Mohamed Faki Mwinyihaji

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 231 to 240 of 1994.

  • 23 Apr 2024 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 23 Apr 2024 in Senate: baada ya hapo, uwanja huu umeandaa michuano mingi ya kimataifa, hususan CECAFA ambapo timu za Kenya, Uganda, Tanzania, Malawi, Zambia, Zimbabwe, zimewahi kucheza katika uwanja ule Na vile, mwaka wa 1996, uwanja huu uliandaa mechi ya kimataifa ya youth, ambao walikuwa washindi wa kwenda Olympic kati ya Kenya na Nigeria. Wachezaji wenye tajriba kubwa kama vile JJ Okocha na Nuan Kokanu waliweza kucheza katika uwanja ule. Ilizua hisia na uzalendo mkubwa kwa watu wa Kenya na watu wa Mombasa. Vile vile, uwanja huu umewalea wachezaji wengi kutoka Pwani. Vile, wengine walihamia bara, kwa mfano, marehemu, Ali Kajo, Marehemu, Ahmed Breik, ... view
  • 23 Apr 2024 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 23 Apr 2024 in Senate: Neptune na nyingine nyingi ambazo zina uwezo wa kubeba wageni wote watakaokuja kwa Kaunti ya Mombasa na kuhakikisha wamehudumiwa. Mwaka huu, Kenya itakuwa mwenyeji wa mashindano ya mabunge ya East Africa. Mashindano haya yamepangwa kufanywa katika Kaunti ya Mombasa. Kwa hivyo, kiwanja hiki kitakuwa na umuhimu zaidi kikikamilishwa ili kitumike wakati wa mchezo hii ya Bunge za East Africa. Uwanja tayari umetengenezwa. Iliyobakia sasa ni kuleta vifaa uwajani. Kinachoweza kuchelewesha labda ni kutengeneza ule uwanja wenyewe utakaotumika kucheza kandanda. Kwa ujenzi wa mambo mengine, ni vitu vichache vya kuwekwa kwa pamoja. Ninamsihi contractor amalize uwanja huo ili uwekwe tayari kwa ... view
  • 23 Apr 2024 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 23 Apr 2024 in Senate: Timu za kimataifa ambazo wakati mwingine zinakwenda Afrika Kusini zitapata fursa ya kufanya maandalizi yao katika eneo la Mombasa ili kuona kwamba kuna biashara na michezo ya kimataifa ili tuweze kusonga mbele. Bw. Spika wa Muda, naomba kukomea hapo na kumwalika Seneta wa Kilifi, Sen. Madzayo, kuunga mkono Hoja hii. view
  • 18 Apr 2024 in Senate: Asante sana Bw. Spika. Nimesimama kuambatana na Kanuni za Kudumu za Seneti 52(1) kutoa kauli kuhusu jambo linalohusu kaunti nzima, kuhusiana na hali ngumu za kazi na kunyanyaswa kwa wafanyikazi wa Export Processing Zones(EPZ) hususan wafanyikazi wa Ashton Apparels Mjini Mombasa. Kuna mashirika mengi ambayo yamefungua biashara ili kusafirisha bidhaa kwenda masoko ya Marekani kupitia kwa mpango wa African Growth and OpportunityAct (AGOA) ambayo ni sera maalum ya Serikali ya Marekani inayochukua bidhaa kutoka nchi za Afrika. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the ... view
  • 18 Apr 2024 in Senate: Lakini fursa hii imekuwa ni sababu ya baadhi ya mashirika yanayo faidi kutokana na mpago huu kukandamiza haki za wafanyikazi, hivyo basi kuhujumu sekta hii ambayo inatoa ajira kwa Wakenya wengi. Kumekuwa na visa tele vya ukandamizaji wa haki za wafanyikazi mikononi mwa mashirika haya kama ifuatavyo - (i) Kuzuiliwa kwa wafanyikazi kujiunga na chama cha kutetea haki zao na kupelekea waliojiunga na vyama hivyo kupoteza kazi zao; (ii) Hujuma za kijinsia ambazo kina dada wanalazimishwa kushiriki tendo la ngono na waajiri au wasimamizi wa kampuni ili kupata ajira; (iii) Kufanyishwa kazi kwa muda mrefu bila kupewa barua za uajiri; ... view
  • 18 Apr 2024 in Senate: Asante Bwana Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii ili nitoe kauli yangu kuhusiana na Mswada ambao umeletwa Bungeni na Seneta Cherarkey. Kwanza nampongeza Seneta wa Nandi kwa kazi nzuri anayofanya katika Bunge hili. Tulipompokea hapa mwaka wa 2017, tulimpa wadhfa wa Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Haki za Kibiinadam. Ni hapo tulipoweza kumnoa. view
  • 18 Apr 2024 in Senate: Kwenye kamati hiyo, kulikuwa na Wakili Fatuma Dullo, Wakili Amos Wako, Wakili Okong’o Omogeni, Wakili Orengo, mimi na wengine. Tulimpa mikoba ambayo anaendelea kuitumia hadi sasa. Kwa hivyo, hawezi kukosea. Vile vile, ningependa nimpongeze kwa kauli aliyotoa jana kuhusiana na jumba la Bunge Tower. Bw. Spika wa Muda, kuna wabunge zaidi ya 400. Wengine watachukuwa ofisi pale kwa kuwa usalama wao ni muhimu sana. Tukija katika Mswada huu, naunga mkono kuwekwa kwa threshold ya thuluthi mbili iwapo unataka kumuondoa mamlakani waziri katika kaunti zetu. Tumeona kwamba mawaziri katika kaunti zetu hawajakuwa na msisimko wa kisawasawa kwa sababu mara nyingi, wanaangalia ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus