14 Aug 2024 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir. Simply saying, I support the plenary. Much has been said and I would like to request that you recommend that the report be captured later by relevant committees. I thank you.
view
24 Jul 2024 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order No.53(1) to seek a Statement from the Standing Committee of National Security, Defence and Foreign Relations on the recent attacks on journalists covering the “Occupy” protests organised by Gen Z in Kenya. In the Statement, the Committee should- (1) Provide detailed accounts of the reported attacks on journalists, including any physical assaults, verbal threats, arrests and detention, destruction of equipment and other forms of intimidation that have taken place during the protests, including also alleged attempts to muzzle media houses from covering the protests. (2) Conduct an investigation into the role ...
view
3 Jul 2024 in Senate:
Bi. Spika wa Muda, ukiwa miongoni mwa watu wa mwisho kuzungumza, mara nyingi unapata kuwa mambo yote yamesemwa. Hata hivyo, sisi waliokula chumvi nyingi hatukosi maneno ya kuongezea. Bi. Spika wa Muda, nashukuru kwa kupewa nafasi hii. Kwanza kabisa, ningependa kutoa rambirambi zangu kwa wale waliofiwa na wazazi ambao watoto wao wako hospitalini. Tunawaombea Mungu awape subira kwa kupoteza watoto wao. Hakuna kitu kibaya kama mzazi kumpoteza mtoto. Hakuna uchungu mkubwa kuliko mtoto kutangulia kuaga. Nachukua nafasi hii pia kushukuru kwa mambo mazuri ambayo tumesikia kutoka kwa the Senate Majority Leader, Sen. Cheruiyot, the Senate Minority Leader ambaye ni mkubwa ...
view
3 Jul 2024 in Senate:
Tulimwona Waziri akitoa kauli kuwa wanajeshi watashirikiana na polisi ili kukabiliana na watoto wetu. Ikiwa polisi wameshindwa na vijana wetu, je, watafaulu kule Haiti? Mambo yaliyotokea yanasikitisha sana. Naunga mkono wenzangu waliosema kuwa hatutaki---
view
3 Jul 2024 in Senate:
Tumeona mambo ya Mhe. Rais hadi sasa Sen. Cheruiyot amekubali tuko uchi. Kwa hivyo, hii nguo tutajifunika vipi? Naomba pia haya mambo yote yanaenda kwa Mhe. Rais na akubali kuwa pia yeye aweze kufunikwa. Ili afunikwe, atafute wale watu wanaoweza kumsaidia, sio wale wanamharibia. Bi. Spika wa Muda, tumeona Mhe. Rais mwenyewe, kwa mfano, akisafiri kwenda USA kwa kifahari ilhali amewacha watu Kenya na njaa. Kusema kweli, hiyo ni pigo kubwa na watu wanaangalia na kuona. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only.A certified version of this Report can be obtained from the Director, ...
view
3 Jul 2024 in Senate:
Kwa mambo ya kazi, vijana wanaomba wapewe kazi. Kulikuwa na shida KRA ambapo tuliona application ya makabila mawili, hadi watu wakaenda kortini. Huko kwenda kortini, korti imesema kwamba haina nguvu lakini inakubali kwamba kabila zilikuwa mbili. Kusema kweli, hiyo ingekuwa ni pigo kubwa kwa Mhe. Rais na papo hapo, angechukua hiyo nafasi ya kuweza kubadilisha mambo mengine, lakini alinyamaza. Hata alipoambiwa kwamba alisafiri kifahari, bado alishindana hadi Wakenya wakatoa ukweli kuwa Kenya Airways (KQ) ilikuwa ni nauli ya chini kuliko vile yeye alisafiri. Kwa hivyo, mambo mengi yamejitokeza lakini uzuri ni kuwa, tumeanza kukubaliana kwa sasa. Watu wazima huzima, hawawashi. ...
view
3 Jul 2024 in Senate:
leo mtoto wangu awache wajukuuu wangu ambao ni watoto wake bila baba wala mama, maanake wote wamehusika. Hii haikuwa ni mtoto wa tajiri wala maskini, mtoto wako na wangu waliweza kutoka. Watoto waliuliwa kinyama walikuwa na simu zao tu na bendera ya Kenya wakisema sisi ni Wakenya. Imagine unyama wale wale polisi ambao walikuwa wanawatetea, wanawauwa watoto kinyama? Halafu jana, vijina wanaotetewa hawawezi kuwadhulumu. Wamesingiziwa kuwadhulumu. Kusema ukweli, leo tunakubali Mhe. Rais, kesho mambo ni mengine. Kutaka kujua bado nchi haiko sawa, Mhe. Rais na Makamu wake wameanza kushambuliana. Mhe. Rais anazungumza hivi, Makamu wake anazungumza vile. Mhe. Rais anasema, ...
view
3 Jul 2024 in Senate:
Nawaomba Mama Rachel na Mama Pastor Riggy G waweze kutoka ofisini ili zile fedha zao walizotengewa ziwafidie familia za wale watu wote waliofariki. Zigharamie huduma za mortuary na kufidia wazazi wao. Pia ziwalipie ada za hospitali wote walio hospitalini. Pesa walizotengewa zifanye kazi hiyo. Hata kama wao hawataenda, mimi kama mwenyekiti wa Kenya Women Senators Association (KEWOSA), naomba sisi Seneti tutoke sote tuwashughulikie walioathirika. Tumesimama kwa umoja siku zote tukiwa na shida. Hata Maseneta wetu wanatusaidia kuchanga, tuchukue hilo jukumu ikiwa Mhe. Rais au akina mama Rachel hawawezi kufanya. Nakumbuka wakati Mama Aida - wakati Prime Minister, Hon. Raila Odinga, ...
view
3 Jul 2024 in Senate:
. Ilinibidi niunge kama alumni ila nilishindwa niwaeleze nini, kazi itatoka wapi. Nakumbuka Bill yangu ilichukuliwa kumaanisha wale mawaziri hawafikirii. Walichukuwa Bill yangu waka copy-paste na kusema ni Bill ya Serikali. Mhe. Rais alipelekewa na kuambiwa hii Bill tumetengeneza, ilhali niliifanyia kazi ila ikarudi ikachukuliwa. Hawa mawaziri kazi yao ni nini? Tunaomba kuundwe tovuti pana ya utawala ya digitali ili isaidie vijana kuangalia vitu imepeanwa vipi. Tujue nani amepewa na ni nani hajapewa. Kuwe na nafasi ya vijana kuzungumza bila kuumizwa. Tumeona kwa vifaa vya hospitali kama Kenyatta Hospital mashine kama dialysis 20 au 30 haifanyi kazi. Inayofanya kazi ni ...
view