Mohamed Faki Mwinyihaji

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 241 to 250 of 1994.

  • 18 Apr 2024 in Senate: Karibu mama orange, naona umeingia. Unahanyahanya mbele yangu wakati nazungumza. Karibu Mheshimiwa. Hii sio lugha mbaya, ni lugha safi ya Kiswahili. view
  • 18 Apr 2024 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 18 Apr 2024 in Senate: Bw. Spika wa Muda, tunasema kwamba ni swala muhimu kuwe na mamlaka ya kuhakikisha kwamba wale wanaoondolewa mamlakani wanatendewa haki. Kumuondoa mtu mamlakani kama alivyoondolewa naibu gavana wa Kisii mwezi uliokwisha ni jambo nzito sana kisheria kwa sababu unamfunga yule mtu kutofanya mambo ya kisiasa na pia kupata kazi serikalini inakuwa ni shida. Kwa hivyo, lazima kuwe na kiwango fulani ambacho kikifikiwa mtu yule anaweza kutoka kwenye mamlaka. Mengi yamezungumzwa kuhusiana na maswala ya kuondoa mamlakani viongozi. Sisi kama Bunge la Seneti tuna mamlaka ya kumuondoa hata Rais. Ila cha kusikitisha, hatuna mamlaka ya kumuondoa waziri katika serikali kuu. Tuliona ... view
  • 18 Apr 2024 in Senate: Kashfa ni kucriticise. Hoja ile haikuweza kuona jua kwa sababu ya yale mamlaka yamewekwa katika Bunge ambayo mara nyingi yanahujumu kazi za Wabunge. Kwa hivyo, Bw. Spika wa Muda, naunga mkono Mswada huu. Tutasaidiana kuhakikisha kwamba umepita ili tuweke sheria itakayosaidia kuongeza uwazi katika kaunti zetu. Asante Bw. Spika wa Muda. view
  • 17 Apr 2024 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. My learned friend, Sen. Cherarkey, is not aware that courts are now very hard on those who consume fare without traveling. Thank you. view
  • 17 Apr 2024 in Senate: Asante, Bw. Naibu wa Spika. Langu ni kumuuliza Bi. Waziri kwamba kuna malimbikizi ya malipo kwa zahanati na vituo vya afya ambayo yameendelea kwa muda mrefu. Na majibu yake hayajaridhisha kwa sababu hajasema pesa zinazodaiwa ni ngapi na zitalipwa vipi. Tumeona, wakati NHIF ilipokuwa inafanya kazi, malipo yalikuwa hayaendi na sasa tunatoka katika NHIF na kuenda kwa shirika jipya. Tunataka ueleze Seneti hii kwanza madeni ni pesa ngapi. Pili, una mipango gani ya kulipa madeni hayo? Unaposema ya kwamba yatalipwa hayo ni mambo ya Alfulelaulela. view
  • 27 Mar 2024 in Senate: Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. My question is with regard to historical land injustices in Mombasa. Last week and part of this week, the National Lands Commission (NLC) held hearings regarding historical land injustices in Mombasa. On Friday last week, they made decisions that created panic, fear and despondency among the residents of Mombasa, especially within the island, where many are not sure of their residences or the places where they have stayed in for almost 100 years. Mr. Deputy Speaker, Sir, initially, during the colonial administration, we had a system of Liwalis who were registered by virtue of ... view
  • 27 Mar 2024 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 27 Mar 2024 in Senate: the residents. However, when the Liwalis had passed on, those properties were transferred or inherited through the succession system and now are no longer public property. They have now ended up in the hands of the relatives of the Liwalis. Therefore, this has caused many problems because they are charging a minimum of Kshs5 million for a plot measuring 50 by 80 or 50 by 100 within the central business district. Madam Cabinet Secretary, we wanted to know what the Government is doing to assure these residents of their residences and also to resolve this long-standing problem that has affected ... view
  • 27 Mar 2024 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, I agree with the Cabinet Secretary that we need to put in a separate question. However, I have another supplementary question on affordable housing. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus