Mohamed Faki Mwinyihaji

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 921 to 930 of 1995.

  • 2 Mar 2022 in Senate: Ziara ya Sen. Omogeni na wenzake ilikuwa ziara rasmi iliyoidhinishwa na Spika wa Bunge hili. Fedha zililipwa na Bunge hili kuwawezesha wao kusafiri kuenda nchi waliyohitajika kusafiri. Ni aibu kumlazimisha Sen. Omogeni kukaa uwanjani wa ndege kwa muda wa dakika 45 huku afisa akiulizia juu ya hatma yake. view
  • 2 Mar 2022 in Senate: Sen. Omogeni amezungumzia kuhusu orodha ya Wabunge wa Seneti ambao iko na Ofisi ya Uhamiaji. Inafaa tujue wazi orodha hiyo imeandikwa na nani, na mbona orodha hiyo imepelekwa huko na wala kutoileta hapa Bunge la Seneti ili tujue wasioruhusiwa kusafiri nje ni akina nani na sababu ya kisheria inayotakikana. view
  • 2 Mar 2022 in Senate: Bi. Spika wa Muda, wiki tatu nyuma, swala hili lilipozungumziwa, tulipitisha kwamba Spika awasiliane na Wizara husika na kwamba sisi kama Maseneta tunaweza kuchukua ruhusa kwa Spika pekee yake. Hatuna jukumu la kuchukua ruhusa kwa taasisi nyingine yeyote. view
  • 2 Mar 2022 in Senate: Jambo hili ni la muhimu kwa sababu wengine wetu tunaazima ya kusafiri karibuni. Hatungependa kupotezewa wakati ama kuzuiliwa uwanjani wa ndege ilhali mambo yanaweza kuzungumzwa au mhusika kujieleza katika Bunge ili jambo kama hili lisirudiwe. view
  • 2 Mar 2022 in Senate: Asante. view
  • 1 Mar 2022 in Senate: Asante, Bi. Naibu wa Spika, kwa kunipa fursa hii kuchangia maombi ya Taarifa kutoka kwa Seneta wa Nandi, Sen. Cherargei. Maombi aliyoyaleta hapa yanapaswa kuungwa mkono kwa sababu kwa muda mrefu, utalii wetu umekuwa ukiangazia masuala ya ufuo wa bahari na wanyama pori peke yake. Hatujatumia fursa ambayo tumepewa kujenga utalii wa michezo ambao pia ni muhimu. Tunaweza kuboresha sekta hii ili kuvutia wageni wengi kutembelea nchi yetu. Bi. Naibu Spika, tukiangalia sehemu kama vile Eldoret, Nandi na kote kule, kuna sehemu nzuri ambazo watalii ama wanamichezo hususan wale wanaokimbia masafa marefu; wanaweza kuchukua nafasi ya kuja kufanya mazoezi yao, ... view
  • 1 Mar 2022 in Senate: Madam Deputy Speaker, I rise pursuant to standing order No. 51(1)(b) of the Senate Standing Orders to make a Statement relating to the activities of the Senate Sessional Committee on Delegated Legislation during the third and fourth quarters of the Fifth Session, that is, July to December, 2021. Madam Deputy Speaker, the Senate Sessional Committee on Delegated Legislation is established under Standing Order No. 221 of the Senate Standing Orders. The Committee is mandated to scrutinize statutory instruments laid before the Senate to ensure that they are consistent with the provisions of the Statutory Instruments Act, 2013. The Sessional Committee ... view
  • 1 Mar 2022 in Senate: Madam Deputy Speaker, during the period under review, the Committee held 46 Sittings during which it considered 12 Statutory Instruments. The Committee considers whether the statutory instrument- (1) Is in accordance with the provisions of the Constitution, the Act pursuant to which it is made or other relevant written law; (2) Infringes on fundamental rights and freedoms of the public. (3) Contains a matter, which the option of the Committee should more properly dealt with in an Act of the Parliament. (4) Contains imposition of taxation. (5) Directly or indirectly bars the jurisdiction of the court. (6) Gives retro respective ... view
  • 1 Mar 2022 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 1 Mar 2022 in Senate: (9) Inappropriately delegates legislative powers. (10) Imposes a fine imprisonment or other penalty without express authority having been provided for in the enabling legislation. (11) Inadequately subjects the exercise of legislative power to Parliamentary scrutiny. (12) Accords to any other reason that the Committee considers fit to examine. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus