Lydia Haika Mnene Mizighi

Parties & Coalitions

Email

hycalydy@gmail.com

Telephone

0721452391

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 80.

  • 9 Jun 2022 in National Assembly: I thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker, for giving me the opportunity to contribute. From the outset, I want to support and commend the Committee for a job well done. When the ban on scrap metal trade was imposed, it left so many families with no food on the table. At some point, the business became a nuisance to the community, because it turned from scrap metal trade to metal business. I have an experience because there is a time my jiko was stolen. I had visitors and was lighting my jiko outside, but when I went to pick it ... view
  • 9 Jun 2022 in National Assembly: Shukrani sana, Mhe. Spika, kwa kunipatia fursa ya kuzungumza siku ya leo ambayo ni maalum sana, siku ya historia ambayo Bunge la Kumu na Mbili linaenda kufika kikomo. Natangulia kabisa kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa neema na rehema zake kwa kutupatia fursa ya kuwa hapa na kutuweka salama hadi sasa. view
  • 9 Jun 2022 in National Assembly: Pia, nachukua fursa hii kuwashukuru watu wa Taita Taveta kwa kuniamini na kunipatia fursa ya kuwa mwakilishi wao hapa Bungeni na Taita Taveta yote nzima. Nilipokea fursa hiyo kwa upendo na nimeifanya kazi kwa juhudi na upendo mkubwa. Asante sana Taita Taveta. view
  • 9 Jun 2022 in National Assembly: Tumekuwa na wakati mzuri na tumekuwa na changamoto hapa Bungeni. Mhe. Spika nakushukuru sana kwa sababu sisi Wajumbe ambao tulichaguliwa kipindi cha kwanza, tunakushukuru sana kwa mwongozo wako. Umetuongoza vizuri, umetupatia mawaidha na umetuongoza kwa hekima ya hali ya juu. Tumejifunza mengi, tumejionea mengi na tumesoma mengi sana ambayo yatatusaidia hapo mbeleni wale wetu ambao tunatazamia kwa kibali cha Mwenyezi Mungu tutarudi hapa katika Bunge la Kumi na Tatu. Naendelea kuwaomba wananchi wa Taita Taveta wanipatie fursa ya kuwatumikia tena kama mwakilishi wa akina mama kwa kipindi cha pili. view
  • 9 Jun 2022 in National Assembly: Mhe. Spika, changamoto kubwa ambayo ilinikera sana hapa Bungeni ni wakati nilipoona sisi kama Wajumbe tukisimama sana na vyama na vinara na kuwapuuza wananchi na haki zao The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 9 Jun 2022 in National Assembly: waliotuchagua haswa ule wakati wa Mswada wa marekebisho ya Katiba (BBI). Natazamia tutakaporudi hapa, kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu, Bunge la Kumi na Tatu… view
  • 31 Mar 2022 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker, I rise to ask Question No.094 of 2022 to the Cabinet Secretary for Labour and Social Protection: (i) Could the Cabinet Secretary state the criterion used in the identification and registration of elderly persons to benefit from the Older Persons Cash Transfer Fund Programme in Taita Taveta County? (ii) Could the Cabinet Secretary explain why data for a large number of older persons registered under the programme in the county since 2017 is yet to be captured in the system, therefore, denying them the benefits from the said programme? (iii) Could the Cabinet Secretary undertake to ... view
  • 30 Mar 2022 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker for giving me the opportunity to contribute to this Bill. I want to begin by congratulating Hon. Washiali for this well thought out Bill on insurance matters. From the outset, I support the Bill. The insurance sector has not been regulated for a long time. Many people have lost confidence in insurance matters because of the many challenges they have faced. I have so many cases that I cannot narrate here of people who have called me complaining of how they have been conned by insurance companies. This is because of the lack of ... view
  • 17 Nov 2021 in National Assembly: Shukrani Bi Naibu wa Spika wa Muda kwa kinupatia fursa hii ili nichangie Hoja hii ambayo ni muhimu sana. Unajua ya kwamba swala la mashamba ni swala nyeti, hasua hili ambalo tunaliongelea sasa ni swala ambalo limesumbua jamii sana kwa muda mrefu. Nachukua fursa hii nipongeze kamati husika kwa kazi ambayo wameifanya. Nimeona walitembea kule wakawasikiza wananchi, wakapata fursa pia ya kumsikiza mwenye shamba yule na wakasikiza pia wahusika mbali mbali ikiwemo serikali ya Kaunti yetu. Nikiangalia hii ripoti, ninashukuru kwa mambo kadha wa kadha. Kwanza, ni kwa sababu ya ile shamba ambayo imepeanwa kwa ajili ya wananchi ambao walikuwa ... view
  • 17 Nov 2021 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda, naishukuru Kamati hii pia kwa sababu imefanya kazi nzuri hata kupitia pia lile kundi ambalo limekuwa likihusika na masuala ya shamba hili. Ni vizuri kuekana wazi na ni vizuri ijulikane ukweli wa mambo uko wapi. Mimi kama kiongozi nimeshapata malalamizi mingi sana kutoka kwa wananchi wakisema kwamba “Mheshimiwa, hatuelewi hali ya kundi hili la Mwasima Mbuwa. Hatuelewi shughuli wanazozifanya na mara kwa mara tumetoa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus