12 Nov 2014 in National Assembly:
Asante Mhe. Naibu Spika wa Muda. Yangu ni machache. Mambo ya msongamano wa magari katika Nairobi ni makubwa sana na hili linahangaisha wananchi sana. Kwa mfano, ukitumia Mombasa Road, utajikuta umetumia saa nzima na ulikusudia kutumia nusu saa. Lakini kwa saa hii Mhe. Naibu Spika wa Muda, ukiangalia hiyo Barabara ya Jogoo na ile ya Landhies, na mahali wanasema wanataka shamba la ekari 50, huku ukizingatia kuwa thamani ya ardhi Nairobi ni milioni 400 ekari moja na ukiangalia wote wanaosikika wakiunga mkono Hoja hii, utaona kuwa wote ni (word expunged ) wa mashamba. Kwa sasa, tukipeana nafasi ama tupitishe Hoja ...
view
12 Nov 2014 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika wa Muda---
view
12 Nov 2014 in National Assembly:
Thank you, hon. Temporary Deputy Speaker. Let me apologise but, I would like to say that--- Okay, I apologise.
view
12 Nov 2014 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Speaker, I withdraw and apologise.
view
12 Nov 2014 in National Assembly:
Bwana Naibu Spika wa Muda, yangu nikuongeze kwamba tukisema Jogoo Road iongezwe kutoka kwa shamba ambalo liko Kenya Railways, hatuishi hiyo sehemu ya chini. Hatuwezi kung’oa stesheni ya mafuta na kituo cha reli ambavyo viko karibu ili tusukume soko la Muthurwa chini. Hili si jambo zuri. Jambo hili linahitaji mpangilio na watu wanafaa kuketi wapange pamoja. Sitaki kurudia mambo ya (word expunged ). Huo ni mdomo uliteguka na nimeomba msamaha. Lakini ukiwachunguza watu ambao wameileta Hoja hii katika Bunge kuhusu shamba la KRC, utapata kuwa kuna kitu ambacho kinaendelea nyuma yake. Nyuma yake, utasikia kuwa Mhe. Aburi alisimama Bunge na ...
view
15 Oct 2014 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika wa muda, yangu nikushukuru Rais kwa ile kazi amefanyia Wakenya. Ya pili ni kile kitendo ambacho alifanya kabla hajaenda ng’ambo, kumwaachia Mhe. Samoei Ruto Serikali. Si wengi wanaweza kufanya hivyo. Hata wewe ukiwa mhe. huwezi kuwacha kiti chako na kwenda ng’ambo. Hiyo ni kuonyesha kwamba yeye ni mtu wa watu; hana mtoto wa mgongo wala wa tumbo; hana mtoto aliye na kamasi wala mate. Watoto wote wa Kenya ni wake. Jambo la tatu, aliingia gari bila walinda usalama na kupitia ule mlango ambao tunapitia tukienda ng’ambo. La nne, alirudi Kenya bila walinda usalama wowote mpaka akaingia Ikulu. ...
view
15 Oct 2014 in National Assembly:
ingepinduliwa. Lakini hiki ni kitendo cha maana na nikiwa katika CORD naunga Serikali mkono. Kwa nini? Kwa sababu wameweza kuinua Wakenya na kutoa vitu vyote mezani. Kuna wengine wangechukua Serikali na kazi yao ingekuwa ni kufanya mambo chini ya meza. Lakini kwa sasa Jubilee inafanya mipango yake juu ya meza. Kwa njia gani? Angalia mambo ya pesa za kaunti. Kwa sasa Meru County ina Kshs5 billion; Kisumu ambao hawakumpigia kura, wana Kshs6 billion; Ukambani hawakumpigia kura na wana Kshs7 billion; Mombasa hawakumpigia kura na wana Kshs4 billion na yote ni Uhuru Kenyatta na William Ruto wameweka mezani. Lakini utasikia watu ...
view
14 Aug 2014 in National Assembly:
On a point of order, hon. Deputy Speaker. Is it in order for Hon. Sumra to chew tambuu inside the House? That is a drug because Hon. Sumra is chewing
view
14 Aug 2014 in National Assembly:
in the House. He should explain to us why he is doing so. This is a drug!
view
14 Aug 2014 in National Assembly:
Hon. Deputy Speaker, he is teaching the new hon. Member bad habits.
view