3 Jul 2024 in Senate:
Kwa mambo ya kazi, vijana wanaomba wapewe kazi. Kulikuwa na shida KRA ambapo tuliona application ya makabila mawili, hadi watu wakaenda kortini. Huko kwenda kortini, korti imesema kwamba haina nguvu lakini inakubali kwamba kabila zilikuwa mbili. Kusema kweli, hiyo ingekuwa ni pigo kubwa kwa Mhe. Rais na papo hapo, angechukua hiyo nafasi ya kuweza kubadilisha mambo mengine, lakini alinyamaza. Hata alipoambiwa kwamba alisafiri kifahari, bado alishindana hadi Wakenya wakatoa ukweli kuwa Kenya Airways (KQ) ilikuwa ni nauli ya chini kuliko vile yeye alisafiri. Kwa hivyo, mambo mengi yamejitokeza lakini uzuri ni kuwa, tumeanza kukubaliana kwa sasa. Watu wazima huzima, hawawashi. ...
view
3 Jul 2024 in Senate:
leo mtoto wangu awache wajukuuu wangu ambao ni watoto wake bila baba wala mama, maanake wote wamehusika. Hii haikuwa ni mtoto wa tajiri wala maskini, mtoto wako na wangu waliweza kutoka. Watoto waliuliwa kinyama walikuwa na simu zao tu na bendera ya Kenya wakisema sisi ni Wakenya. Imagine unyama wale wale polisi ambao walikuwa wanawatetea, wanawauwa watoto kinyama? Halafu jana, vijina wanaotetewa hawawezi kuwadhulumu. Wamesingiziwa kuwadhulumu. Kusema ukweli, leo tunakubali Mhe. Rais, kesho mambo ni mengine. Kutaka kujua bado nchi haiko sawa, Mhe. Rais na Makamu wake wameanza kushambuliana. Mhe. Rais anazungumza hivi, Makamu wake anazungumza vile. Mhe. Rais anasema, ...
view
3 Jul 2024 in Senate:
Nawaomba Mama Rachel na Mama Pastor Riggy G waweze kutoka ofisini ili zile fedha zao walizotengewa ziwafidie familia za wale watu wote waliofariki. Zigharamie huduma za mortuary na kufidia wazazi wao. Pia ziwalipie ada za hospitali wote walio hospitalini. Pesa walizotengewa zifanye kazi hiyo. Hata kama wao hawataenda, mimi kama mwenyekiti wa Kenya Women Senators Association (KEWOSA), naomba sisi Seneti tutoke sote tuwashughulikie walioathirika. Tumesimama kwa umoja siku zote tukiwa na shida. Hata Maseneta wetu wanatusaidia kuchanga, tuchukue hilo jukumu ikiwa Mhe. Rais au akina mama Rachel hawawezi kufanya. Nakumbuka wakati Mama Aida - wakati Prime Minister, Hon. Raila Odinga, ...
view
3 Jul 2024 in Senate:
. Ilinibidi niunge kama alumni ila nilishindwa niwaeleze nini, kazi itatoka wapi. Nakumbuka Bill yangu ilichukuliwa kumaanisha wale mawaziri hawafikirii. Walichukuwa Bill yangu waka copy-paste na kusema ni Bill ya Serikali. Mhe. Rais alipelekewa na kuambiwa hii Bill tumetengeneza, ilhali niliifanyia kazi ila ikarudi ikachukuliwa. Hawa mawaziri kazi yao ni nini? Tunaomba kuundwe tovuti pana ya utawala ya digitali ili isaidie vijana kuangalia vitu imepeanwa vipi. Tujue nani amepewa na ni nani hajapewa. Kuwe na nafasi ya vijana kuzungumza bila kuumizwa. Tumeona kwa vifaa vya hospitali kama Kenyatta Hospital mashine kama dialysis 20 au 30 haifanyi kazi. Inayofanya kazi ni ...
view
3 Jul 2024 in Senate:
ila ukiifungua hakuna kitu, ni hewa ilhali kuna watu wanalipwa. Watoto wetu wale wanasomea utabibu na udaktari, juzi walisema, ‘jameni, tusaidieni, tunaomba tu kitu kidogo.’ Lakini leo, Katibu Mkuu wetu amesema kuwa kwenye gari lake tu, ameekewa fedha ngapi ya kupita Nairobi Expressway? Kusema kweli, Kenya kuna vitu vingi sana vimeanguka. Mhe. Rais umeambiwa hicho kikoi chako kiko wazi. Utafanya nini? Kubali useme ni hivi na vile na mimi niko tayari. Tumeona kwa runinga Mhe. Rais unaambiwa shida iko hapa, lakini bado kuna utatanishi fulani. Mimi naomba tuwe na vikao kutoka Seneti na Bunge la Kitaifa. Sote tukae chini tuone ...
view
3 Jul 2024 in Senate:
ya kukubali makosa yetu. Tunaomba msamaha kwa Kenya kama kwa njia yoyote ile tumewakwaza Wakenya na vijana wetu. Lakini Mhe. Rais ndiye anafaa kutoka nje na yeye kwa kuwa kurudisha ule Mswada sio kuukubali. Ahakikishe kila kitu kimerudishwa na Bunge la Kitaifa limekaa chini na kurekebisha kila kitu. Naona muda wangu ni mdogo. Nikianzisha chochote kile, hatutaweza kumaliza. Mwisho basi namuelezea Mhe. Rais ya kwamba mkuki kwa nguruwe, kwa mwanadamu mchungu. Ujue hii damu ya wale watoto itakudhuru wewe na watoto wako na vizazi vyako. Kama leo huwezi kutoka nje na kukubali kila na kuomba msamaha wale watu wamefiwa, leo ...
view
30 May 2024 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order No. 52(1) to make a Statement on a matter of general topic concern; namely, drawing the attention of this House to two significant observances in the month of May – The International Day of the End Obstetric Fistula, observed last week on May, 23rd with the theme: Breaking the Cycle Preventing Fistula World Wide and Mental Awareness Month which underscores the theme; Mental Health is a Universal Human Right. These two observances, while distinct, are deeply interconnected. Obstetric Fistula, a severe childbirth injury, often results in profound psychological distress for affected ...
view
30 May 2024 in Senate:
(2) Providing mental health support as part of the maternal health care programme is crucial. Psychological counselling, supporting groups and community education can help women cope with the emotionally draining aftermath of fistula and reduce stigma. (3) Raising awareness about both obstetric fistula and mental health within communities can foster a supportive environment. Education campaigns can challenge misconceptions, encourage empathy and promote the inclusion of the affected women. (4) National and county governments and health organisations must prioritise maternal and mental health care in their health agendas. Policies that ensure access to comprehensive care services are vital. Advocacy efforts should ...
view
30 May 2024 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, my second statement is on the ongoing evictions and demolitions in Mathare and Mukuru kwa Reuben areas of Nairobi County. Mr. Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order No.53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on National Security, Defence and Foreign Relations, regarding the actions being taken by the Government of Kenya, concerning evictions and demolitions in Mathare and Mukuru kwa Reuben areas of Nairobi County. The recent floods in the country, especially in Nairobi and its environs have resulted in devastating consequences, including loss of lives and extensive property distraction. While I acknowledge ...
view
30 May 2024 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, kindly protect me.
view