28 Feb 2024 in Senate:
Bw. Spika, magavana wamepata moyo kwa vile wanapokuja hapa, mara nyingi wanaponyoka na hawapelekwi nyumbani. Wamepata moyo kwamba hata wanaweza kuwatishia wanahabari kule nje. Ninawahakikisia kwamba, atakaye kuja mara ijayo itabidi ajitahidi sana kwa sababu tuko na ari ya kuwapeleka nyumbani.
view
28 Feb 2024 in Senate:
Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. Welcome, Sen. Linturi, the Cabinet Secretary for Agriculture and Livestock Development. My concern is on the situation at the Mombasa tea auction. For the last week, there have been reports of a glut in the tea supply. Therefore, the auction has not been doing well. Tea is one of the primary foreign exchange earners of this country. We are concerned that problems in the market will create a situation where the farmers will earn less, and the country will lose foreign exchange. What is the Government doing to assist the farmers and tea marketers ...
view
28 Feb 2024 in Senate:
Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii kuunga mkono ripoti iliyoletwa na Kamati ya Kawi ikiongozwa na Sen. Wamatinga.
view
28 Feb 2024 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate.
view
28 Feb 2024 in Senate:
Ripoti hii ni muhimu sana kwa sababu imeangalia kwa undani maswala yanayosababisha kuwa na gharama ya juu ya kawi ya umeme nchini. Ripoti imeguzia mambo mengi. Cha msingi ni kwamba wakati umefika kubadili
view
28 Feb 2024 in Senate:
ya KPC katika kusambaza umeme nchini. Sehemu nyingi hazina umeme. Kauli mbiu ya kampuni hii ilikuwa ni umeme mashinani ila kwa sasa hakuna umeme mashinani. Kamati ya Kawi imesahau kupendekeza kuondolewa kwa monopoly ya KPC ndio wananchi wapate umeme kwa njia rahisi. Asilimia 26 ya umeme ambao KPC wananunua unapotea. Je, kampuni hii itapata faida kwenye biashara hiyo? Kama alivyozungumza Sen. Mandago, hapo kitambo tulikuwa na shirika moja la KPTC ambalo lilikuwa linauza simu na kutoa leseni ya kupeleka barua. Lakini, huduma za kampuni hii zilikuwa duni. Mabadiliko yalipokuja na ikawa kuna shirika la Communication Commission of
view
28 Feb 2024 in Senate:
shirika la Telcom lilipata hasara na halijaweza kusambaza huduma nchini kote. Tukifungua ruhusa ya kupea kampuni zingine leseni za kusambaza umeme, watu wengi watapata umeme kwa urahisi. Madeni ambayo yamejaa katika shirika la KPC yanazuia shirika hili kupata faida. Kukosa faida inamaana kwamba hawataboresha huduma kwa wananchi. Mombasa kulikuwa na mtambo wa Kipevu I ambao ulikuwa unasimamiwa na Kenya Electricity Generating Company Plc (KenGen). Kipevu 1 ilikuwa kampuni ambayo ilikuwa inauza umeme kwa KPLC. Miaka mitatu iliyopita, Kipevu I ilifungwa. Mombasa tumebakia na Tsavo ambayo inaeneza umeme maeneo ya Mombasa. Ni kati ya mashirika ambayo yanaitwa IPPs. Gharama ya umeme ...
view
28 Feb 2024 in Senate:
Kutumia maporomoko ya maji kuzalisha umeme ni kama kutumia upepo kama inavyofanyika kule Turkana ambako kuna pahali pa kuzalisha umeme. Hiyo inasaidia kupunguza uchafuzi wa mazingira. Umeme kutokana na vitu asili kama vile upepo ndio tunastahili kutumia ulimwenguni. Kwa kumalizia, jua huwa linawaka katika sehemu za Pwani na kaskazini mwa nchi. Linaweza kutusaidia kutengeneza umeme, jambo ambao litasaidia kupunguza gharama za umeme katika nchi yetu ya Kenya.
view
28 Feb 2024 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate.
view
28 Feb 2024 in Senate:
Cha msingi ni kwamba ni lazima ukiritimba wa KPC uondolewe. Hilo likifanyika, bei za bidhaa zitashuka na wananchi watapata huduma bora kuliko zinazotolewa sasa. Asante, Bw. Spika, naunga mkono ripoti hii.
view