Mohammed Ali Mohamed

Parties & Coalitions

Hon. Mohammed Ali Mohamed

Hon. Mohammed Ali is a former Investigative Journalist with KTN. He initially planned to run for office on an ODM ticket but lost the nominations.He nonetheless went on to win the seat as an independent candidate.

Hon. Mohammed Ali was also a finalist in the People's Shujaaz Awards 2018 edition under the Health category.

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 104.

  • 5 Jan 2022 in National Assembly: Shukrani sana, Naibu Mwekekiti wa Muda. Ningependa kusema ya kwamba sheria hizi ambazo zinajaribu kutungwa hapa Bungeni ni za kuwakandamiza wanasiasa na wahusika watakaotaka kujiunga katika siasa. Nataka kutoa mfano bora na ushahidi wa kutosha kuhusu vile mimi mwenyewe nilivyotendwa. Huyu Junet anayezungumza ndiye aliuza tiketi yangu. Kama sio Junet… view
  • 5 Jan 2022 in National Assembly: Kama sio Junet… view
  • 5 Jan 2022 in National Assembly: Naibu Mwenyekiti wa Muda, kama hakungekua na uwazi, leo singelikua Mbunge kwa sababu nilipewa nafasi… view
  • 5 Jan 2022 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 5 Jan 2022 in National Assembly: Asante, Naibu Mwenyekiti wa Muda. Nataka kusema hivi. Hii sheria itatumiwa… view
  • 5 Jan 2022 in National Assembly: Naomba ulinzi, Mwenyekiti. Hii sheria itatumika kugandamiza watu, itatumiwa na watu ambao wanatumia vyama vibaya, watu ambao itakua ni vigumu kuwapata wakati ambapo watu wanataka msaada. Hii sheria… Nazungumza nikisema na nikitia mfano wangu kwa sababu leo singekuwa katika hili Bunge kama singefuata njia nyingine ya kutafuta usaidizi. Leo Junet anasema hivyo na kesho yeye ndiye atakandamiza watu kwa sababu… view
  • 8 Jun 2021 in National Assembly: Ahsante sana Mhe. Spika. Wakati ambao ulinihitaji sikuwepo kwa sababu ya sherehe ya Eid-ul-Fitr, lakini leo nina furaha kwa sababu umenipatia nafasi ya kujitetea. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 8 Jun 2021 in National Assembly: Kwanza kabisa, sijui mlalamishi ni nani na singelipenda kuwa mwingi wa maneno ila niseme kwamba mambo hayo yamepitwa na wakati. Mhe. Moses Kuria alitoa ushahidi kwa kusema kwamba yeye ni miongoni mwa Wabunge waliopokea hongo. Sijui nitamjibu nani kwa sababu aliyeleta haya malalamishi simjui ni nani. Ni vile tu alitaja jina langu bila sababu zinazofaa kuhusishwa nami. view
  • 8 Jun 2021 in National Assembly: Fauka ya hayo, Mhe. Moses Kuria alisimama ndani ya Jumba hili na akatoa hongo ya Kshs100,000, pesa ambazo aliziweka wazi na akasema alikuwa miongoni mwa wale waliopokea hela hizo. Nadhani huo ni ushahidi tosha. Singelipenda kupoteza wakati mwingi kwa mambo ambayo yamewekwa wazi na Mbunge mwenzetu. view
  • 8 Jun 2021 in National Assembly: Hili si jambo la kwanza kuwahi kutajwa katika Bunge hili. Utakumbuka, Mhe, Spika, nikikurudisha nyuma, wakati ambapo kulikuwa na masuala ya sukari. Baadhi ya Wabunge walisema kwamba wapo wenzao waliopokea baina ya Kshs10,000 na Kshs30,000 ndani ya choo ili wapitishe masuala fulani katika Bunge hili. Kwa hivyo, kwa Mbunge mwenzangu kusimama na kunitaja mimi Mohamed Ali bila ushahidi tosha, inaonekana kwamba ni kupelekwa katika... Kwanza, sijui ni nani alisema mimi, Mohamed Ali, nilizungumza katika hili Bunge na kusema mambo hayo. Ningependa kujua. Ndiyo maana nilipokuandikia barua nilitoa ombi la kusema itakuwa vyema nikijua ni nani ili niweze kujibu kulingana na ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus