Mishi actively participated in Likoni political campaigns in 1997 and 2002. She vied for Likoni parliamentary seat in 2007 and lost in party nominations which were marred by irregularities. She would like to see government funded drug rehabilitation centres established in Mombasa.
5 Nov 2020 in National Assembly:
Asante sana. Nasema kwamba ni lazima wanafunzi wawe na stakabadhi hii ndio waweze kuendelea na mitihani yao katika zile shule zetu hapa nchini. Vilevile, wakati unataka stakabadhi ya kusafiri, ni lazima upate stakabadhi hii kwanza hata kabla hujapeana hiki kitambulisho ambacho pia ni stakabadhi muhimu katika Taifa letu la Kenya. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
5 Nov 2020 in National Assembly:
Ukifika katika ofisi zile, kwanza utaulizwa utoe stakabadhi hii ya birth certificate. Nataka niseme imekuwa ni changamoto kwa sababu si wazazi wote ambao wanajifungua ama wanazalia katika hospitali zetu ambapo watapata kile cheti kiitwacho birth notification. Wazazi wengi ama akina mama wengi wanaweza kujifungua kupitia wakunga kule manyumbani ama kule nyanjani. Hivyo, inakuwa changamoto kuweka zile takwimu ama mawasiliano katika zile asasi zetu muhimu ili zinukuliwe na kupata takwimu za mtoto yule ili aweze kupata stakabadhi kama hii. Nasema kwamba huu ni wakati mwafaka ambapo teknolojia imebobea. Wakati teknolojia imebobea, lazima pia twende na muondoko huo huo wa kwamba hata ...
view
13 Oct 2020 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. I also rise to support this Motion by Hon. Abudullswamad Sheriff Nassir. I am doing that because we have to set a positive precedent for future transactions. We have noted a lot of illegalities in the company together with KEBS and the entire transaction which was done. We have noted so many actions were done un-procedurally. We have also noted a lot of unethical actions which were done, be it lying to the Committee and the Attorney-General that the tender was just an addition to the existing tender; only to realize that it was a fresh ...
view
6 Oct 2020 in National Assembly:
Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Hata mimi pia ningependa nizungumzie suala hili la ukuzaji wa sukari. Kila sehemu katika Jamhuri ya Kenya iko na uti wa mgongo wa uchumi wake. Hakika kwa watu wa Magharibi na Nyanza, sukari imekuwa uti wa mgongo katika uchumi wao. Suala hili la sukari ni suala nyeti kwa sababu viwanda hivyo vya sukari vilikuwa vimeajiri zaidi ya watu 40,000. Pia, vilikuwa vinafaidisha watu zaidi ya laki moja ambao ni wakulima wa miwa na, hivyo basi, kuweza kufaidisha zaidi ya watu milioni mbili katika taifa letu la Kenya. Ni masikitiko makubwa ya kwamba viwanda ...
view
6 Oct 2020 in National Assembly:
tutazungumza kisha ripoti inawekwa kando bila utekelezaji. Sasa ni wakati wa Bunge kuhesabika katika kufufua ukuzaji wa viwanda vya sukari. Leo tunaona katika miji yetu watu wengi wamejaa; kumekuwa na msongamano kwa sababu kule nyanjani, kule mashambani, hakuna ajira yoyote wala viwanda vyovyote. Wakenya wote wanakimbilia mijini. Kwa hivyo, iwapo tunataka kukabiliana na mambo kama hayo, lazima kuwe na viwanda mashinani na viboreshwe kwa hali ya juu kwa tekinolojia.
view
10 Sep 2020 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker, for giving me this opportunity. From the outset I want to congratulate Hon. Gladys Wanga for bringing this Bill. Before we had several Motions, even in the last Parliament, talking about cancer. Today we are talking about this Bill brought by her. I congratulate her. It is known and it is in public domain that cancer has robbed so many Kenyans – the young, the old, the poor and the rich. The likes of Bob Collymore and even our colleague here, Hon. Okoth, who also died from cancer. I want to agree with what ...

They call it muruo to imply someone has been bewitched. We must do awareness and sensitization meetings so that our communities can understand cancer. I want to agree with Hon. Gladys Wanga that we need to adopt the e-health concept so that information on cancer is disseminated to our citizens. I also want to agree with her that many people do not know where to seek treatment when they have a certain level of cancer and others just visit local clinics at the grassroots that do not offer such services. Our people must be given such important information. Hon. Temporary ...

16 Jun 2020 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Naibu Spika. Hata mimi nimesimama hapa kutaka kuongea na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchukuzi. Nafikiri Mhe. Abdullswamad Nassir aliuliza swali hili kwa sababu jambo hili limekuwa na utata mkubwa sana. Kama alivyosema Mwenyekiti, tuliweza kuwa na mkutano wa Wabunge kutoka Pwani, wakiongozwa na wa Mombasa, pamoja na Kamati ya Uchukuzi. Vile vile, pia, tukawa na mkutano pamoja na Rais, Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta, kwa swala hili. Kwa hakika, swala hili ni nyeti na ni swala ambalo limeharibu ajira nyingi sana ya watu wa Pwani na Wakenya kwa jumla. Wakati kulipotolewa ile tunasema kwa Kiingereza directive ya kusema ...
view