Koigi Wamwere

Born

18th December 1949

Email

kwamwere@gmail.com

Telephone

0722905663

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 186.

  • 4 Oct 2007 in National Assembly: Bw. Naibu Mwenyekiti wa Muda, ninasimama kuunga mkono na kupinga mapendekezo haya. view
  • 4 Oct 2007 in National Assembly: Bw. Naibu Mwenyekiti wa Muda, ninayapinga kama Mbunge wa Subukia na Kiongozi wa Chama cha Mwananchi, ambacho kinapinga ufisadi kwa dhati. view
  • 4 Oct 2007 in National Assembly: Bw. Naibu Mwenyekiti wa Muda, nataka kukariri yaliosemwa, kwamba wafisadi hawaonyeshi wazi wanakoweka mali yao. Kila wakati, wafisadi huficha mali yao pahali popote wanapoweza kuyaficha. Kama huwezi kufichua kule kulikofichwa mali na wafisadi, usijidanganye kwamba unapigana na ufisadi. Katika nchi hii, tunajua ya kwamba mali yaliyoibiwa kifisadi yamefichwa katika benki za nchi za nje. Watu wameweka mali yao katika majina ya ndugu zao, marafiki zao, wake zao na watu wengine. Kwa hivyo, kupendekeza hapa kwamba mtu asifuatwe hadi kule alipoficha mali ya wizi ni kama kusema kwamba Bunge hili limeamua kuunga mkono ufisadi na wafisadi. Siku moja, Bunge hili litakuja ... view
  • 29 Aug 2007 in National Assembly: On a 3528 PARLIAMENTARY DEBATES August 29, 2007 point or order, Mr. Deputy Speaker, Sir. I was just wondering whether the hon. Member can address the House from where he was seated? view
  • 29 Aug 2007 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, naomba kuunga mkono Hoja hii. Ningependa kusema kwamba--- view
  • 29 Aug 2007 in National Assembly: Nimehama kwa sababu nimepigiwa kelele hapo mbele! Bw. Naibu Spika wa Muda, nilikuwa nasema kwamba kuna mabalozi ng'ambo ambao ningetaka kuwatolea pongezi zangu kwa sababu ya mapokezi na utumishi ambao wanatolea Wakenya wote ambao wanakutana nao. Hata hivyo, kuna mabalozi wengine ambao hawastahili pongezi kabisa. Inatakikana watie bidii katika kuboresha utumishi wanaotolea Wakenya. Mimi mwenyewe, kuna wakati nilikutana na jinamizi wakati mmoja nilipotembelea nchi ya Afrika Kusini. Nilifika huko saa sita za usiku, na hapakuwa na mtu yeyote kutoka kwa ubalozi wetu aliyekuja kunilaki. Ilikuwa niingie katika gari la wakora ili wanipeleke kule nilokokuwa nakwenda. Nilikuwa nimeenda huko kuhudhuria mkutano ... view
  • 29 Aug 2007 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, sijali kama huyo mtu aliyechaguliwa alikuwa Rais au nini. Hawastahili! Wakae nyumbani ili wanadiplomasia wafanye kazi ya ubalozi. Tukifanya hivyo, utapata kwamba nidhamu na huduma zitaboreka sana. Bw. Naibu Spika wa Muda, nitahitimisha kwa kusema kwamba ni makosa kuwachagua mabolozi kwa misingi ya vyama, ukabila na urafiki. Mtu wa aina hiyo, huwezi kujua uaminifu wake uko wapi. Ni vigumu kwake kuwa mwaminifu kwa Wakenya wote. Ndiyo sababu ninasema kwamba ni muhimu tutenganishe siasa na kazi ya ubalozi. Bw. Naibu Spika wa Muda, jambo lingine ambalo ningetaka kuuliza, na labda Waziri atanieleozea: Ni kwa nini kuna ... view
  • 29 Aug 2007 in National Assembly: . Hatujakuwa na Waziri isipokuwa Waziri Msaidizi ambaye ni mtu wa mkono. Lazima tuanze kusawazisha vile tunavyopeana kazi na rasilimali ya nchi. Huwezi kuwa na wilaya kubwa kama Nakuru na iwe kwamba haijatoa balozi hata mmoja. view
  • 29 Aug 2007 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, sitaki. view
  • 29 Aug 2007 in National Assembly: Sitaki, Bw. Naibu Spika wa Muda! Bw. Naibu Spika wa Muda, jambo lingine ambalo ningetaka kugusia ni kwamba tuna tatizo--- view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus