All parliamentary appearances
Entries 441 to 450 of 1318.
-
11 Aug 2011 in National Assembly:
Mr. Deputy Speaker, Sir, as I indicated, in 1980, the old bridge was superseded by the new Nyali Bridge, which was located approximately 0.89 kilometres to the north and, therefore, left the steel bridge to be dismantled. As I also indicated that the old bridge was a private concession. Therefore, it became extremely difficult for the owners to maintain it given that it had actually been constructed in 1931.The remnants of this particular bridge can be seen in Tamarin Restaurant. Hon. Members will agree with me that after all those years, it would have been extremely expensive to maintain that ...
view
-
11 Aug 2011 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, nimekubaliana na mhe Mbunge kwamba barabara ya kuelekea uwanja wa ndege wa Mombasa ina msongamano mkubwa wa magani, na mara kwa mara, inabidi watalii na watu wengine wanaotumia uwanja huo
view
-
11 Aug 2011 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, tumeiandikia barua Wizara ya Ardhi. Kama wanavyofahamu wabunge, kuna utaratibu unaopaswa kufuatwa kuchukua ardhi ambayo tayari imenyakuliwa, kama kupitia gazeti rasmi la Serikali. Kwa hivyo, Wizara ya Barabara imeiandikia barua Wizara ya Ardhi. Umilki wa ardhi hiyo utakapobatilishwa kupitia gazeti rasmi la Serikali, tutaweza kuichukua, kulingana na sheria.
view
-
11 Aug 2011 in National Assembly:
Bwana Naibu Spika, ninatambua jambo hilo kuwa shida, haswa katika barabara ya kuenda Mombasa. Hapo awali barabara hiyo lilikuwa na leni tatu, lakini, kwa sababu leni zingine zimeongezwa kumekuwa na ajali nyingi. Hata hivyo, ningetaka kusema kwamba hata pahali ambapo tumejenga daraja, wananchi wengi huwa hawatumii daraja hizo kuvuka barabara. Kule ambako tumetengeneza vivukio, tumeona kwamba wananchi bado hawavitumii. Kwa hivyo, hata kama tungeongeza daraja, tungehimiza wananchi kutumia daraja hizo ili tuweze kupunguza ajali za barabara. Asante.
view
-
11 Aug 2011 in National Assembly:
Bwana Naibu Spika, kama vile nimetaja, hapo awali, utaratibu ulikuwa ni kwamba lile shamba lote ambalo Serikali ingetaka kuchukuwa kwa matumizi ya barabara ama shughuli zingine, ilikuwa ni lazima iwekwe katika Gazetti rasmi la Serikali; the Kenya Gazette. Kwa hivyo, barabara zote ambazo tumekuwa tukijenga ikiwemo Thika Road, tumetumia kanuni hiyo. Kwa hivyo, sikusema kwamba tunangojea Wizara ya Ardhi itupatie majibu. Tunafuatilia, na nina imani kwamba tutaweza kupata majibu hivi karibuni. Asante.
view
-
11 Aug 2011 in National Assembly:
Bwana Naibu Spika, hilo si jambo la nidhamu. Hata hivyo, ningependa kujibu. Kwanza, tunawahamasisha wanaotumia barabara umuhimu wa kutumia daraja ili kupunguza ajali. Pili ni kuhusu mambo ya usalama. Wakati mwingi daraja zinapotengenezwa, kuna wakora na wahalifu wanaokaa kule chini mwa daraja na kuwapokonya wananchi wanapopita. Kwa hivyo, hali ya usalama ikiweza kuimarishwa, watu wengi wataweza kutumia daraja hizo.
view
-
11 Aug 2011 in National Assembly:
Bwana Naibu Spika, tulipatiana kazi hiyo; the preliminary
view
-
11 Aug 2011 in National Assembly:
mwezi wa nne mwaka huu na tunatararajia kufikia mwisho wa mwaka huu, tutakuwa na ripoti kamili na tutaweze kutafuta pesa za kutengeneza barabara hiyo ya pili. Asante.
view
-
11 Aug 2011 in National Assembly:
Thank you Madam Temporary Deputy Speaker, for giving me this opportunity. From the onset, I will require to be protected from hon. Kioni, whose position is, clearly, not in tandem with the House. I would like to take this opportunity to thank the Minister for taking the opportunity to bring this Bill. I would like to say that we have come a long way as a nation. I remember the few times that I have had an opportunity to interact with other Members of Parliament from other countries. They have come to acknowledge that the strides we have made, as ...
view
-
10 Aug 2011 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, ningetaka kusema kwamba kama vile Mr. K. Kilonzo amesema, alikuja kama amechelewa. Ni kweli jibu lilikuweko lakini mwenyewe amesema kwamba amekuja kama amechelewa. Hata hivyo, amekuja upande huu na nikamwonyesha jawabu ana akaridhika. Lakini, hata hivyo, nakubalina na wewe.
view