Mohamed Faki Mwinyihaji

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1121 to 1130 of 1995.

  • 5 Aug 2021 in Senate: Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir, for giving me this opportunity to contribute to this Petition. The Petition by Taratisio Kawe raised very fundamental issues. If you look at the current practice, some suspects are taken to court with just an affidavit for being suspected of committing certain offences and they are detained by courts for 14 or 21 days and so on and so forth. That is in contravention of the people’s rights under Article 49 of the Constitution. To some extent, this Petition seeks to legalise what the police are currently doing to suspects. Some of them are ... view
  • 4 Aug 2021 in Senate: Asante, Bi Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia malalamiko ya watu wa Webuye Mashariki katika Kaunti ya Bungoma. Kupokonywa kwa ardhi hii kwa wakaazi hawa wa Webuye ni sawa na yale yalifanyika wakati wa ukoloni. Wananchi walikuwa wanafukuzwa na kufurushwa katika ardhi zao bila ya kufuata sheria. Hata kama msitu huu unajaribu kuweza kulindwa, sio haki wao wasihusishwe. Japo kuwa Serikali inataka kulinda msitu, sio haki wakaazi hawa wasihusishwe katika uamuzi wa kuzuia ama kulinda msitu huu. Sheria iko wazi sasa kwamba jambo lolote ambalo Serikali inataka kufanya mahali popote lazima wakaazi wahusishwe kupitia ile inajulikana kama “ ... view

  • 4 Aug 2021 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda. Ningependa kuchukua fursa hii kumpongeza Sen. Iman kwa kuzungumzia mambo ya kujitoa uhai katika Taarifa yake. Hili ni jambo ambalo linatia watu wengi hofu kwa sababu limekuwa kawaida mtu kujiua ama kua wendani wake kisha anajiua bila sababu yoyote maalum. Inafaa tuangazie uwezo wa dini zetu. Wahubiri watasaidia swala hili. Swala la kujitoa uhai linalingana na imani yako katika dini. Ikiwa imani yako ni nyepesi, utakuwa hatarini zaidi kujitoa uhai kuliko yule ambaye imani yake ni dhabiti. Ninafikiri Sen. Wambua ambaye ni mhubiri anaweza kushuhudia swala hili. Lazima tulete taasisi za ushauri nasaha ili wale ... view

  • 3 Aug 2021 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia Mswada ambao umeletwa Bungeni na Sen. (Dr.) Zani. Kwanza, ninampongeza dada yangu, Sen. (Dr.) Zani kwa kuwa mahiri na kufanya kazi ya kuonekana. Tuliingia Chuo Kikuu Cha Nairobi mwaka moja naye. Yeye alipata shahada ya sociolojia na mimi ya sheria. Kwa hivyo, ninampongeza kama mwanafunzi mwenza na kumtakia kila heri katika kazi zake za useneta. Mswada huu wa ugamvi wa rasilimali ya faida ni muhimu katika nchi yetu ya kenya. Hii ni kwa sababu mali asili imetapakaa nchi nzima. Kwa hivyo, Mswada huu utasaidia pakubwa kuhakikisha kwamba jamii zinazoishi maeneo ... view

  • 3 Aug 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view

  • 3 Aug 2021 in Senate: Kwa hivyo, Mswada huu utaweka mfumo maalum ambao utasaidia kutoza asilimia fulani ya mapato ili waliadhirika na raslimali kama zile wasaidike. Nimefurahi pia kwamba katika Mswada huu, CRA imepewe jukumu la kufanya view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus