20 Mar 2024 in Senate:
Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kujibu Hoja hii ambayo ni muhimu sana katika Bunge letu la Seneti pamoja na Bunge la Kitaifa kwa ujumla. Kwanza, ninawapongeza na kuwashukuru Maseneta wote ambao wamechangia Hoja hii wakiongozwa na Kiongozi wa Walio Wengi katika Bunge hili; Sen. Cheruiyot, Sen. Sifuna, Sen. Olekina, Sen. Orwoba na Sen. Oketch Gicheru, ambaye pia ni mwanachama wa Kamati ya Fedha na Bajeti; Sen. Maanzo, Sen. Kisang’, Sen. Tobiko ambaye amezungumza kwa hamasa kubwa, Sen. Mandago ambaye alikuwa Gavana wa Gatuzi la Uasin Gishu na mwisho, Sen. Osotsi. La msingi ni kuwa, ijapokuwa dhiki ...
view
20 Mar 2024 in Senate:
kuongeza bei ya bidhaa katika nchi yetu kwa sababu benki nyingi zitakuwa zinakopesha Serikali pesa kuliko kukopesha wananchi ambapo itakuwa shida kupata malipo hayo. Sen. Sifuna alichangia kwa kusema kwamba tumepuuza mapendekezo ya Institute

lakini hayo sio kweli kwa sababu tumeweza kujadili mapendekezo yote na kuyaweka katika Ripoti ile na kwamba hatukuweza kulichukua pendekezo hilo kama pendekezo la Kamati sio kwa lengo la kuyapuuza mapendekezo ambayo yametolewa. Suala la ufadhili wa kutoka kwa watu binafsi yaani public-private partnership ni suala ambalo tumejadili hata katika Bunge lililopita. Wakati tulipokuwa tunaangalia mabadiliko ya debt ceiling yaani mabadiliko ya juu ya deni, tuliangalia masuala ambayo Serikali ilikuwa imependekeza. Mojawapo ya pendekezo ambalo lilitolewa na Serikali ni kwamba walikuwa wamepitisha sheria ya ile public private partnership na ya kwamba sasa miradi ya Serikali inapelekwa katika misingi ya public-private ...

Bw. Spika wa Muda, ningeomba kuwa tuahirishe kupigiwa kura kwa suala hili kuambatana na Kifungu cha 66(3) cha Kanuni za Kudumu za Seneti.

19 Mar 2024 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker. Sir. I beg to lay the following Paper on the Table of the Senate today, 19th March, 2024- Report on Inaugural High-Level Joint Session of the Council of Governors (CoG) and the Senate held from 15th -18th June, 2023 in Naivasha, Nakuru County.

Thank you, Mr. Speaker. Sir. I beg to lay the following Paper on the Table of the Senate, today, 19th March, 2024- The County Government's Additional Allocations Cash Disbursement Schedule for the Financial Year 2023/2024. Thank you.
view