All parliamentary appearances

Entries 31 to 40 of 99.

  • 10 Jun 2015 in National Assembly: Ndugu yangu mpendwa, mheshimiwa wa eneo Bunge la Shinyalu, anafurahia sana kusikia ni kitu gani kinang’olewa. Ndugu yangu wa Shinyalu, hicho kitu The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 10 Jun 2015 in National Assembly: ambacho kinang’olewa, wewe mwenyewe umekibeba na mheshimiwa Aburi amekibeba. Sikusema ni kigeni. Kwa vile sisi ni familia hatuwezi kukitaja mbele ya Bunge lakini wazee wanajua ni kitu gani kinang’olewa. Ni kweli tunaona kinang’olewa. Tunakiita sehemu nyeti. view
  • 2 Apr 2015 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Naibu Mwenyekiti Wa Muda. Katika nchi yetu ya Kenya, kumekuwa na ukora mwingi. Ukiingia ofisi za Serikali, wakati wanataka kupeana zabuni, unasikia mtu mwingine kwa mfano, ―Bw. Stephen‖ amepewa stakabadhi kumi kwa mtu moja. Ni kwamba, ikiwa hiyo kazi ilikuwa ya Kshs.100 milioni, yeye anasema ya kwamba kwa sababu mtu mmoja ndiye amepewa kazi hiyo, wacha niweke iwe Kshs300 milioni. Kama ni ya Kshs300 milioni, anafanya iwe Kshs500 milioni. Kama ni ya Kshs500 milioni, anafanya iwe Kshs600 milioni. Lakini usisahau hiyo kazi ni ya Kshsh100 milion. Hiyo kazi--- view
  • 2 Apr 2015 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Naibu Mwenyekiti Wa Muda. Katika nchi yetu ya Kenya, kumekuwa na ukora mwingi. Ukiingia ofisi za Serikali, wakati wanataka kupeana zabuni, unasikia mtu mwingine kwa mfano, ―Bw. Stephen‖ amepewa stakabadhi kumi kwa mtu moja. Ni kwamba, ikiwa hiyo kazi ilikuwa ya Kshs.100 milioni, yeye anasema ya kwamba kwa sababu mtu mmoja ndiye amepewa kazi hiyo, wacha niweke iwe Kshs300 milioni. Kama ni ya Kshs300 milioni, anafanya iwe Kshs500 milioni. Kama ni ya Kshs500 milioni, anafanya iwe Kshs600 milioni. Lakini usisahau hiyo kazi ni ya Kshsh100 milion. Hiyo kazi--- view
  • 2 Apr 2015 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Chairman, I oppose. view
  • 2 Apr 2015 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Chairman, I oppose. view
  • 31 Mar 2015 in National Assembly: Asante, Bwana Spika. Yangu ni machache sana. Ninaunga mkono Hotuba ya Rais aliyotoa Alhamisi. Ukiangalia Wabunge katika Bunge hili, wamehangaishwa wakiwa chini ya mkanda mmoja wa magavana. Pesa zote za nchi ya Kenya zinapitia katika Bunge hili. Pesa za Voi, Kisumu, Embu, Laikipia na Meru zinapitia katika Bunge hili. Waheshimiwa katika Bunge hili wanajua ni pesa ngapi zinaenda katika kaunti zao. Lakini zikifika kwa kaunti, zinachukuliwa na wakora wasioshiba kule. Wanakaa chini pamoja na mawaziri na wawakilishi wa kaunti ambao hatuwaelewi na kugawa pesa hizi na kusema kuwa zingine zinaenda Malaysia, China, Texas, India, Dubai na zingine zinatumiwa kununua ng’ombe ... view
  • 31 Mar 2015 in National Assembly: Tumeteswa ya kutosha. Mungu alimguza Rais Uhuru na kuyaleta mambo ya wakora hawa. Tumeunga kama Wabunge wa ODM, TNA na URP. Wale wakora ambao tulipigia kura 2013 na kuwapandisha juu ya mti ili watuletee matunda, wameshindwa kutuletea matunda. Wanakula matunda wakiwa huko juu na kututeremshia matawi. Wakati umefika wa Wabunge wa ODM, TNA na URP kuleta miti na kuni ili tuwakishe moto chini ya ule mti. Rais Uhuru Muigai Kenyatta anafaa kuleta pilipili na Mhe. Spika ulete kiberiti ili tuwashe moto ndio hawa magavana wahisi moshi wakiwa kule juu na wateremke chini ndio Wabunge wapande juu. view
  • 31 Mar 2015 in National Assembly: Tumeteswa ya kutosha. Ukiangalia kule mashinani, Mbunge ako Nairobi siku saba. Akirudi kule mashinani, anamkuta mwakilishi wa kaunti ako na mambo yake pale na anaendesha Range Rover. Wawakilishi wa kaunti wanahudumia eneo dogo sana. Hawa wawakilishi wa kaunti wanapewa pesa nyingi sana na magavana ndio wawapige waheshimiwa. Pesa tunazozipata katika Bunge hili hazitoshi kuzunguka eneo la Bunge lote. Tumetosheka kutawaliwa vibaya na wakoloni Waafrika; ngozi nyeusi. Hawa magavana; washenzi wasioshiba, wanafaa kuongezwa kokoto kwa tumbo ndio wasihisi njaa tena. Wakati umefika tuungane kama Wabunge katika Bunge hili. Ukiangalia katika Kaunti ya Meru, tunalilia kwa choo na hatusikii harufu. Gavana wa ... view
  • 31 Mar 2015 in National Assembly: Hawa magavana hawafai kuambiwa wasimame kando. Rais Uhuru Kenyatta anafaa kutumia sheria ambayo ilitumika kule Nigeria na kuwachukua hawa wanauma, mmoja kwa mwingine na kuwafunga. Hiyo stori iishe. Ninaunga mkono Hotuba ya Rais. Ningetaka kumwambia kuwa hakuna maana ya kumbembeleza punda kwa mteremko, mwachilie ateremke. Utambembeleza akipanda. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus