Khatib Abdallah Mwashetani

Parties & Coalitions

Email

khatibabdallah@yahoo.com

Telephone

0722716614

Telephone

0723922222

All parliamentary appearances

Entries 31 to 40 of 311.

  • 5 Dec 2019 in National Assembly: Kuna mengi ningependa kuzungumza ila tu ni kuwapa kongole na kusema naunga mkono Ripoti hii ya Kenya Ferry Services. Asante sana kwa kunipa fursa hii. view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Spika. Nakushukuru sana kwa kunipa fursa hii ili niweze kuchangia Hoja hii. Mwanzo nakushabikia sana. Wabunge wenzangu waliotangulia kunena wamesema kwamba utaingia katika historia na kumbukumbu kwa vile umekipa nguvu Kiswahili. Umehakikisha katika mipango yako yote umekiweka katika usikizano na kueleweka na Wabunge watakaokuwa wakiongea lugha hii. Kiswahili ni lugha yetu na ni lazima tuwe na madaha nayo. Tukisikia wenzetu wanavyozungumza kwenye Bunge la Kitaifa la Tanzania, sio kuwa hawakusoma. Ile fikira kwamba anayezungumza Kiswahili hakusoma ni fikira ya uongo. Kwa sababu lazima tutambue kuwa kuna zile lugha ambazo zimekuja na zile tuko nazo. Wabunge wote ndani ... view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: Kitaifa ama Seneti tukitafuta kura, tunatumia lugha ya Kiswahili. Lakini Kiswahili kile ni lugha ambayo kidogo hatujaipatia nguvu. Kwa wale Wabunge ambao wako hapa, niko na imani kwamba wakipatiwa fursa ya kuzungumza Kiswahili, kila mmoja anaweza kuzungumza. Kama vile Mhe. Dennitah alivyotangulia kusema, itakuwa ni vizuri kama Kiswahili kingepatiwa nafasi katika zile siku nne tunazoketi katika Bunge hili la kifahari. Ndiyo tuwe na kikao kimoja ambacho Wabunge watajadili kwa lugha ya Kiswahili ili wawe na motisha na kila Mbunge atajitahidi kwa vyovyote kuzungmza hii lugha. Sisi tunaotoka Pwani, kila siku tunawasiliana na wananchi wetu. Kuna Hoja zingine ambazo zinaletwa hapa ... view
  • 2 Oct 2019 in National Assembly: Asante sana Mheshimiwa Spika. Kwanza, jambo la kusikitisha ni kuwa ukiangalia sababu ya wao kutoweza kulitoa lile gari pale lilipozama ni kwa sababu wameshindwa kupeana hewa ya kununua ambayo itakwenda mita 60 chini. Hewa walionayo ni ile ambayo inaweza kwenda mita 30 chini. Kule sehemu tunazotoka kama Vanga, kuna vijana ambao ni wenyeji wazoefu na wanaweza kwenda mita kama 60 chini na wakakaa kama masaa mawili bila kuwa na oxygen ya kununua. Sababu ya mambo kama haya kutokea ni pengine wale wanaoajiriwa pengine wana uzoefu wa kuogolea kwenye mabwawa au swimming pool lakini hawana uzoefu wa kuogelea kwenye maji. Mbali ... view
  • 2 Oct 2019 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii kuchangia Hoja hii. Kwanza kabisa ninapeana rambirambi zangu pamoja na familia yangu na wana Lungalunga vilevile na Kwale kwa jumla. Haya ni masuala ambayo yamejiri kwa muda mrefu. Janga la kwanza likitokea Likoni bado nilikuwa shuleni. Tulipoteza watu zaidi ya 200. Lamu ilitokea habari kama hii. Familia nzima ikapotea isipokuwa mzazi wa kiume aliyeweza kuogelea kwa masaa matano bila kupata usaidizi wowote kutoka kwa kitengo chochote cha kuangalia hali ya usalama katika nchi hii. Hili suala la kupeana kidole kwa Serikali naliona si suala sawa kwa sababu kila anayepewa ... view
  • 2 Oct 2019 in National Assembly: kuongoza katika shirika lolote, yeye kama mkurugenzi anatakikana apange mikakati ya kisawasawa na kuangalia vitengo ambavyo haswa vinatakikana vipewe kipaumbele katika mipango yake ya kuhakikisha anaendesha shirika lile. Lile gari ambalo lilizama pale lilichukua karibu dakika 30. Wale wanajeshi wa Navy waliokuwa wakifanya mazoezi waliona likizama. Kama baharia – mimi uogelea – na ikiwa hujazoea hata kama wajua huna vifaa hauwezi kuruka kwenda kusaidia. Kwa hivyo, mimi kama Mbunge nilizungumza na wenzangu kule Vanga na hii leo tunavyozungumza, katika timu ambayo inazunguka na imeruka kule chini kuhakikisha wametoa miili, ni vijana wanne ambao hawakusoma, hawana elimu lakini kazi yao ni ... view
  • 1 Oct 2019 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker, for giving me this opportunity to second the Motion on the nominees of NLC. Our duty, as a Committee, is provided in Standing Order No.216 (1) and (2). As a Committee, this was a new task because we were given a task of vetting. We had to look at what the Constitution, as read together with the National Land Commission Act, says. We had to go through each and every detail so that we come up with a report that would create, at least, an The electronic version of the Official Hansard Report is for information ... view
  • 1 Oct 2019 in National Assembly: understanding of how those nominees have performed in vetting. There was a cry in regard to the process of how the selection committee was constituted. The selection committee was constituted by the President. It was to be completed by having two members from the NGOs sector for it to conduct the selection of the nominees. We went through the law and the law was clear because there was communication between the Public Service Commission (PSC) and the NGOs sector, which was unable to present two members to sit in the selection committee. On that correspondence, it made the Committee complete ... view
  • 1 Oct 2019 in National Assembly: After understanding that the process was complete, the Clerk of the National Assembly wrote letters and invited the nominees who were selected for the vetting. We had nine members. One of them was that of chairperson. All of them were vetted in terms of integrity and academic qualifications. The chair was supposed to have an experience of 15 years. In regard to the documents which were presented with a CV, he qualified in terms of experience. All other members were to have an experience of 10 years. All those members qualified. We went through their documents, including their CV, and ... view
  • 1 Oct 2019 in National Assembly: It was a tiresome activity. I am sure that the reason there is a lot of anxiety in the House today is because of one Hon. Tiyah. Hon. Tiyah used to be a Member of Parliament. One, she is a lady. We are all Members of Parliament. I am sure that when you are caught by surprise at times, you might find yourself in a lockout. We should look at it in two ways. We expected to get a confirmation of tax compliance from the Kenya Revenue Authority (KRA) Commissioner- General. We called him and he told us categorically that ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus