20 Mar 2024 in Senate:
Thank you, Mr. Deputy Speaker. I will be very brief. Ningependa kuchangia Taarifa ambayo umeileta hapa kama Seneta wa Meru kuhusu kutekwa nyara na hatimaye kuuwawa kwa mwanablogu Snipper. Ni jambo la kusikitisha kwamba hivi sasa ambapo tunayo Serikali ya Kenya Kwanza iliyo mpya, watu bado wanauliwa kiholela. Hili jambo la kuuwa watu kiholela limekuwa likitokea na serikali zilizopita, ila sasa donda hili sugu halijaweza kutibiwa na wananchi wa Kenya kuishi kwa amani kama Katiba inavyosema. Majuzi pia kuna mtu mmoja mjini Mombasa aliyeitwa Yusuf Swaleh Ahmed Kandereni au Candy Rain aliyekuwa ni mfanyibiashara Mombasa. Alitekwa nyara na polisi nyumbani ...
view

Nasimama kwa Hoja ya Ujumbe, Bw. Naibu Spika

Sen. Olekina amesema kuwa ile vumbi ya madini inaleta athari mbalimbali kwa jamii. Moja ya hizi athari ni upungufu wa nguvu za kiume kwa watu wanaokaa sehemu zile. Hata ukiangalia, kuna hukumu iliyotolewa dhidi ya Clinker. Hukumu iliyotolewa kwa wakazi wa eneo la Uhuru Mombasa ni kwamba Clinker ilikuwa inaathiri uwezo wao wa kufanya tendo la ndoa na bibi zao. Kwa hivyo, madini yanayo chimbwa kule, baadhi ya athari zake ni hizo. Asante.

Bw. Naibu Spika, mimi naishi sehemu za Nyali; katikati ya Nyali. Athari hazijanifikia.

Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kujibu Hoja hii ambayo ni muhimu sana katika Bunge letu la Seneti pamoja na Bunge la Kitaifa kwa ujumla. Kwanza, ninawapongeza na kuwashukuru Maseneta wote ambao wamechangia Hoja hii wakiongozwa na Kiongozi wa Walio Wengi katika Bunge hili; Sen. Cheruiyot, Sen. Sifuna, Sen. Olekina, Sen. Orwoba na Sen. Oketch Gicheru, ambaye pia ni mwanachama wa Kamati ya Fedha na Bajeti; Sen. Maanzo, Sen. Kisang’, Sen. Tobiko ambaye amezungumza kwa hamasa kubwa, Sen. Mandago ambaye alikuwa Gavana wa Gatuzi la Uasin Gishu na mwisho, Sen. Osotsi. La msingi ni kuwa, ijapokuwa dhiki ...
view