19 Sep 2023 in Senate:
work that this committee does is a lot and tomorrow when we meet with our Committee, we will appreciate what we do in this Committee. Thank you, Mr. Speaker, Sir.
view
19 Sep 2023 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir.
view
19 Sep 2023 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order No.37 of the Senate Standing Orders, to seek leave of the Senate to adjourn to discuss a definite matter of urgent national importance, namely, the Security Situation in Lamu County heightened by the recent attacks by suspected Al-Shabaab militants.
view
19 Sep 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate.
view
19 Sep 2023 in Senate:
Asante, Bi. Spika wa Muda kwa kunipa hii fursa ili nichangie Mswada huu wa lugha ya ishara ambao umeletwa chini ya ‘collabo’ ya Sen. Crystal Asige na Sen. (Prof.) Kamar. Mswada huu utasaidia pakubwa--- The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate.
view
19 Sep 2023 in Senate:
Madam Temporary Speaker, she was raising her hand to get your attention.
view
19 Sep 2023 in Senate:
Bi. Spika wa Muda, neno ‘collabo’ linatumika kwenye lugha ya Kiswahili. Hivi sasa niko tayari kujibu hoja ya nidhamu ya Kiongozi wa walio Wachache kwa kuondoa neno hilo. Pengine nitapata fursa siku nyingine kulijadili neno hilo kwa kina. Mswada huu tunaoujadili ni muhimu sana. Katiba yetu imetoa haki nyingi ambazo wananchi wanastahili kupata, lakini kwa sababu ya kutokuwa na sheria za kurahisisha haki hizi imekuwa ngumu wananchi kuzipata. Moja ya zile haki ni kupata lugha ambayo itaeleweka kwa yule ambaye anazungumziwa ama anayezungumza ili mawasiliano yawe rahisi. Kumekuwa na ongozeko la matumizi ya watu wanaohitaji lugha ya ishara. Ijapokuwa wazungumzaji ...
view
19 Sep 2023 in Senate:
Bi. Spika Wa Muda, nimesimama kwa Hoja ya nidhamu kuambatana na Kanuni Nambari 37 ya Bunge la Seneti kuomba kwamba Bunge lihairishe ratiba yake ili kujadili swala ambalo ni la muhimu na lina umuhimu kwa taifa, ambalo ni hali ya usalama katika Kaunti ya Lamu ambayo imesababishwa na matokeo ya hivi majuzi ya mashambulizi ya majangili Al Shabaab. Bi. Spika wa Muda, kwanza kabisa ningependa kusema kwamba japo kuwa maswala haya yanatendeka Lamu, mjadala au maelezo yangu hayahusiani kwa vyovyote na siasa za Lamu. Ni muhimu ieleweke kwamba hatuzungumzii siasa za Lamu hapa. Tunazungumzia maswala ambayo yanatendeka Lamu lakini yanaleta ...
view
19 Sep 2023 in Senate:
mmoja wa miaka 22. Mwingine alizikwa sehemu za Tiribe katika Kaunti ya Kwale na pia alikuwa wa umri huo huo. Kumekuwa na ongezeko la visa vya mashambulizi ya kundi la kigaidi la Al shabaab katika eneo la Lamu. Itaeleweka kwamba Kenya ilikwenda Somalia mnamo mwaka wa 2011, mwezi wa kumi ili kuzuia kundi hili la Al shabaab kuweza kufanya mashambulizi katika nchi ya Kenya. Lengo lilikuwa kuweka buffer zone kati ya mpaka wa Somalia na wa Kenya ili mashambulizi yasiweze kufanyika Kenya. Shambulizi lililokuwa limefanyika Lamu wakati huo ni kuwa mtalii mmoja aliuwawa na bibi yake kutekwa nyara na majangili ...
view
19 Sep 2023 in Senate:
hapa kwetu na hatuwezi kujilinda. Watu wengi wamepoteza maisha ambayo yangeweza kulindwa. Hivi majuzi, Bibi ya Mbunge wa Eneo Bunge katika Kaunti ya Lamu, alipoteza maisha na yeye mwenyewe kujeruhiwa vibaya katika shambulizi la hao majangili. Kaunti zetu, kama Kaunti ya Lamu inafanya biashara kubwa na Mombasa. Mazao mengi yanatoka Lamu kuja kuuzwa Mombasa na kuna vitu ambavyo vinatoka Mombasa na kuuzwa katika Kaunti ya Lamu. Kwa mfano, mchele, mafuta ya kupikia na vinginevyo. Mashambulizi haya yanalemaza biashara baina ya Kaunti ya Mombasa na Kaunti ya Lamu. Vile Vile, wakulima wameweza kutatizwa na mashambulizi kama haya. Kwa hivyo, kauti zetu ...
view