Khatib Abdallah Mwashetani

Parties & Coalitions

Email

khatibabdallah@yahoo.com

Telephone

0722716614

Telephone

0723922222

All parliamentary appearances

Entries 21 to 30 of 311.

  • 10 Sep 2020 in National Assembly: Naunga mkono Ripoti hii. Asante sana kwa kunipa fursa hii. view
  • 12 Aug 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I rise to support the Report on the consideration of the Petition of former workers of the late Mayer, Jacob Samuels regarding the invasion and eviction of the workers from the land in Roysambu Constituency by KDF. First, let me start by appreciating the fact that this Petition was tabled by yourself and it was brought to the attention of the House through your office. Moreover, I appreciate the fact that last week you exempted it from the normal procedures as per the Standing Orders and allowed it to be debated today. Hon. Temporary ... view
  • 5 Aug 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker. I rise to second the Motion requesting the Report to be debated by Members of Parliament. This Report has serious public interest. It will be prudent enough for Members to, at least, go through the Report so that they can understand what is going on in our Ministries. This is because, the Report involves serious Government institutions like the KDF, the Ministry of Defense and the Ministry of Lands and Physical Planning. Therefore, I stand to second. Thank you very much. view
  • 4 Jun 2020 in National Assembly: Hon. Speaker, pursuant to Standing Order No. 44(2)(c), I wish to request for a statement from the Chairperson of the Departmental Committee on Administration and National Security on extrajudicial killing of a family in Kibundani Village, Ibiza Area of Msambweni Constituency, Kwale County. On Friday, 29th May 2020, between 10.00 p.m. and 11.00 p.m., four people from the same family; two adults, namely Ramadhan Mohamed Chitswa and Mwanahalima Mwachili, an expectant mother, and two minors Swalwa Chitswa and Ramadhan Chitswa were invaded in their house and killed by police officers under unclear circumstances in Msambweni Constituency, Kwale County. One corpse ... view
  • 4 Jun 2020 in National Assembly: unprecedented spread of the COVID-19 pandemic. I would like the Chairperson to respond to the following: 1. Under what circumstances did the police invade the family of Mohamed Chitswa and kill the mentioned four persons - including himself and the foetus - and left others injured from the same family? 2. What is the criteria and mechanism of engagement used by police during raids and operations in the course of their duties, and how are innocent young children and women protected during such operations? 3. What measures is the Ministry putting in place to ensure that the affected family is ... view
  • 10 Feb 2020 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Spika, kwa kunipatia fursa hii ili niunge mkono kutoa rambirambi. Kwa niaba yangu, familia yangu, wananchi wa Lungalunga na Kaunti ya Kwale, ninatoa rambirambi zangu. Ninamkumbuka Mhe. marehemu Rais Moi wakati alipokuwa akija Mombasa ama Pwani. Nilikuwa mmoja wa wale walikuwa wakimwimbia kwa vigelegele. Kila wakati tulipokuwa tukimwimbia, alikuwa lazima aache mambo mazuri nyuma. view
  • 10 Feb 2020 in National Assembly: Kusema kweli, tumeachwa na pengo. Mwenyezi Mungu amrehemu na afadhili familia iliyobaki nyuma. Asante sana. view
  • 5 Dec 2019 in National Assembly: Ahsante sana Mhe. Naibu wa Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii kuunga mkono Ripoti hii ambayo imeletwa na ambayo inahusu swala la usalama katika vivukio vyetu. view
  • 5 Dec 2019 in National Assembly: Kwanza, ninatoa pongezi kwa Kamati ambayo inaongozwa na Mhe. Sharriff Nassir kwa kuweza kuja na Ripoti hii ambayo kusema ukweli, siyo Ripoti ambayo itatumika kwa sababu ya majanga yaliyotokea kwa vivukio vya feri. Lakini Ripoti hii inaweza kutumika kwa njia zote kuhakikisha kuwa usalama wetu umedumishwa na vitengo ambavyo vimepewa nafasi hii. Feri hizi zetu kila siku pale kuna watu zaidi ya 300,000 wanaovukishwa na vivukio hivyo. Vile vile, kuna magari zaidi ya 6,000. Hiyo ni idadi kubwa sana ambayo ni muhimu iangaliwe kwa urefu. Ni mengi ambayo yamedokezwa katika Ripoti hii ambayo sisi kama Wajumbe na wale ambao ni ... view
  • 5 Dec 2019 in National Assembly: Kulingana na Ripoti hii, kuna umuhimu Serikali iwe katika zile pesa zinaombwa na shirika kama hili, zipatiwa kwa sababu hili si jambo la barabara wala si jambo la kutumika kiholela lakini ni jambo ambalo kila siku linabeba watu na hivi vivukio ambavyo viko ndani ya nchi yetu. Si ndege, ferry, ni lazima zile pesa ambazo wakiomba wapatiwe ili tusinyooshe vidole kwa wale wanaosimamia mashirika kama haya. Ripoti hii pia imependekeza kuwa katika hizi feri, zikiwa zinatumika kila siku, ni lazima wale watakao kuwa pale ndani kuwe na wale wapiga mbizi ambao wataweza kusaidi kwa majanga kwa wakati wowote. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus