21 Feb 2024 in Senate:
Asante, Bi Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii kuunga mkono ripoti ya Kamati ya uwiano ambayo iliwasilishwa na Kiongozi wa Wengi katika Bunge hili. Kwanza, natoa pongezi kwa viongozi wawili wakuu ambao walikubaliana kuwe na Kamati hii. Vile vile, wanakamati wote waliofanya kazi pamoja na watumishi wao kuhakikisha kuwa wameitoa ripoti inayokubalika. Najiunga na katibu wa chama chetu cha Orange Democratic Movement (ODM). Hata kama Ripoti hii ina mambo mengi ambayo yamezungumziwa, kuna mambo msingi ambayo hayakutajwa na kuzungumziwa kwa ufasaha. Moja wapo ikiwa ni kuongezeka kwa bei ya bidhaa muhimu katika nchi yetu. Yani gharama ya maisha imeongezeka ...
view
21 Feb 2024 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate.
view
21 Feb 2024 in Senate:
Mojawapo wa vipengee muhimu vya hii ripoti ni suala la Bunge kuangalia gharama ya maisha. Kwenye mchakato wa kutengeneza bajeti ya mwaka 2024/2025, gharama ya maisha lazima ipunguzwe. Suala la pili ambalo ningependa kuliguzia ni kuongezeka kwa akina mama kwenye uongozi wa nchi. Hili ni suala ambalo limekuwa donda sugu. Bunge lililopita, lilijaribu mara tatu kupitisha Mswada huu lakini haukupita. Nakubaliana na Kamati kwamba lazima watu wakae chini kama Bunge kuhakikisha kwamba suala hili linatekelezwa ili watoto wetu wa kike; dada zetu wapate fursa ya kuingia katika uongozi. Tunapoelekea itakuwa ni ngumu zaidi kwa kina dada kuingia katika uongozi wa ...
view
20 Feb 2024 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I wish to give Notice of the following Motion- THAT, AWARE THAT the Lake Ol Bolossat Catchment Protection Area Order, (Legal Notice No. 116 of 2023); The Karai Wetland Conservation Area
view
20 Feb 2024 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate.
view
20 Feb 2024 in Senate:
Order, (Legal Notice No. 117 of 2023); The Mwangea Hills Catchment Protection Area Order, (Legal Notice No. 118 of 2023) and the Lari Swamp Catchment Protection Area Order, (Legal Notice No. 119 of 2023, were tabled in the Senate on 11th October, 2023 and referred to the Select Committee on Delegated Legislation for consideration; REALIZING THAT that the 28 sitting days timeline for consideration of the Regulations lapses on Wednesday, 21st February, 2024, but owing to the magnitude of the work involved, the Committee has not been able to complete its work within the duration; AWARE THAT Section 15(3) of ...
view
20 Feb 2024 in Senate:
On a point of order Madam Temporary Speaker.
view
20 Feb 2024 in Senate:
Madam Temporary Speaker, from your ruling or clarification, I invite you to look at Standing Order No.105 (1). “A Senator shall be responsible for the accuracy of the facts that the Senator alleges to be true and may be required to substantiate any facts instantly.” Now, in this case, Sen. Cherarkey alluded to the fact that he has been sent by so many people, except the retired President Uhuru Kenyatta. Now, is that a statement of fact and can he substantiate that fact?
view
15 Feb 2024 in Senate:
Asante, Bw. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii kuchangia Ardhihali ambayo imeletwa na wakaaji wa Embu kudai ardhi ambayo wamemiliki kwa muda wote huo.
view
15 Feb 2024 in Senate:
Ni masikitiko kwamba miaka karibu 61 ya uhuru bado tunalilia ardhi ambazo ni zetu na ni za jadi. Sioni sababu gani Serikali ipiganie kujenga manyumba kwa wakaaji ambao hata ardhi hawana. Utapata kwamba Kaunti ya Embu inapigana kujengea watu wake nyumba lakini kwa sasa hakuna ardhi za wakaaji. Watu wanakaa katika ardhi yao ila ni squatters .
view