Mohamed Faki Mwinyihaji

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 201 to 210 of 1994.

  • 21 May 2024 in Senate: kwa Kiingereza. Wakati Seneti inaangalia Miswada inayoletwa katika Bunge hili kutoka Bunge la Taifa, pendekezo katika sheria hii ni kwamba haifai kurudia uhusisaji wa umma. Uhusisaji wa umma katika Seneti unaangalia zaidi masuala ya ugatuzi. Kuna mambo mengi ambayo Bunge la Taifa huangalia lakini sio masuala ambayo yanahusiana na ugatuzi. view
  • 21 May 2024 in Senate: Bw. Spika wa Muda, juzi katika Kamati ya Delegated Legislation, tualiangalia masuala ya kanuni za uhamiaji, yaani refugee regulations . view
  • 21 May 2024 in Senate: Bw. Spika wa Muda, ijapokuwa Kanuni zile zilikua zimepitishwa na Bunge la Kitaifa na wakasema walikuwa wamefanya uhusishaji umma kwa upana, lakini hawakuhusisha umma kwa zile gatuzi zimekuwa zikipokea wakimbizi. Kwa mfano, gatuzi za Garissa, Turkana, Mombasa, Busia na kwingineko, hazikuhusishwa kuangalia Mswada huu. Kwa hivyo, ikawa mawazo yaliyotoka pale yalikua kinyume na yale ambayo Bunge la Taifa ilikuwa imepata. Swala hilo la uhusishaji umma tulilijadili juzi katika Kamati hio wakati tulipokua tukiangalia kanuni mpya za Affordable Housing. Swala la uhusishaji umma ni swala la kikatiba na haliwezi kuondolewa na sheria kama hii ambayo tunaizungumzia. view
  • 21 May 2024 in Senate: Mwisho, mahakama ilisema kuwa ni lazima Mswada wa sheria lazima upelekwe Bunge la Seneti kwa uamuzi wa Spika kama sheria hiyo inaadhiri kaunti au la. Iwapo sheria hii itapita, suala hili la kikatiba litakuwa limeondolewa kwa mlango wa nyuma. Hii ni kwa sababu, sheria zote wangetaka kupitisha ambazo wameziorodhesha hapa katika Kifungu cha 12 zitakua hazina faida yeyote kwa Seneti. view
  • 21 May 2024 in Senate: Bw. Spika wa Muda, tunapinga Mswada huu kwa sababu ni lazima Mabunge yote mawili yatoe wawakilishi, wakae chini na waangalie ni mambo gani yatawekwa kwa Mswada huu ili ukubalike katika Bunge zote mbili. Hatuwezi kutunga sheria ya kusimamia Bunge la Seneti wakati Maseneta hawajahusishwa na utungaji wa sheria hiyo. view
  • 21 May 2024 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 21 May 2024 in Senate: Kuja hapa kujadili Mswada huu wakati hatujahusishwa ni kinyume na maadali yanayofaa kutumika wakati tunaangalia sheria kama hii. Kwa hivyo, tunapinga Mswada huu na kama Seneti, tunaukataa. Tukiupitisha, itakuwa ni kujitia kitanzi wenyewe, sisi kama Maseneta. view
  • 21 May 2024 in Senate: Asante, Bw, Spika wa Muda. view
  • 16 May 2024 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I rise pursuant to Standing Order No.53(1) to seek a statement from the Standing Committee on Education on the current state of Shimo La Tewa High School in Mombasa County. Mr. Speaker, Sir, Shimo La Tewa High School is the only national boys’ school in Mombasa County that has natured many prominent leaders in our country, including the Speaker Emeritus Honorable Francis Olekaparo and retired General Joseph R. Kibwana, former Chief of Defense Forces, to name but a few. However, the school has in the recent past experienced a downward trend in performance among other ... view
  • 16 May 2024 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus