1 Mar 2022 in Senate:
Based on its observation, the Committee on Delegated Legislation tabled its report on the 28th September, 2021 and recommended to the Senate that the Public Finance Management Equalization Fund Regulations, 2021 be approved pursuant to Section 205(4) of the Public Finance Management Act, 2012.
view
1 Mar 2022 in Senate:
The Senate did not make a resolution on this matter, which had strict timelines. Consequently, due to the strict timelines, which lapsed on the 12th October, the regulations automatically became operational. On the 2nd December, 2021, the Senate approved Mr. Victor Ochieng’ Odanga as the Senate nominee to the Equalization Fund Advisory Board (EFAB).
view
1 Mar 2022 in Senate:
In conclusion, allow me to commend the Committee Members for their dedication and commitment in discharging the Committee’s mandate. Despite the Senator’s busy schedule, my Committee has never experienced any quorum hitches. I also thank the Senate for giving the Members another opportunity to serve in this distinguished Committee.
view
1 Mar 2022 in Senate:
Madam Deputy Speaker, I wish to thank your office and the office of the Clerk for the support accorded to the Committee in undertaking its mandate.
view
17 Feb 2022 in Senate:
Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii pia kuitilia nguvu
view
17 Feb 2022 in Senate:
iliyoletwa na Sen. (Dr.) Musuruve kuhusu kusherehekea kwa Siku ya Redio Ulimwenguni.
view
17 Feb 2022 in Senate:
Redio husikilizwa mahali pengi haswa humu nchini na ulimwenguni kwa jumla. Hapo awali, the Kenya Broadcasting Corporation (KBC) ndio ilikuwa stesheni ya radio pekee. Watu wengi walipenda kusikiliza the British Broadcasting Corporation (BBC), hususan habari za saa moja usiku na saa moja asubuhi ambapo tulikuwa tunapata ripoti za Kenya ambazo redio za Kenya hazikuzungumzia. Kwa hivyo, redio imetumika pakubwa kutoa habari na vile vile kuelimisha watu. Jana Sen. M. Kajwang’ alizungumzia kipindi cha shule katika miaka ya sabini ambacho kilikuwa kinaanza na wimbo; “Nilipokuwa kijana, nilicheza na masomo.” Wengi tulikuwa tunasoma wakati wa vipindi kama vile ambavyo vililetwa ili kuelimisha ...
view
17 Feb 2022 in Senate:
Redio imechangia sana katika kuleta maendendeleo, muamko mpya, kuelimisha watu na vile vile starehe kwa sababu wengi wanapata burudani. Ukiwa kazini, unaweza kufungua redio yako wakati wa saa nne mpaka saa sita na kusikiliza nyimbo za burudani. Kwa hivyo, redio inasaidia sana katika mchakato wa maendeleo, siasa na maisha kwa jumla.
view
17 Feb 2022 in Senate:
Bi. Spika wa Muda, wenzangu waliotangulia wamezungumza kuhusu kutumika vibaya kwa redio. Ni kweli hapo awali redio imewahi kutumika vibaya. Hatungependa kurejea pale wakati huu ambapo tunaelekea katika kipindi cha uchaguzi ambao utafanyika tarehe nane, mwezi wa nane, mwaka huu. Bi. Spika wa Muda, ni lazima chombo cha redio kitiliwe nguvu. Tumeona ya kwamba wasanii wengi wanaweza kutumia redio hizi ili kuleta sanaa zao, watu wajue na kuweza kuzinunua; yaani kupeleka sokoni sanaa zao. Lakini wengi hawalipwi. Utapata kwamba wale ambao wameweza kutunga nyimbo zao na mashairi yao na yakaweza kuchezwa katika redio hizi kwa sasa wanahangaika katika umaskini. Hawa ...
view