Mishi actively participated in Likoni political campaigns in 1997 and 2002. She vied for Likoni parliamentary seat in 2007 and lost in party nominations which were marred by irregularities. She would like to see government funded drug rehabilitation centres established in Mombasa.
16 Jun 2020 in National Assembly:
zilivyokuwa zikifanyika. Lakini, baada ya muda mfupi tu, tumekuja kuona kwamba swala lile limerudi vile vile. Tukiuliza tunaambiwa ya kwamba ni kwa sababu ya janga la COVID-19. Mhe. Naibu Spika, kweli tunajua COVID-19 iko nchini lakini swala lolote lingefaa watu waitwe mkutano ama wafanye ile tunasema kwa Kiingereza public participation na tuambiwe ya kwamba directives hizi zimerudi kwa sababu ya COVID-19, zimerudi kivipi, ni kwa muda gani na ikiwa zimerudi, je, tutaweza kufanya njia nyingine mbadala ambazo zinaweza kusaidia wakaazi wa Pwani na hata Wakenya kwa jumla? Kwa hakika, swala hili bado halijamalizika na majibu ambayo ameyatoa Mwenyekiti bado hayajakuwa ...
view
26 Feb 2020 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I stand to support the Report by the Departmental Committee on Lands on the nomination of Mr. Enosh Momanyi. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
26 Feb 2020 in National Assembly:
Mr. Momanyi has demonstrated that he has a lot of knowledge on physical planning. The person has the requisite academic credentials. He has a Bachelor’s Degree in Land Economics and a Master’s Degree in Housing and Administration. That is an added advantage. Right now, we have the Big Four Agenda and one of its components is housing. When we were vetting Mr. Momanyi, he answered technical questions and demonstrated that he has knowledge in physical planning. Although there was a petition by Korogocho slum dwellers, he elaborated and informed us how Kshs2,000 was paid by members of Korogocho slum to ...
view
5 Dec 2019 in National Assembly:
Ahsante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda. Kwanza nataka nishukuru sana Bunge hili kwa sababu kupitia kamati ya PIC, waliweza kuona kwamba suala la usalama wa Wakenya katika Kivuko cha Likoni ama kupitia zile feri ni muhimu. Kamati hiyo ilitembelea kivuko kile na kutathmini changamoto zilizoko pale. Kwa hivyo, ni shukrani sana kwa Mwenyekiti wa PIC pamoja na wanachama wake na Bunge kwa ujumla. Kivuko cha Likoni kinaunganisha taifa la Kenya na Jamhuri ya Tanzania, nchi jirani ambayo tuko nayo katika Muungano wetu. Kuhusu changamoto ambazo ziko pale, kuna takriban feri sita ambazo zina matatizo makubwa sana. Hususan, ni feri ...
view
5 Dec 2019 in National Assembly:
kwa lugha ya Kiingereza ama zile boti za kusaidia wakati wa dharura. Vile vile, tuweze kuwa na zile tunaita tug boats. Hizi ni boti ambazo hata ikiwa feri imezama, inaweza
view
5 Dec 2019 in National Assembly:
The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
5 Dec 2019 in National Assembly:
kuisaidia kwa kuinyanyua. Iwapo tungekuwa nazo, ile ajali iliyotokea kule kivuko cha Mtongwe miaka iliyopita na kupelekea sisi kupoteza watu takriban 250 isingekuwa mbaya kiasi hicho. Vile vile, tunahitaji kuwa na wapiga mbizi ambao wana tajriba ya kusaidia haswa wakati kumekuwa na dharura kama ile. Tuweze kupata vijana ambao wana ujuzi wa kuogelea baharini.Wawe ni watu wanaoelewa bahari na wanaweza kuwa wakombozi wakati kunapotokea ajali. Tunataka pia tuweze kuwa na vile vifaa ambavyo vinahitajika haswa katika vivuko vya feri. Kwa mfano, maboya ambayo yanaweza kusaidia katika hali ya usalama wakati kunatokea hali ya dharura. Lazima pia tuwe na vifaa vya ...
view
5 Dec 2019 in National Assembly:
The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
5 Dec 2019 in National Assembly:
Ikiwa hatutakuwa na mambo kama hayo, basi tutakuwa na changamoto nyingi sana. Pia, taifa letu la Kenya limeungana na nchi nyingi sana katika mambo ya baharini. Inabidi tuweke taasisi ambazo pia, hata wale wafanyikazi wetu wanaweza kupata elimu na taaluma za kuwawezesha kuboresha hali zao za kazi. Pia, elimu kwa mwananchi na usalama wake wakati anatumia vivuko kame vile iwe inarudiwa kila wakati katika kivuko kile kupitia vile vyombo vya mawasiliano kukumbusha Wakenya kwamba wanapoingia ndani ya feri, wazime magari zao na iwapo wako ndani ya gari, watoke nje na wasimame bambizoni mwa feri. Mambo kama yale yanafaa kuingiliwa. Vile ...
view
20 Nov 2019 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairlady. I want to support the amendment by the Chair. You remember just the other we said that we need 100 per cent transition of children in schools. If we need that, then we need to ensure that those who are in ECD must attend to those schools. I want to tell my colleagues who are not supporting this amendment that it is very easy to ensure that the children who come to centres like these ones can be counted, the structures and their caretakers can be known and they can have some prefects. They ...
view