Mohamed Faki Mwinyihaji

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 301 to 310 of 1994.

  • 29 Feb 2024 in Senate: wapewe pesa zao zote kisha waondoke kwa usalama. Hata hivyo, jambo hilo halijatekelezwa mpaka sasa. Kaunti ya Mombasa ilipoteza Changamwe Estate kwa sababu walishindwa kulipa view
  • 29 Feb 2024 in Senate: . Walifanya makubaliano na LAPTRUST ambayo ilimiliki hiyo estate . Sisi kama watu wa Kaunti ya Mombasa tumepoteza raslimali kubwa kwa sababu ya kukataa kulipa view
  • 29 Feb 2024 in Senate: . Ni vyema mapendekezo haya yatekelezwe. Kama alivyosema Sen. Mungatana, kuundwa kwa kamati nyingine itakuwa kama kuzunguka mbuyu bila mwelekeo wowote. Hii ni kwa sababu wote ambao wametajwa katika Ripoti hii, kama vile Waziri wa Fedha na Mkuu wa Sheria, wako katika Intergovernmental Budget and Economic Council (IBEC). Kwa hivyo, wanajua kuwa pesa za pension hazipelekwi katika hifadhi ambazo zimewekwa na Serikali kusimamia pension. Itakuwa ni kama kupigia mbuzi gitaa wakati hakuna mwelekeo wowote. Naomba tukubaliane na Ripoti hii. Kupendekeza kuundwa kwa kamati nyingine ni kupoteza muda na vile vile raslimali muhimu ambazo zingetumika kushughulikia masuala mengine. Nikimalizia, kwa kuwa ... view
  • 28 Feb 2024 in Senate: Mr. Speaker, Sir, mine is a supplementary question to what Sen. Mwaruma had asked with regard to Mzima Springs. Mzima Springs supplies water from parts of Mtito Andei all the way to Mombasa. For the last 60 years or so, nothing has ever been done about it except minor repairs and rehabilitations. What plans does the Government have to do a second pipeline from Mzima because we know there is sufficient water in Mzima? It is just a matter of putting a pipeline from Mzima Springs to Mombasa. I thank you. view
  • 28 Feb 2024 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. view
  • 28 Feb 2024 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I thought the Statement which was to be read by Sen. Mbugua was deferred. view
  • 28 Feb 2024 in Senate: Asante Bw. Spika. Mimi ninajiunga na wenzangu kumpongeza Sen. Wakili Sigei kwa Taarifa aliyoleta kuhusiana na uhuru wa waandishi habari. Kidemokrasia, uhuru wa waandishi wa habari ni muhimu sana kwa sababu wao ndio wanaowajulisha wananchi na wahusika masuala muhimu yanayoibuka katika jamii. Imekuwa wazi sasa ya kwamba, magavana wengi na hata mawaziri wa Serikali kuu wanawanunua waandishi habari. Wale ambao hawawezi kununuliwa, wanatumiwa wahuni kuwapigwa, kutishwa na hata wengine wamewahi kupoteza maisha yao. Uhuru wa wanahabari ni kiungo muhimu cha demokrasia. Kama Seneti hatuwezi kuacha uhuru huo uhujumiwe na wale wanaoona ya kwamba ni bora kuficha yale matendo yanayofanywa kinyume ... view
  • 28 Feb 2024 in Senate: Bw. Spika, ninashangaa, Sen. (Dr.) Khalwale--- view
  • 28 Feb 2024 in Senate: Bw. Spika, umri wa Sen. (Dr.) Khalwale haumruhusu kufanya yale anayoyafanya kwa sasa. view
  • 28 Feb 2024 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus