Millicent Omanga

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 191 to 200 of 296.

  • 15 Oct 2019 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, if you ask them which reports of counties the Chairman has tabled, they are not aware, yet they are the same people who were complaining that the Committee was not doing anything. We are talking about their counties. view
  • 15 Oct 2019 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, if you look at the amount of money that the Chairman is talking about, it is millions of Kenya Shillings. view
  • 3 Oct 2019 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda. Ningependa kuunga mkono Mswada huu. Huu ni mswada mzuri sana ambao umeletwa na Mwenyekiti wa Committee onTourism, Trade and Industrialization . Bi. Spika wa Muda, Sen. Mugo, aliyezungumza kabla yangu, aliyatoa maneno mengine kutoka katika kinywa changu; hayo ni maneno kama i mplementation, ama utendaji. Kuna miswada mizuri sana ambayo tunapitisha kwenye Bunge, lakini baada ya kupitisha, utendaji wake, ama ile vile Sen. Mugo alisema, implementation, inakuwa hakuna. Bi. Spika wa Muda, kuna Mswada uliopitishwa kwenye Nyumba hii hapo awali – view
  • 3 Oct 2019 in Senate: . Mswada huo ulikua uhakikishe kwamba kila jiji kubwa na ndogo ziwe na meya, Board, ama ile kamati ambayo inaangalia utendakazi ama maendeleo ya yale miji. view
  • 3 Oct 2019 in Senate: Hatujaweza kufanya hivyo kuhusu huo Mswada tuliopitisha. Hadi sasa, hatuna meneja wa jiji la Nairobi, Mombasa na miji yote mikubwa nchini. Kama tungekuwa na meneja wa jiji katika miji midogo yetu tungeweza kutimiza mambo mengi ambayo yamependekezwa katika Mswada huu. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 3 Oct 2019 in Senate: Ningependa kumwomba Seneta aliyeuleta Mswada huu aone vile ataunganisha na ule wa Wachuuzi Rejareja uliyopitishwa mwaka wa 2015. Hapa Nairobi tumekuwa na shida kubwa sana ya wachuuzi rejareja. Kila wakati utaona wamama, wasichana, na vijana wetu wakikimbizana na askari wa kaunti ambao wanaitwa kanjo. Hawa kanjo wanatumia nguvu zao za kiserikali kuwadhoofisha na kuwahangaisha wafanyabiashara wa jiji la Nairobi. Nairobi ina idadi kubwa sana ya hawa wachuuzi. Bi. Spika wa Muda, nimetembea nchi za nje na nitatoa mfano wa Thailand, ambapo wana soko inayoitwa weekend market . Kila Ijumaa, kuna barabara katikati ya jiji ambayo imetengwa spesheli kwa hawa wachuuzi. ... view
  • 3 Oct 2019 in Senate: zinapoteza pesa za ushuru kwa sababu biashara hii haijawekwa kwa mpango. Nitapeana mfano wa Nairobi kwa sababu ndipo ninaishi na hapo ndiyo naelewa zaidi. Utapata jioni wachuuzi wanafanya biashara yao ni kama wanaiba kwa sababu hawajawekewa mpangilio wa kufanya kazi yao. Wanakaa wakiangalia kama kanjo anakuja na pia kuna watu ambao wanakuja kuwadanganya kwamba kanjo wanakuja. Unapata mama anabeba vitu vyake, nyanya zake zinaanguka na anapoteza vitu vingi sana. Wakati mwingine wale kanjo wanapokuja wanashika yule mama na kumpeleka kortini. Ni aibu kubwa wakati mwingine akina mama hao wanabakwa hapa Nairobi. Kwa sababu ya hio, Kaunti ya Nairoi haiwezi kukusanya ... view
  • 25 Sep 2019 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. Pursuant to Standing Order 48(1), I rise to seek a Statement from the Senate Committee on Education, regarding the fatalities caused by--- view
  • 25 Sep 2019 in Senate: Mr. Speaker, Sir, there is disruption from the Senate Majority Leader. I am not able to--- view
  • 25 Sep 2019 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. Pursuant to Standing Order 48(1), I rise to seek a Statement from the Senate Committee on Education regarding the fatalities caused by the collapse of a classroom at Precious Top Talent School in Dagorretti South, Nairobi City County, which led to the death of seven pupils and over 60 injuries. In the Statement, the Committee should- (1) State reasons for the lack of public schools in the area which has a population of almost 35,000 Kenyans whereas the Basic Education Act grants rights to free and compulsory primary education. (2) To explain the legal and ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus