Mohamed Faki Mwinyihaji

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 401 to 410 of 1995.

  • 1 Nov 2023 in Senate: Shirika lingine ni Kenya Power . Usipolipa malipo yako kwa muda wa siku moja, umeme unakatwa. Lakini shirika lile mwisho wa mwaka, linakuja kwa Serikali kupata ruzuku ili kujisaidia kulipa madeni yake. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view

  • 1 Nov 2023 in Senate: Bw. Spika, ni lazima mashirika haya yawajibike. Hii ni kwa sababu kodi hiyo inalipwa na mwananchi wa Kenya. Ni dhuluma kwamba inalipiwa mashirika ambayo nusu ya hisa zinamilikiwa na wenye hisa binafsi. Asante kwa kunipa fursa hii. view

  • 1 Nov 2023 in Senate: On a point of information Mr. Speaker, Sir. view

  • 1 Nov 2023 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I want to inform my colleague, Sen. Osotsi, that Telkom Kenya was previously sold to foreigners and the former Government bought it back from the foreigners who had acquired it. The current Government is now trying to sell it to another foreign company. view

  • 31 Oct 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa ya kuchangia Hoja hii. Kubanduliwa mamlakani kwa gavana kwa kupitia njia ya impeachment ni jambo muhimu sana ambalo linatoa matatizo makubwa kwa yule ambaye anabanduliwa. Hii ni kwa sababu ukibanduliwa mamlakani, ina maana kwamba, huwezi kukaa katika ofisi ya umma kwa kazi yoyote ile ambayo una nia ya kuifanya. Kwa hivyo, ni lazima tumpe yule mhusika nafasi nzuri ya kuweza kujitetea kutokana na mashtaka ambayo yanamkabili. Njia ya kamati ni mwafaka kabisa ambayo inampa mhusika nafasi nzuri ya kujitetea na kusikiza yale mashtaka ambayo yataletwa mbele yake. Ijapokuwa kikao cha Seneti nzima kina nafasi ... view
  • 31 Oct 2023 in Senate: Seneta wa Embu amesema “zungusa.” Sijui ni kuzungumza ama ni kuzungusha? view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus