Mohamed Faki Mwinyihaji

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1071 to 1080 of 2123.

  • 1 Mar 2022 in Senate: In conclusion, allow me to commend the Committee Members for their dedication and commitment in discharging the Committee’s mandate. Despite the Senator’s busy schedule, my Committee has never experienced any quorum hitches. I also thank the Senate for giving the Members another opportunity to serve in this distinguished Committee. view
  • 1 Mar 2022 in Senate: Madam Deputy Speaker, I wish to thank your office and the office of the Clerk for the support accorded to the Committee in undertaking its mandate. view
  • 1 Mar 2022 in Senate: Thank you. view
  • 17 Feb 2022 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii pia kuitilia nguvu view
  • 17 Feb 2022 in Senate: iliyoletwa na Sen. (Dr.) Musuruve kuhusu kusherehekea kwa Siku ya Redio Ulimwenguni. view
  • 17 Feb 2022 in Senate: Redio husikilizwa mahali pengi haswa humu nchini na ulimwenguni kwa jumla. Hapo awali, the Kenya Broadcasting Corporation (KBC) ndio ilikuwa stesheni ya radio pekee. Watu wengi walipenda kusikiliza the British Broadcasting Corporation (BBC), hususan habari za saa moja usiku na saa moja asubuhi ambapo tulikuwa tunapata ripoti za Kenya ambazo redio za Kenya hazikuzungumzia. Kwa hivyo, redio imetumika pakubwa kutoa habari na vile vile kuelimisha watu. Jana Sen. M. Kajwang’ alizungumzia kipindi cha shule katika miaka ya sabini ambacho kilikuwa kinaanza na wimbo; “Nilipokuwa kijana, nilicheza na masomo.” Wengi tulikuwa tunasoma wakati wa vipindi kama vile ambavyo vililetwa ili kuelimisha ... view
  • 17 Feb 2022 in Senate: Redio imechangia sana katika kuleta maendendeleo, muamko mpya, kuelimisha watu na vile vile starehe kwa sababu wengi wanapata burudani. Ukiwa kazini, unaweza kufungua redio yako wakati wa saa nne mpaka saa sita na kusikiliza nyimbo za burudani. Kwa hivyo, redio inasaidia sana katika mchakato wa maendeleo, siasa na maisha kwa jumla. view
  • 17 Feb 2022 in Senate: Bi. Spika wa Muda, wenzangu waliotangulia wamezungumza kuhusu kutumika vibaya kwa redio. Ni kweli hapo awali redio imewahi kutumika vibaya. Hatungependa kurejea pale wakati huu ambapo tunaelekea katika kipindi cha uchaguzi ambao utafanyika tarehe nane, mwezi wa nane, mwaka huu. Bi. Spika wa Muda, ni lazima chombo cha redio kitiliwe nguvu. Tumeona ya kwamba wasanii wengi wanaweza kutumia redio hizi ili kuleta sanaa zao, watu wajue na kuweza kuzinunua; yaani kupeleka sokoni sanaa zao. Lakini wengi hawalipwi. Utapata kwamba wale ambao wameweza kutunga nyimbo zao na mashairi yao na yakaweza kuchezwa katika redio hizi kwa sasa wanahangaika katika umaskini. Hawa ... view
  • 17 Feb 2022 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 17 Feb 2022 in Senate: Talanta hii iko katika kila jamii na hivi sasa tumeona kwamba kuna redio nyingi za kitamaduni ama vernacular radios ambazo zinachukuwa fursa kubwa ya kuweza kuelimisha jamii katika maeneo yake. Lakini ningependa kuonya kwamba hizi redio za kitamaduni zisitumike kuchochea wananchi hususan wakati huu wa sasa ambao tunakwenda katika kura. Kwa sababu hiyo itavunja umoja wa nchi ambao sisi sote tunapigania tuwe na Kenya moja, tuwe watu wamoja ili sote tuweze kusonga mbele kimaendeleo. Kuliko kukigawanya nchi kikabila, sisi tuko kabila fulani, sehemu fulani, kwa hivyo sehemu hii haturuhusu mtu mwingine wa kabila nyingine kuja kusimama katika eneo letu na ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus