Mishi actively participated in Likoni political campaigns in 1997 and 2002. She vied for Likoni parliamentary seat in 2007 and lost in party nominations which were marred by irregularities. She would like to see government funded drug rehabilitation centres established in Mombasa.
15 Aug 2018 in National Assembly:
Having said this, Hon. Temporary Deputy Speaker, I beg to reply.
view
8 Aug 2018 in National Assembly:
Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika. Kwanza nataka kumshukuru sana Mhe. Jessica Mbalu kwa kuleta Hoja hii katika Bunge la kitaifa. Hii ni Hoja muhimu sana haswa tukizingatia matukio ambayo tumekuwa tukiyaona ambayo ni dhuluma dhidi ya watoto wetu wa kike na hata wa kiume.
view
8 Aug 2018 in National Assembly:
Kenya imefanya mikataba pamoja na nchi nyingi ulimwenguni. Mikataba hiyo, pakubwa, inahusu jinsi tutakavyoshiriki katika kuangamiza dhuluma za kijinsia manyumbani kwetu.
view
8 Aug 2018 in National Assembly:
Tumeona wasichana wengi wadogo wakinajisiwa na wale wa kiume wakilawitiwa. Mara nyingi uovu huu hutendwa na jamaa wa karibu sana katika jamii zetu. Makaazi haya tunayozungumzia yakitengenezwa, watu waliodhulumiwa watapata mahali pa kupumzika na kupata ushauri. Aidha, watapatiwa matibabu na mwelekeo mwema wa kurudia maisha yao ya kawaida. Tendo la kunajisi ama kulawiti humpa anayekosewa hofu na kumfanya ajihisi si binadamu wa kawaida tena. Wakati mwingine utapata watu wakiwakejeli na kuwashushia hadhi waathiriwa wa matendo hayo maovu. Kwa sababu hiyo, ni wazo zuri kwamba waathiriwa wapate makaazi ambamo watatuliza mioyo na akili zao. Jambo hili si gumu kutekeleza katika nchi ...
view
8 Aug 2018 in National Assembly:
Tukishatengeneza makao haya maalum ya waathiriwa, itatulazimu kuweka mikakati na mifumo makhususi ya kuhakikisha matumizi mazuri ya pesa. Hivyo, tutahakikisha pesa zimewafikia waliolengwa. Makao hayo pia yatatuwezesha kupata takwimu sahihi kuhusu visa vya dhuluma dhidi ya wanyonge. Sasa hivi kuna watu wengi ambao wanapata matatizo lakini wamejificha na wamenyamaza. Ni kwa sababu hawajui watapata afueni kutoka wapi. Hawajui ni taasisi gani ambayo inaweza kuwasaidia kwa njia ambayo haitawaibisha ama kuwakejeli.
view
8 Aug 2018 in National Assembly:
Sharti pia hospitali za kitaifa zitenge sehemu za kuwakagua na kuwahudumia waliodhulumiwa. Juzi tumeona jinsi mama mmoja kutoka sehemu ya Ukambani alivyokuwa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
8 Aug 2018 in National Assembly:
akipigwa sana na mume wake. Mama kama yule pengine akirudi katika familia kama bado hajapata ushauri, …
view
8 Aug 2018 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Speaker, I beg to move the following Motion: THAT, aware that Article 53(b) and 54 of the Constitution guarantees the right to free and compulsory basic education for every child and provides for persons with disabilities respectively in that persons with disability have a right to access educational institutions and facilities that are integrated into society to the extent compatible with their interests and needs; further aware that the government provides for education to children living with disabilities through integrated units in primary schools; cognisant of the fact that the lack of a clear implementation framework of ...
view
8 Aug 2018 in National Assembly:
needs. The global efforts to champion the needs of children living with disabilities were also emphasised at the Convention on the Rights of Persons with Disabilities in 2006. The Convention resolved that persons with disabilities should be guaranteed the right to inclusive education at all levels, regardless of age, without discrimination and on the basis of equal opportunity. In this regard, State parties should ensure that: 1. Children with disabilities are not excluded from free and compulsory primary education or from secondary education; 2. Persons with disabilities receive the necessary support within the general education system to facilitate their effective ...
view
8 Aug 2018 in National Assembly:
Kenya’s earliest effort for organised care and provision of special needs education dates back to the late 1940s with much involvement of the religious institution in establishing special schools and institution for children with visual...
view