7 May 2024 in Senate:
Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii kuunga mkono Hoja ya Sen. M. Kajwang’ ya kufanya marekebisho ya Hoja ya Sen. Olekina kuhusiana na malumbukizi ya madeni. Imekuwa muda mrefu sasa tunazungumzia maswala ya madeni ambayo yako katika kaunti zetu na ambayo yamefikia zaidi ya Kshs60 bilioni. Ripoti za auditor zimekuwa zikizungumzia malumbukizi haya ya madeni lakini hakujakuwa na mwafaka wowote ama jambo lolote ambalo Seneti imeweza kufanya kuhakikisha ya kwamba madeni haya yanapungua na vile vile pia yanakuwa mambo ya kusahau. Marekebisho haya yatatoa nafasi kwa Seneti na vile vile kwa Controller of
view
7 May 2024 in Senate:
, na pia National Treasury kuzuia pesa zinazokwenda katika kaunti zetu iwapo hawataweza kulipa madeni. Tumeona visa vingi vya serikali za kaunti kuomba pesa ili kulipa madeni, lakini wanapopata pesa zile wanatumia kufanya miradi ama wanatumia kwa safari zao, na hivi basi madeni yanaendelea kubakia na madeni haya yanazuia utenda kazi wa kaunti zetu. Wakenya wengi ambao wamefanya biashara na serikali za kaunti wamefilisika, mali yao imeuzwa na vile vile wamekuwa hawawezi kufanya biashara na hivyo basi, pesa nyingi na mali imepotea kutokana na ukosefu wa uadilifu katika serikali za kaunti. Marekebisho haya yataweka meno ambayo yatasaidia kuuma wakati kutakuwa ...
view
7 May 2024 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.
view
2 May 2024 in Senate:
Madam Temporary Speaker, my position is that, since the Mover is not present to reply, maybe you allow us a few minutes to also contribute to the Motion. We will appreciate if you allow us three minutes each. We have been sitting here since 2.30 p.m. waiting for an opportunity to speak. I know it is at your discretion.
view
30 Apr 2024 in Senate:
Asante, Bw. Spika kwa kunipa fursa hii pia kutoa kauli yangu kwa Mswada wa ugawaji wa fedha kati ya serikali za kaunti na Serikali Kuu. Suala hili ni muhimu sana kwa sababu fedha hizi ndizo zinapeleka huduma katika kaunti zetu. Kwanza kabisa ni kuwa, wakati wa Kongamano la Ugatuzi mwaka jana kule Uasin-Gishu, Serikali ilitoa kauli kuwa itatoa zile huduma zote ambazo hazija gatuliwa. Lakini mpaka sasa hatujaona chochote kwa suala hilo. Hata hivyo, tukiangalia bajeti ya mwaka huu ambayo tunaizungumzia, inamaana kwamba suala la ugatuzi wa zile huduma zilizobakia litachukua muda zaidi kuliko vile ilivyo zungumziwa na Rais mwaka ...

pendekezo la kuongeza fedha hizi mpaka Kshs415 bilioni ni sawa kabisa. Tumeona pia kutoka ugatuzi uanze, zile pesa ambazo zinapelekwa katika kaunti zetu zinapungua kiasilimia. Mwaka jana ilikuwa asilimia 18 na mwaka huu imefika 15. Kila mwaka zina shuka. Hiyo haioneshi taswira nzuri ya ugatuzi katika nchi yetu. Bw. Spika, tungependa kuunga mkono pendekezo la kuongeza mpaka Kshs415 bilioni. Vile vile pia, tungependa kuona kwamba sheria ya ukaguzi ama sheria ya uhasibu wa fedha inabadilishwa, ili kuwe na uwezo wakati wameshindwa kupitisha zile hesabu za mwaka uliopita, iwe ni moja kwa moja fedha zinapita ili ziwe sambamba na zile pesa ...

23 Apr 2024 in Senate:
Mr. Temporary Speaker, Sir, I have risen to the comments from Sen. Orwoba. It is my humble opinion that those comments should be directed to the committee that will be dealing with this statement when the committee sits. This is because she is sort of contradicting the request from the statement sought by Sen. Onyonka. I thank you.
view
23 Apr 2024 in Senate:
Bw. Spika, asante kwa kunipa fursa hii. Kabla sijaendelea na Hoja hii, ningependa kuwaomba radhi baadhi ya Maseneta ambao walitarajia kwamba tutaizungumzia Hoja hii kwa lugha ya Kingereza. Ijapokuwa awali nilileta Hoja kwa lugha ya Kiingereza, nimeona itakuwa bora tuizungumze kwa lugha ya Kiswahili ili watu wengi nchini waweze kufuata, hasa watu wa Kaunti ya Mombasa, waweze kuelewa yale tunayo zungumzia. Hoja ni kuidhinishwa kwa ruzuku ya masharti kwa ujenzi wa uwanja wa Munisipaa ya Mombasa. KUFAHAMU KWAMBA sehemu ya pili ya Ratiba ya nne ya Katiba ya Kenya, inazipa serikali za kaunti jukumu la kuanzisha, kuendeleza, kusimamia, na kudumisha ...
view