoto wanapoitwa kuhojiwa ili kupata kazi. Wengi wanakosa kazi kwa sababu wameshindwa kujieleza kwa lugha ya Kiingereza ilhali wamesoma, wako na stakabadhi na wamepita. Ndiposa unaona inakuwa shida kwa watoto wetu kupata kazi haswa katika Serikali na sehemu zingine ambazo si za Serikali. Wale wanaowakilisha nchi yetu ya Kenya kama Mabalozi kutoka Ulaya na Uingereza, kabla hawajatumwa hapa, ni aula kwao kufundishwa ama kujifundisha lugha ya Kiswahili ili wakija hapa waweze kuwasiliana na wakaaji wa nchi yetu ya Kenya. Lugha ya Kiswahili inatambulika katika Afrika Mashariki. Ikiwa tutaendelea katika Muungano wa Afrika Mashariki, itakuwa muhimu kuitambua lugha ya Kiswahili ... view

  • 31 Mar 2015 in National Assembly: Ahsante sana, mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii ili niwe katika orodha ya wale wenzangu ambao watachangia ama kudadisi Hotuba ya Rais ambayo aliisoma hivi majuzi. Nakubaliana na Ripoti yake kulingana na yale The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 31 Mar 2015 in National Assembly: masuala aliyoyazungumzia kama vile umeme katika mashule. Shule zetu za sehemu tunazowakilisha hazijakuwa na umeme kwa muda mrefu. Lakini kwa sasa hivi--- view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus