All parliamentary appearances

Entries 51 to 60 of 99.

  • 16 Jul 2014 in National Assembly: On a point of order, Bw. Spika. Ningeuliza, sijui CORD wameenda wapi siku ya leo. Ama wana collect zile signatures za referendum? Kwa sababu ukiangalia, wote wametoroka siku ya leo! Inaonekana hii Nyumba ina mambo! view

  • 16 Jul 2014 in National Assembly: Lazima tuwe tunaelewana katika nyumba hii--- view
  • 16 Jul 2014 in National Assembly: Lazima tuwe tunaelewana katika nyumba hii--- view
  • 16 Jul 2014 in National Assembly: Nani CORD? Niko CORD lakini niko CORD ambaye inaelewa inafanya nini katika nchi yetu ya Kenya. Na ndivyo nasema ya kwamba nyinyi mwasema kwamba Serikali haifanyi kazi--- view

  • 19 Jun 2014 in National Assembly: Yangu ni machache sana kwa wenzangu wa chama cha CORD. Kama ningelikuwa nimefanya makosa yoyote kuhusu chama chetu cha CORD, mngeniita mnieleze kwamba kama kiongozi kutoka Meru nimewakosea hivi na vile. Haifai mkiingia kwa nyumba na kuota moto, mseme kwamba Mhe. Aburi hafai kwa Kamati ya Lands. Mjue kwamba kupata kiti na CORD katika Meru ni kama kutoa nyama kutoka mdomo ya fisi. view
  • 19 Jun 2014 in National Assembly: Nataka tena Melewe kwamba mimi sina vita na nyinyi. Vita yangu ilikuwa kidogo na CORD. Mimi nilikuwa nagombea kiti cha mwenyekiti katika chama cha ODM nchi nzima. Kufika uwanjani pale, mimi na watu wangu tulitupwa nje. Mimi niliamua kwamba singekuwa na vita na nyinyi. Lakini mnaaandika mna vita na mimi; hiyo ni kama kuingiza kidole kwa shimo la siafu, na siafu ndio hawa; hakuna lingine. Mimi napinga mambo haya. Kama ningelikuwa na makosa--- Kama mngelikuwa watu wa ukweli, ama watu wanaofuata ukweli, mngeniita na kuniambia: Mhe. Aburi umekosa hivi na hivi. Mimi sitaki mseme kwamba Mhe. Aburi hatii sheria zetu ... view
  • 19 Jun 2014 in National Assembly: Ndiposa nimesema kwamba mimi, nikiwa kiongozi kutoka Meru, simbebelezi punda kwa mteremko. Namachilia ateremke chini; nitampembeleza akipanda. Mimi suingi mkono mambo haya, Sikukaa chini na hawa; hawa ni wakora; inafaa waongezwe kokoto kwa tumbo ndio wasisikie njaa tena view
  • 5 Jun 2014 in National Assembly: My apology, hon. Speaker! view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus