6 Jul 2021 in Senate:
Nampongeza Sen. (Dr.) Zani kwa kuleta Mswada huu.
view
3 Jun 2021 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir.
view
3 Jun 2021 in Senate:
The dumpsite in Mombasa is in Mwakirunge.
view
3 Jun 2021 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, this is a point of correction. The dumpsite in Mombasa is in Mwakirunge and not Kiembeni. Mwakirunge is about 10 kilometres from Kiembeni where there is an estate. I want to inform Sen. Mutula Kilonzo Jnr. that the dumpsite is in Mwakirunge and not Kiembeni. Secondly, the connotation of saying an Asian connotes racism which should not be allowed in the Senate.
view
18 May 2021 in Senate:
Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia malalamiko ambayo yameletwa Bungeni na Kevin Ndoho Macharia kuhusiana na
view
18 May 2021 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
18 May 2021 in Senate:
kuzorota kwa huduma za mahakama wakati huu wa janga la Korona yaani (COVID-19). Malalamiko haya yamekuja wakati mwafaka kwa sababu tumeona kwamba huduma za mahakama zimeendelea kupungua kwa sababu ya janga la Korona lililotekea Mwezi wa Tatu mwaka jana. Kumekuwa na kufungwa kwa mahakama mara kwa mara kwa sababu mmoja au wawili wa wafanyikazi wa mahakama wameweza kupatikana na ugonjwa wa Korona au COVID-19. Kwa hivyo, si salama kwa watumizi na wahudumu wa mahakama kuendelea kufanya kazi wakati wenzao wamepatikana na janga hilo. Bw. Spika wa Muda, athari zaidi zimewapata mawakili kwa sababu wengi wao hutegemea huduma za mahakama ili ...
view
18 May 2021 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
18 May 2021 in Senate:
tatu kama wakili kuweza kuhakikisha kwamba maombi yako yamefika mbele ya mahakama ili yaweze kushughulikiwa. Hili swala la ufadhili ni muhimu. Pia swala la kuongeze mahakama nchini ni muhimu. Mahakima zetu ni chache na huchangia misongamano. Ninaunga mkono malalamiko haya ambayo yameletwa katika Bunge letu la Seneti. Ningeomba swala hili lishughulikiwe na Kamati yetu ya Haki na Maswala ya Kisheria na Kamati ya Bunge ya Kitaifa ili kuhakikisha kwamba yameweza kutekelezwa. Bw. Spika wa Muda, mwisho ni kuwa katika maswala ya mtandao wengi hawapati fursa ya kuweza kuelezewa mashtaka kwa lugha wanazozifahamu au wanaotakikana kufuatilia kwa urahisi. Kwa mfano, hatujakuwa ...
view
18 May 2021 in Senate:
Mr. Temporary Speaker, Sir, I am no longer a Member of the Standing Committee on Justice, Legal Affairs and Human Rights. I am now in the Committee of Delegated Legislation.
view