19 Oct 2023 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I am.
view
19 Oct 2023 in Senate:
Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. I beg to lay the following Paper on the Table of the Senate, today, Thursday, 19th October, 2023- Report of the Standing Committee on Finance and Budget on its consideration of the Equalization Fund Appropriation Bill (Senate Bills No. 30 of 2023).
view
18 Oct 2023 in Senate:
Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii kuchangia ardhilhali ambayo imeletwa na wakaazi wa maeneo ya Kaunti ya Kisii. Wanalalamika kwa sababu ya kunyakuliwa kwa ardhi yao ya jadi na taasisi ya KARI na Kisii Farmers Training Center (FTC). Haya ni masikitiko kwa sababu watu walitoa ardhi kwa taasisi ya Serikali lakini taasisi imemiliki ardhi yote ya jamii hii. Hii ni sawa na kumkaribisha ngamia nyumbani kwako alafu akakutoa ndani ya nyumba. Nimeona katika maelezo kwamba walienda katika Tume ya Ardhi ya Kitaifa mwaka wa 2005. Lakini, karibu miaka minane baadaye, hawajapata suluhu ya swala hili. Nawapongeza kwa kuwa na ...
view
11 Oct 2023 in Senate:
Bw. Spika, najiunga na wenzangu pia kuunga mkono Mswada huu wakuweka stakabadhi za afya katika njia ya kidijitali. Sheria hii imechelewa sana katika nchi hii. Tayari madaktari kwenye hospitali nyingi wanafanya vile bila ya kuwa na hii sheria. Madaktari wengi wanaofanya kazi ya kupiga picha kwenye radiolojia, wanayo nafasi ya kusoma ripoti kwa mfumo huu. Pia wanaweza kuandikia daktari riporti akiwa pengine Kaunti ya Kisumu na yeye akiwa katika Kaunti ya Meru. Sheria hii imechelewa sana kwa sababu mambo ambayo yanazungumziwa tayari yanatumika na madaktari na wahudumu wengine wa afya. Pia sheria hii itasaidia kupunguza msongamano wa wagonjwa katika hospitali ...
view
26 Sep 2023 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, I beg to lay the following Paper on the Table of the Senate today, 26th of September, 2023- Report of the Standing Committee on Finance and Budget on County Governments (Revenue Raising Process) Bill (Senate Bills No. 22 of 2023).
view
26 Sep 2023 in National Assembly:
Thank you, Mr. Speaker, Sir. It is important the Committee be given more time to consider these Regulations that will govern all the crops similar to miraa including Muguka, Khat and others. The reason why we could not complete the scrutiny in time and consider those Regulations is because the Cabinet Secretary in charge of Agriculture and Livestock Development was unwell last week when we summoned him together with the Council of Governors (COG). The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate.
view
26 Sep 2023 in National Assembly:
I second the request for time and we shall conclude these important Regulations within the specified time.
view
21 Sep 2023 in Senate:
Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii ya kuchangia. Ningemshauri ndugu yetu, Sen. Madzayo, achangie Taarifa hii ya Sen. Okenyuri kuhusiana na maswala ya ‘mchele” katika mangwe.
view
21 Sep 2023 in Senate:
La msingi, ningependa kuchangia maombi ya Taarifa---
view
21 Sep 2023 in Senate:
Bw. Spika, ukweli ni kuwa mimi hupita mbali na mangwe kwa sababu imani yangu hainiruhusu kutumia vinyawaji hivyo. Kwa hivyo, ningependa kuondoa swala hilo kama Mhe. Madzayo hataki kuzungumzia mambo ya ‘mchele’ kuhusiana na mangwe. Ningependa kuondoa matamshi yangu. Bw. Spika, la msingi, ningependa kuchangia taarifa iliyoletwa Bungeni na Sen. Cherarkey kuhusiana na Kenya Airways (KQ). Ni kweli kwamba miaka nenda miaka rudi, KQ inapata hasara. Hasara hii inabebwa na Serikali. Inabebwa na kodi zetu. Leo ukiangalia tikiti ya kutoka jijini Nairobi kwenda Mombasa, sio chini ya Kshs15,000. Hatujui kama ni mafuta yako juu, gharama za uendeshaji wa shirika hilo ...
view