Mishi actively participated in Likoni political campaigns in 1997 and 2002. She vied for Likoni parliamentary seat in 2007 and lost in party nominations which were marred by irregularities. She would like to see government funded drug rehabilitation centres established in Mombasa.
17 Oct 2018 in National Assembly:
Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nami pia nasimama kumuunga mkono kakangu, Mhe. Jomo Washiali, kwa kutuletea Hoja hii. Ni kama amejua mwambao wa Pwani na mambo ambayo yanajiri wakati huu hata katika
view
17 Oct 2018 in National Assembly:
yangu. Kwa hakika, vijana wengi wameathirika sana na mihadarati. Mambo ya mihadarati imewafanya vijana kuingia katika magenge haramu na hata magenge ya ugaidi. Sisi, kama Wakenya na viongozi, tumefanya machache kuhakikisha tumeweza kuunasua umma wetu na vijana hao wadogo. Kabla hatujazungumzia mambo ya kuwanasua vijana hao ama kuwabadilisha tabia, tujiulize katika taifa letu iwapo taasisi ambazo zinaweza kubadilisha watoto wetu tabia ni ngapi. Pale ambapo kuna taasisi, unapata hakuna walimu, hakuna washauri na pia hakuna vifaa. Utapata ya kwamba pia ni taasisi ambayo mipangilio yake imechanganya watoto wa kike na watoto wa kiume. Hivyo basi kuwafanya watoto wa kike kuathirika ...
view
17 Oct 2018 in National Assembly:
Vile vile, lazima walimu waweze kubadilisha riwaya. Kwa kimombo tunasema: “An alternative narrative.” Riwaya ya kwamba mtoto ambaye ni mtundu anakuwa ni adui wa mwalimu ama anatengwa anawekwa kando. Riwaya kama hizi hazitasaidia watoto kama hao. Lazima walimu wawafanye marafiki wale watoto watundu ama wale wameingilia mihadarati, wawaweke karibu, wawapatie ushauri ndiposa tutapata ya kwamba hatutakuwa na watoto wahalifu kama hao. Ningependa kuzungumzia jela na rumande zetu. Tunazijua zilizovyo. Hivi karibuni, katika eneo bunge langu, nilikosana sana na OCS wa eneo la kwangu wakati msichana wa miaka kumi na miwili alikuwa ameshikwa, akawekwa rumande ambako kuna wazee na wanaume chumbani. ...
view
17 Oct 2018 in National Assembly:
Ahsante sana, Naibu Spika wa Muda. Ndio nasema tusiwaweke watoto kama hao wa kike katika rumande na kina baba, watu wazima ambao wako pale. Tunajua hisia ni tofauti na wakati jinsia mbili zimekutana mahali kama pale ambapo huwa pana giza, mambo mengi hutokea. Je, hao watoto wetu wa kiume tutawachunga vipi kuhusiana na mihadarati? Katika jela zetu na rumande zetu, kuna wafungwa sugu ambao wanakuwa vichuuzi wa mihadarati, na vijana wanapokuwa pale, mbali na kuwacha mihadarati, wanazidi kuitumia. Unapata sigara zinauzwa na kutiwa mihadarati na maafisa kadhaa kuhusika kabisa kufikisha vitu kama vile katika jela hizo. Lazima tuangalie upeo mkubwa ...
view
11 Oct 2018 in National Assembly:
(Likoni, ODM) asked the Cabinet Secretary for Transport, Infrastructure, Housing and Urban Development whether he could provide the status of acquisition of a new ferry for the Likoni Channel, cognisant that funds were allocated for the procurement process during the Financial Year 2017/2018. Thank you.
view
15 Aug 2018 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. Because of the interest that has been shown by so many Members, before I reply, I just want to donate one minute each to two Members. I will donate one to my Bishop and the other one to Hon. Passaris.
view
15 Aug 2018 in National Assembly:
Yes, Hon. Temporary Deputy Speaker. I want to donate one minute to the Woman Representative for Mandera County.
view
15 Aug 2018 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I beg to reply. Let me begin by thanking all the Members for overwhelmingly supporting this Motion. I am delighted that almost all the Members of this House have supported the Motion. I take cognisance of the handful suggestions put forward to add value to this Motion. In their contributions, Members have talked about various challenges facing the Ministry of Education, Science and Technology in the management of special needs education, ranging from inadequate funding, lack of trained human resource as well as underdeveloped infrastructure. A lot of equipment, including hearing devices and wheelchairs, ...
view
15 Aug 2018 in National Assembly:
I also want to request the Members to put some proposals through the NG-CDF Committee to have some allocation to put up these units. With the assistance of the legal team in Parliament, I will look at the policy which is available right now and see whether there is a proper legal framework to ensure that there is implementation of the special units in all primary and secondary schools in our constituencies.
view
15 Aug 2018 in National Assembly:
As I finish, I wish to state that I treat Members’ contribution with a lot of regard and further thank all of them for supporting my idea.
view