2 Nov 2023 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, is the Senate Majority Whip in order to revisit a debate which was closed on Tuesday, this week, as to whether we go Plenary or Committee? A resolution of the House was made that we go the Plenary way and there is no need to revisit the issue. He is making the matter sub judice because he is getting calls from Meru over an issue that is pending before the House.
view

1 Nov 2023 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order No.53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on Roads, Transportation and Housing regarding the safety of motorists and pedestrians along the Makupa Causeway Bridge and Changamwe roads in Mombasa County In the Statement, the Committee should- (1) State any plans by the Ministry to ensure that the construction of adequate drainage facilities, street lighting and clear road markings along the Makupa Causeway Bridge and Changamwe roads to ensure the safety of both the motorists and pedestrians. (2) Outline measures being taken by the Ministry to mitigate the risks faced ...

Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii kuchangia maombi ya taarifa kutoka kwa Sen. Okiya Omtatah kuhusiana na kudhaminiwa kwa baadhi ya mashirika ya umma na Serikali kuu. Ni masikitiko kwamba baadhi ya mashirika yanaendelea kupata hasara. Hasara hii inabebwa na wananchi wa kawaida ambao wanalipa kodi kuisaidia Serikali. Hususan Shirika la Kenya Airways ambalo kwa muda mrefu limeweza kutegemea Serikali kulieka hai. Juzi, Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo amesema kwamba kwa mwaka huu, watapata hasara ya Kshs85 bilioni. Wametoa mapendekezo kwamba mwakani, watapata hasara ya Kshs65 bilioni.

Katika hizi dhamana ambazo Serikali inalipa kwa niaba ya mashirika haya, hatuoni wale waekezaji wa kibinafsi ambao wana hisa katika mashirika haya kutoa mchango wao katika malipo hayo ambayo Serikali inapeana.

Tukiangalia kama shirika la Kenya Airways, wanapolipisha tikiti zao za ndege, utapata kwamba ni dhuluma kubwa wanafanyia wateja na wananchi wa Kenya. Nikisafiri baina ya Kaunti za Mombasa na Nairobi, unawezapata asubuhi tikiti ni Kshs9,000 lakini ikifika saa tano, tikiti imefika Kshs18,000. Inapanda marudufu kila baada ya masaa. Wakati mwisho wa mwaka shirika hili linaregesha hasara na hasara ile inadhaminiwa na Serikali.