Mohamed Faki Mwinyihaji

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1081 to 1090 of 2123.

  • 16 Feb 2022 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Nimesimama chini ya Kanuni za Kudumu Nambari 48(1), kuomba taarifa kutoka kwa Kamati ya Barabara na Usafirishaji, kuhusiana na kusimamishwa kwa kazi katika Bandari ya zamani ya Mombasa. Bandari hiyo ilikuwa ya kwanza kujengwa humu nchini. Ilitumika kwa miaka mingi mpaka mwaka wa 2017, wakati--- view
  • 16 Feb 2022 in Senate: Mr. Speaker, Sir, it is a Statement that I have translated in to Kiswahili. It is English, but I have decided to read it in Kiswahili, which is a language of this House and that of the African Union (AU). view
  • 16 Feb 2022 in Senate: I am sorry, Mr. Speaker, Sir. Let me read it in English. I rise pursuant to Standing Order No.48(1) --- view
  • 16 Feb 2022 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I have studied English since 1969. So, it is not a problem. Mr. Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order No.48(1), to seek a Statement from the Standing Committee on Roads and Transportation, on the state of operations at the Old Port in Mombasa County. In the statement the Committee should: (1) Explain why the old port in Mombasa County has been rendered partially in- operational by the Kenya Revenue Authority (KRA) and the Kenya Ports Authority (KPA). (2) State why the Port has been closed to small vessels, some of which were undertaking transshipment business ... view
  • 16 Feb 2022 in Senate: Asante sana Bw. Spika. Wakati tulihairisha kikao, nilikuwa nazungumzia maswala ya Jumia za Kaunti za Pwani. Tulisema kwamba kuna miradi, kwa mfano, sehemu ya Kilifi na Tana River ambazo zinasifika pakubwa kwa kukuza maembe mazuri kama vile, Apple mango, Ngoe, Boribo na mengi mengine ambayo yanakuzwa katika eneo yale. view
  • 16 Feb 2022 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 16 Feb 2022 in Senate: Bw. Spika, Kaunti za Kilifi na Tana River zinajenga mitambo yao yak uprocess hayo matunda. Kwa hivyo, iwapo kaunti hizi zitakuwa katika mfumo mmoja, miradi kama hii itafanya kwa pamoja ili watu waweze kupata faida ya miradi kama hii na vile vile pia kupunguza gharama za maisha. view
  • 16 Feb 2022 in Senate: Bw. Spika, nimeona kwamba Mswada huu ni muhimu sana kwa nchi yetu. Kwa hivyo, sote tuunge mkono ili kuhakikisha tuna Sheria yakuzisaidia kaunti zetu kuweza kuimarisha raslimali zetu ili kuwe na mapato zaidi. Naomba kuunga mkono. view
  • 16 Feb 2022 in Senate: Asante, Bi. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii kuchangia Mswada huu kuhusu uimarishaji wa rasilimali za kaunti ambao umeletwa Bungeni na Sen. Nyamunga ambaye ni Seneta Maalum. Nadhani Mswada huu umekuja wakati mzuri, japokuwa kulingana na malengo na maazimio yake, ulifaa kupitishwa miaka saba au nane iliyopita, kwa sababu kwa sasa kaunti zetu nyingi zinategemea mgao wa Serikali ili kuendesha miradi yao ya maendeleo. Maendeleo inaweza kufanywa kwa msaada; maendeleo inatakikana kufanywa na rasilimali za kaunti ambazo zinapatikana katika eneo hilo. Mswada huu utasaidia pakubwa kuziwezesha kaunti zetu kuangalia zaidi rasilimali walizonazo kuliko kuomba Seneti kuwaongeza pesa kila mwaka ilhali ... view
  • 16 Feb 2022 in Senate: Bi. Naibu Spika, yasikitisha kwamba hatujaweza kupata matunda ya wazo hili la jumuiya ya kaunti za Pwani ijapokuwa sisi katika Pwani tulikuwa wa kwanza katika nchi ya Kenya kuja na fikra kwamba hizi kaunti zinaweza kuungana pamoja zikaweza kuendesha mambo ambayo yatasaidia kaunti zote katika eneo lile. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus